Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Hakuna formula ya maisha
Kuna watu wengi sana wamepata utajiri mkubwa wakiwa wazee sana tena wengine wakiwa miaka 60 mpaka 70
Pambana, cheza, weka ila elewa kuwa kupata hauna umri.
Kuna mtu namjua kaanza kuweka akiba akiwa na 52 na sasa yuko vizuri kuliko alipokuwa na miaka 40