Lamine_
JF-Expert Member
- Sep 5, 2026
- 213
- 361
Watu wanajisahau sn acha wengine tukae kimyaMtu akifanikiwa kidogo anaona wenzake wote hawajui kutafuta fedha, maisha hayajawahi kuwa na fomula

Nilipokuwa na miaka 20 nilikuwa naona 40 iko mbaaali
unajua kitanda ambacho hujakilalia huwezi kujua kunguni wakeNgoja ukifika 40s utajua sababu sasa hivi hata ukiambiwa huwezi kuelewa.
Sana mkuu kasi yake ni hatari ni kufumba na kufumbua.Kasi ya kutoka 30 kuja 40 inatisha sana!
Ni balaa mkuu, yaani ni kufumba na kufumbuaKasi ya kutoka 30 kuja 40 inatisha sana!
Ni balaa mkuu, yaani ni kufumba na kufumbua
Kwani kuwa na pesa inatakiwa uwe na miaka mingapi?Guys kwanini miaka 40? Watu wengi wanakuwa serious wanapofika umri wa miaka 40.
Yaani akishafikisha 40 ndio anaanza kuwa na mikakati, saving, biashara, kujenga etc, ulikuwa wapi huko nyuma?
Je! Huko 30+ ulikosa fursa? Je! Unaweza kufanikiwa kimaisha ukiwa serious kwenye umri huo? Huko nyuma ulipata fursa ukazitumia vibaya, baada ya kufika 40 ndio unaona sasa niwe serious.
Tema mate chini...Guys kwanini miaka 40? Watu wengi wanakuwa serious wanapofika umri wa miaka 40.
Yaani akishafikisha 40 ndio anaanza kuwa na mikakati, saving, biashara, kujenga etc, ulikuwa wapi huko nyuma?
Je! Huko 30+ ulikosa fursa? Je! Unaweza kufanikiwa kimaisha ukiwa serious kwenye umri huo? Huko nyuma ulipata fursa ukazitumia vibaya, baada ya kufika 40 ndio unaona sasa niwe serious.
Life begin at 40Guys kwanini miaka 40? Watu wengi wanakuwa serious wanapofika umri wa miaka 40.
Yaani akishafikisha 40 ndio anaanza kuwa na mikakati, saving, biashara, kujenga etc, ulikuwa wapi huko nyuma?
Je! Huko 30+ ulikosa fursa? Je! Unaweza kufanikiwa kimaisha ukiwa serious kwenye umri huo? Huko nyuma ulipata fursa ukazitumia vibaya, baada ya kufika 40 ndio unaona sasa niwe serious.
Na walio filisika, kuke geita vijana wengi wamekamata hela kwenye early 20s leo hawana kitu usichukulie poa maisha mkuuGuys kwanini miaka 40? Watu wengi wanakuwa serious wanapofika umri wa miaka 40.
Yaani akishafikisha 40 ndio anaanza kuwa na mikakati, saving, biashara, kujenga etc, ulikuwa wapi huko nyuma?
Je! Huko 30+ ulikosa fursa? Je! Unaweza kufanikiwa kimaisha ukiwa serious kwenye umri huo? Huko nyuma ulipata fursa ukazitumia vibaya, baada ya kufika 40 ndio unaona sasa niwe serious.
Machalii kule geita wametengeneza millions of money migodini leo hawana kitu, life bhanaHuyajui maisha. Narudia tena huyajui maisha! Huyajuiiiiiiiii! 📣📣📣
Labda umezaliwa kwenye familia ya kitajiri, yenye connections kwenye mifumo ya kiutawala au ya kifisadi. Kwa hivyo unaona kila kitu ni rahisi tu kwako na hauna hata fununu jinsi harakati za mtu wa kawaida zilivyo!
Late 20s nilikuwa nazo. Migodi imekubali. Billions!
Late 30s kila kitu kikakwama yaani kila kitu...nikaponea kwenye vi real estates huko.
Mid 40s ndiyo nimeanza kuuona mwanga tena. Maisha ni mapambano mpaka siku ya mwisho na ukianguka nyanyuka tena kama bado unapumua!
Kabisa mkuu upo sawa kabisa umenigusaMara nyingi sana vijana huanza fanikiwa wakiwa gorofa ya 3 na wengi ni wakiwa gorofa ya 4 (40 - 49 years of age)
Si kila anayefika 40 amechelewa, wala si kila aliyefika 30 alikuwa tayari. Maisha hayana ratiba moja kwa kila mtu. Wengine wanapata fursa mapema, wengine wanapitia majukumu, makosa na changamoto zinazowachelewesha.Guys kwanini miaka 40? Watu wengi wanakuwa serious wanapofika umri wa miaka 40.