Ulikuwa wapi miaka yote hiyo, umefika miaka 40 ndio unaanza kupambana?

Ulikuwa wapi miaka yote hiyo, umefika miaka 40 ndio unaanza kupambana?

Wewe ni mjinga, huna akili au pengine unaishi kwa shemeji, hadi sabuni ya kuoga unaikuta bafuni!!!

Binafsi sijafika huo umri.....harakati sometimes zinakwamaga, hela zina mambo mengi sana ! Sio kila mwenye hela ni mpambanaji sana, au sio kila masikini ni mvivu sana ....Hii ishi nayo!
Mpumbavu
 
Guys kwanini miaka 40? Watu wengi wanakuwa serious wanapofika umri wa miaka 40.

Yaani akishafikisha 40 ndio anaanza kuwa na mikakati, saving, biashara, kujenga etc, ulikuwa wapi huko nyuma?

Je! Huko 30+ ulikosa fursa? Je! Unaweza kufanikiwa kimaisha ukiwa serious kwenye umri huo? Huko nyuma ulipata fursa ukazitumia vibaya, baada ya kufika 40 ndio unaona sasa niwe serious.
Ukishafikisha umri huo....UTAPATA JIBU......
 
Ngoja ukifika 40s utajua sababu sasa hivi hata ukiambiwa huwezi kuelewa.
Wakati wa ujana yaani miaka 18 - 35 ni kipindi ambacho wengi wetu huwa hatujitambui. Tunaona kama vile tunahitaji kufaidi zaidi ya Duniani (anasa) kama ulevi, ngono na mambo mengine yanayofanana na hayo. Sasa ikifika miaka 40 unaanza kuhisi ujana unakukimbia ndio unaanza kuwaza maisha ya uzee. Ili kujilinda na changamoto za uzeeni ndio unakuwa serious kwenye mikakati ya ujenzi, biashara na uwekezaji mbalimbali. Suluhisho ni nini? Wazazi tuchukue nafasi zetu kuwaelewesha watoto kuishi na kukua katika maadili yanayompendeza Mungu na wanadamu pia.
 
Nyuzi za kutiana presha hizi...ngoja nijiondokee.....
HObnnecWkAA4epA.jpg
 
Back
Top Bottom