Leo nasema hapa hamtokuja Kuamini tu Macho na Masikio yenu kwa hii Simba SC mnayoidharau kwa Usajili wake ila Mimi kama GENTAMYCINE nawaambia hapa hapa kuwa tegemee kuiona Simba SC yenye kwenda kuwa na Mafanikio ya Uwanjani si tu kwa Msimu mmoja bali hata kwa Mitatu au Mitano.
Tusije Kukimbiana...
Nimejiuliza sana na wewe unaweza jiuliza kidogo , unatumia masaa mangapi kufanya kazi, kwa mfano wewe ni mwalimu unatumia muda gani darasani,kusahisha na kufuatilia maendeleo ya mwanafunzi, je kazi unazofanya ni fair utoke asubuhi hadi saa Tisa unusu , nimejitafakari nimegundua per day nafanya...
Nimemsikia akihojiwa kwenye redio Moja ya Mwanza, jembe fm kuwa alianza form 1 huo mwaka
Nikajiuliza alisoma akiwa na umri Gani shule ya msingi.
Hakika udanganyifu wa umri Africa hasa kwenye michezo ni mkubwa.
Nina uhakika yule kijana hakosi miaka 26
Hakuna kitu kinaumiza kama kusubiria malimbikizo ambayo ni jasho la mtu kulitumikia taifa hili! Watu ni kama wanalazimishwa kukopwa bila kujua watalipwa lini!
Serikali mbona mnaonea hivyo wanaodai malimbikizo? Mnapandisha madaraja mnalipa! Ila wenye malimbikizo ya miaka wala hamlipi hii ni...
Kwema Wakuu!
Hii inavunja moyo kwa wanaume walioamua kuoa single Mothersl.
Haiwezekani binti umelelewa tangu ukiwa mtoto, ukasomeshwa na Baba mlezi(wakambo) ukamaliza mpaka chuo cha usimamizi wa fedha.
Miaka yote huyo Babaako mzazi hakuwepo. Hakujua unakula nini wala unavaa níni. Wala...
Sina ajjra yoyote, nimepigika, hata mwanamke hawezi kunikubali kwani sina kitu.
Umri unaenda najiuliza ni wapi nilipokosea.
Nikipata kazi itadumu kwa miezi mitatu au minne, ikienda sana itadumu kwa miaka mitatu au minne.
Ndoa nilioa ikadumu miaka mitatu
Mali nikimiliki hazidumu.
Nimefilisika...
Mfahamu CleoWilskut, Binti wa miaka 20 anayeanza Safari ya kuwawakilisha Vijana Bungeni, Afrika Kusini
Je, Tanzania inawezaje kuongeza Ushiriki wa Vijana kwenye Masuala ya Uongozi/Demokrasia?
Mhadhiri mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Katoliki cha Kenya Profesa Becky Ndeto, amesema sera zilizotekelezwa na China baada ya kuanza kutekeleza sera ya mageuzi na ufunguaji mlango, zimesababisha ukuaji wa uchumi usio na mfano, kuleta maendeleo ya kiteknolojia, na kupunguza umaskini.
Akiongea...
MWELEKEO WA AJIRA NA MAENDELEO YA TEKNOLOJIA MIAKA 10 IJAYO.
Kwa miaka takribani 10 Sasa tangu mnamo mwaka 2014 katika awamu ya mwisho ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete matumizi ya mitandao na TEHAMA kwa ujumla yamekuwa chachu katika kuongeza pato la taifa, naiona Tanzania yenye vijana wenye...
Katika ulimwengu unaobadilika kwa kasi, Tanzania ina nafasi ya kipekee ya kuibuka kama kiongozi wa maendeleo endelevu barani Afrika. Ili kufikia azma hii, ni muhimu kuwekeza katika ubunifu na maendeleo kwa miaka kumi na kumi na tano ijayo. Hii itahusisha kuboresha sekta mbalimbali kwa kutumia...
Tanzania inakabiliwa na fursa na changamoto nyingi katika juhudi za kujenga taifa imara na lenye maendeleo endelevu. Katika miaka kumi hadi kumi na tano ijayo, mkazo mkubwa unatakiwa kuwekwa kwenye ubunifu na maendeleo. Hii itahusisha kuimarisha sekta mbalimbali kama vile elimu, afya...
KWANZA AWALI YA YOTE NAMSHUKURU MUNGU KWA AMANI NA NEEMA ALIYOTUPA SISI KAMA TAIFA LAKINI YAFUATAYO NI MITAZAMIO YA MIAKA 5 HADI 25 NTAKAYOCHANGIA;-
1. Kulingana na mtazamo wangu miaka ijayo kutakuwa na ongezeko kubwa la watu na makazi hivyo kwa hiyo hatua inatupasa kama jamii tuzingatie hayo...
Maendeleo ni Jambo linalohitaji Jitihada kubwa na jumuishi katika Sekta Muhimu kama vile ELIMU, UTALII, VIWANDA, AFYA, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Kwa Uhakika Suala la maendeleo ni mchakato wa muda mrefu unaohitaji mikakati na akili kubwa katika kujipanga na kuutekeleza ili kuyafikia matunda yake kwa...
Elimu ni nyenzo muhimu saana kwa mwanadam kupambana na mazingara yanamzunguka. Ikiwa elimu hiyo haimwezeshi kupambana na mazingira hiyo elimu inakuwa kiwazo kwake hivyo humpatia mazingira magumu saana.
Zamani mababu na mabibi zetu waliweza kufundisha vijana kwa kuwapatie elimu kwa vitenda ili...
Hapo vip!!
Nimekuwa nasikia sana huu msemo wa lishangzi.
Sifa za mashangazi ni kama zifuatazo.
1. Awe na miaka kuanzia 30 na kuendelea
2. Awe single mother au single kawaida.
Kama unasifa zingine zitaje ili wajitambue.
Licha ya kupiga hatua kwenye kuvutia wawekezaji na kuwa kivutio cha FDI sasa hali imeanzakudhoofishwa. Mabalozi wameanza kulalamika kuwa wawekezaji wao wengi wanakumbana na usumbufu mkubwa kutokana na notisi zisizothibitishwa kutoka kwa TRA zinazodai malipo na usuluhishi wa akaunti wa miaka 15...
Tanzania tuitakayo ndani ya miaka mitano-25 ijayo
MAENDELEO ya Taifa lolote lile duniani hutegemea sana mipango murua, nguvu kazi ya kutosha, uchumi usio wa mashaka na nyenzo madhubuti zinazowezesha ufanikishaji wa malengo ya kimkakati.
Tanzania ni miongoni mwa mataifa katika Bara la Afrika...
Mimi nilitongoza kwa mara ya kwanza nikiwa na umri wa miaka 16. Je na ww ulitongoza mara ya kwanza ukiwa na umri gani? Na ulikuwa na hali gani wakati unatongoza, kwa mfano mm wakati na tongoza mara ya kwanza nilikuwa na uoga flani ambao baadae uliisha je ww ilikuwaje wakati unatongoza?
SEKTA YA ELIMU TANZANIA BAADA YA MIAKA KUMI.
sekta ya elimu ni sekta muhimu sana katika ukuaji wa maendeleo katika taifa sababu ndiosekta pekee ambayo inazalisha wataalamu mbalimbali ambao wanategemewa katika sekta zingine kama vile sekta ya afya,viwanda,habari n.k hivyo basi kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.