Mtu huyu alihukumiwa kifungo cha miaka 13 jela, lakini walimsahau kumkamata.
Mnamo mwaka 1999, Cornealious Anderson alihukumiwa kwa kosa la ujambazi akiwa na silaha huko St. Charles, Missouri, na kuhukumiwa kifungo cha miaka kumi na mitatu gerezani. Akiwa nje kwa dhamana, Cornealious na wakili...
Jana nilicheki mechi baina ya Real Mallorca vs Real Madrid, gemu iliisha kwa sare ya bao 1 -1, mpira mwingi ulipigwa na Real Mallorca jana na almanusura Madrid walie dakika za mwisho, Real Madrid ndio mabingwa wa soka duniani, ndio timu yenye mafanikio makubwa namba duniani, timu yenye makombe...
Hello habari zenu kuna dada anatafuta mchumba HIV positive
Sifa zake
Muislam very religious
Umri 23
Mahali alipo mtwara
Vigezo vyake
Awe muislam
Asizidi miaka 40+
Kama utakua interested unaweza kunifata PM nikakupa mawasiliano nae
========
Kauli hii ilitolewa na naibu waziri wa elimu wakati huo Joseph Kakunda na ilileta mjadala kwa watu wengi. Hata hivyo Novemba 10, 2017 Kakunda alikuja kutolea ufafanuzi bungeni kwamba alimaanisha sera mpya miaka ijayo itakuwa lazima mtoto kusoma kuanzia chekechea mpaka kidato cha nne...
Mtoto wa miaka 4 avunja kioo cha Shabiby kwa manati
Basi la Shabiby Line lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Dodoma lilichelewa kwa takriban saa moja na nusu Agosti 14, 2024, baada ya mtoto wa miaka minne wa Kijiji cha Ndolela, Iringa, kuvunja dirisha la basi kwa manati kutokea upande wa pili wa...
541: Kulitokea janga la ugonjwa maarufu kama Justinian's plague huko maeneo ya mediterranean. Watu zaidi ya milioni 15 walifariki dunia.
1348: Kulitokea janga la ugonjwa maarufu kama bubonic plague huko ulaya watu milioni 25 walifariki.
1520: Kulitokea janga la smallpox maeneo ya Marekani...
Wakuu nimeona hii youtube.Binafsi nimeumia sana.
“washiriki wa Tanzania wameendelea kurudisha ukame nyumbani kwa zaidi ya miaka 50 bila midali ya dhahabu.”
Ni huzunini kwa kweli.
https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/sports/tanzania-at-the-olympics-50-years-of-missed-opportunities-4722068...
Ikiwa Mashindano ya Olympics yamemalizika leo Agosti 11, 2024 Wawakilishi wa Tanzania katika Mashindano ya Olympics nchini Ufaransa watarejea nchini bila ushindi wa Medali yoyote
Tanzania ilipeleka timu ya Wanariadha 7 kwenye Mashindano hayo
Aidha mara ya mwisho Tanzania kupta Medali ya fedha...
Mimi ni Kijana wa Jamii ya Kimasai kutoka Longido, Kata ya Tinga Tinga, naomba malalamiko haya wa Wananchi yamfikie Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda.
Kata yetu inashida ya maji tangu enzi na enzi japo tuko karibu sana na vyanzo vingi vya maji, pia Serikali imekuwa ikileta miradi mbalimbali...
Anonymous (827b)
Thread
ajabu
hatuna
longido
maji
miaka
miradi
serikali
wakazi
Kuna kazi ambazo kuna umri ukifika ni lazima uiache kila kazi na umri wake.
Mfano mpira wa miguu mara nyingi ni mwisho miaka 38
Kuna kazi ambazo ni lazima utaicha mapema na kwenda kutafuta kazi ya kumalizia uzee wako
Mfano
Kukwea mlima
Ufundi wa kupaua
Udada poa
Ukonda wa dala dala
Kazi...
habari za ujenzi wa taifa?
Hili swala la kuwachukulia Watoto wa miaka ya 2000 tofauti limekuwa likizidi kushamili siku Hadi siku sijajua labda social media kwa kipindi hiki ila hapo zamani kidogo (80' 90')sijawahi sikia kizazi fulani kikibezwa kwa namna yoyote tofauti na kuchukuliana lakini...
Kwanza natanguliza samahani. Nimeona clip nyingi YouTube zikizungumza habari ambazo hazina Arya juu ya Arya ya makonda
Inasemekana kwa week mobile RC makonda hajaonekana hadharani. Kama kuna mtu ana uhakika na habari hizi au anajua huyu kipenzi cha wa Tanzania alipo atujuze
Huyu ndiye kijana wangu Said Salim Bakhresa, Mtu tajiri sana hapo Tanzania ambaye leo anasherehekea miaka 75 ya kuzaliwa.
Mpaka sasa, Bakhresa sidhani kama amewahi kunywa:
👉🏾 Azam Energy
👉🏾 Azam cola
👉🏾 Azam Embe
👉🏾Azam Malta
Bakhressa hajawahi ku motivate vijana wa Kitanzania kupitia media...
Sidhani kama hili halikuwekwa kwenye mkataba, kwamba waliotengeneza treni hiyo wanatakiwa kutoa warrant ya sio chini ya miaka mitatu, na pia, kwa muda walau wa mwaka, washiriki moja kwa moja pamoja na watanzania katika kuiendesha katika safari zake.
Hii itasaidia kuhamisha maarifa kwa mafundi...
Au mnasemaje wanabodi ili tuingize vitu vipyaaa na tusalimishe mazingira na afya.
Katika kulinganisha viwango vya ushuru vya magari yaliyotumika na nchi nyingine, tunaona tofauti kubwa. Kwa mfano, nchini Kenya, ushuru wa magari yaliyotumika unatozwa kwa kiwango cha 20% kwa magari yenye umri wa...
Siku zote Thamani ya Mjanja anayejitambua kama Rafiki yangu Bila bila haiwezi kuwa ya kupewa Shilingi Milioni 200 kwa mwaka wakati Mjanja mwingine anayejitambua kama GENTAMYCINE Yeye anajijua kabisa kuwa Thamani yake kwa sasa na kwa jinsi alivyo hapa Barani Afrika ni kuanzia Bilioni 3 kwa Mwaka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.