Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Sawa nimeacha
My wangu acha hizo
My wangu acha hizo
Muda huo hauruhusiwi kula vya sukari, vya chumvi, vya mafuta....minyama aaaaghhh haionogi walahIla kusema kweli pesa ya kupatia uzeeni hata hainogi
Umemjibu vzr sn, hajajua kwnn wazungu wanasema life starts at 40🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ngoja ukifika 40s utajua sababu sasa hivi hata ukiambiwa huwezi kuelewa.
Kabisa yani, wanaishia kufaidi wengineMuda huo hauruhusiwi kula vya sukari, vya chumvi, vya mafuta....minyama aaaaghhh haionogi walah
Sasa hiyo ndiyo watu wanaona nzuri, maana mihemko ya ujana inakua ishapungua, starehe za ujana zote unakuwa ushazifanya so hamna cha kukuzuzua, kama ni pombe,umalaya na kila aina za anasa ushafanya na impacts zake umeziona, so hapo akili ndo inatulia vizuri.Ila kusema kweli pesa ya kupatia uzeeni hata hainogi
Mie sijafika hata huko ila kwa akili yangu tu ya kawaida na kwa uzoefu wa Mzee wangu sishangai Mtu kuja kumake life akiwa na miaka hata 50'sGuys kwanini miaka 40? Watu wengi wanakuwa serious wanapofika umri wa miaka 40.
Yaani akishafikisha 40 ndio anaanza kuwa na mikakati, saving, biashara, kujenga etc, ulikuwa wapi huko nyuma?
Je! Huko 30+ ulikosa fursa? Je! Unaweza kufanikiwa kimaisha ukiwa serious kwenye umri huo? Huko nyuma ulipata fursa ukazitumia vibaya, baada ya kufika 40 ndio unaona sasa niwe serious.
Wakila wengine unapata thawabu kadiri ya imani yangu mimi ustaadh wa mchongo.Kabisa yani, wanaishia kufaidi wengine
Hamjui babu wa Loliondo huyu. Kapata Mali za urithi sasa anaona wengine hawapambani.Kuna wengine wamefanikiwa wakiwa na miaka 70, hakuna Umri kwenye kufanikiwa.
Kama umepatia hela uzeeni maana yake ujanani hukuwa nazo, starehe unafanyaje bila pesa?Sasa hiyo ndiyo watu wanaona nzuri, maana mihemko ya ujana inakua ishapungua, starehe za ujana zote unakuwa ushazifanya so hamna cha kukuzuzua, kama ni pombe,umalaya na kila aina za anasa ushafanya na impacts zake umeziona, so hapo akili ndo inatulia vizuri.
Achana na mambo ya thawabu mimi nataka pesa yangu nile mwenyeweWakila wengine unapata thawabu kadiri ya imani yangu mimi ustaadh wa mchongo.
Miss darling,hata mimi hutaki nile kiduchu?Nitazibugia kwa mbinu.Achana na mambo ya thawabu mimi nataka pesa yangu nile mwenyewe
KFC owner alikuwa bilionea at 60+ usikaririGuys kwanini miaka 40? Watu wengi wanakuwa serious wanapofika umri wa miaka 40.
Yaani akishafikisha 40 ndio anaanza kuwa na mikakati, saving, biashara, kujenga etc, ulikuwa wapi huko nyuma?
Je! Huko 30+ ulikosa fursa? Je! Unaweza kufanikiwa kimaisha ukiwa serious kwenye umri huo? Huko nyuma ulipata fursa ukazitumia vibaya, baada ya kufika 40 ndio unaona sasa niwe serious.
Ilikuwa ni hardworking au lucky pal?KFC owner alikuwa bilionea at 60+ usikariri
Alipambana sana mkuu nadhani vyote vilichangia kwasababu bahati huiwezi kuipata ukiwa umekata tamaa.Ilikuwa ni hardworking au lucky pal?
Kwani wanaofanya starehe wote wana pesa,?Hapa ni ile akili inakuwa imetulia,sababu ushaona mengi tofauti na ujana bado damu ni ya moto, ndiyo maana wanaofirisika wengi ni ujanani kuliko uzeeniKama umepatia hela uzeeni maana yake ujanani hukuwa nazo, starehe unafanyaje bila pesa?