Ushauri wenu wakina
Kijana wangu wakiume Umri miaka 8 kwa muda mrefu sana takribani miaka 4 uume wa kijana wangu umri miaka 8 simuoni uume ukisimama asubuh anapoamka.
Ama nikimuamsha usiku wa mananE pia sioni uume ukisimama ila hapo kabla miaka 4 nyuma alikua akisimamisha vizur tu
Msaada...
Habarini,
Nlikuwa mahali kwenye sehemu wanapopatikana maafisa utamu, ndani ya Moja ya majiji makubwa yanayopatikana hapa nchini, nikizuga napata kilaji aloo, kwenye gesti wanazojiuza madada poa wanatoka watu wazima na vijana ambao kwa muonekano wa nje hawafananii kabisa, ukiwaangalia utasema ni...
Leo ni siku iliyosubiriwa kwa hamu kubwa na Watanzania. Siku ya maandamano ya wananchi wakiongozwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa Chama hiko; amefafanua kwamba lengo la maandamano hayo ni kupinga wimbi na matendo mabaya yanayoendelea nchini ya utekaji...
Mwaka 2040 sio mbali sana, Tusijisahau sana kwenye kujiandaa na uzee, kujali afya zetu, kuwekeza, n.k.
Umezaliwa 1970, ukifika 2040 utakuwa na miaka 70
Umezaliwa 1971, ukifika 2040 utakuwa na miaka 69
Umezaliwa 1972, ukifika 2040 utakuwa na miaka 68
Umezaliwa 1973, ukifika 2040 utakuwa na...
Naitaji mwanamke awe na Umri wa 35- 42
Nataka nimpe kazi ya kumlea mwanangu.
Mtoto wangu ana Umri wa miaka 7. Ni wakike.
Mshahara tutajadiliana mara Baada ya kuonana.
Tuwasiliane
NOTE: Hakikisha uwe mkristo, na ni muuzuriaji wa kanisani na jumuia(Mkatoriki).
Tuwasiliane in Box.
Mpja kwa moja kwenye mada
Wazazi wengi wanakomaa kulipa ada kubwa na kujitoa muhanga kiuchumi ili watoto wao wasimame. Kusudi lililojificha nyuma ni ili mtoto wao akifanikiwa awasaidie kimaisha.
Wazazi wanavizia mahari za watoto wao wa kike. Wanapambana watoto wa kike waolewe na wenye uwezo ili...
Wasomi kwa wajinga, vijana kwa wazee, wanawake kwa wanaume kipaumbele chao ni uchaguzi mkuu.
Nilidhani uchaguzi mkuu ni kipaumbele cha wajinga tu kumbe wasomi ndio zaidi.
Wateule wanapomsifu Rais aliyewateua mwishoni hugusia uchaguzi mkuu.
Wapinzani wataongea yote mwishoni watagusa uchaguzi...
Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania.
Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni...
Furaha imetanda katika Kaya moja nchini Nigeria ambapo mwanamke mwenye umri wa miaka 40 amejifungua watoto 6 ikiwa watatu wa kiume na watatu wa kike baada ya kupita miaka zaidi ya 20 tangu alipopata mtoto wake wa kwanza.
Kuzaliwa kwa watoto hao kulitangazwa katika video iliyosambazwa TikToka na...
Kwa hali ninavyona mimi!
Elimu yetu afrika iko nyuma sana na ulimwengu unavyokwenda kwa kasi!
Elimu yetu inakwenda kuwa siyo kitu cha kujivunia tena kuwa nacho maana haitakuwa na msaada kiuchumi!
Elimu yetu itakwenda kuongeza utapeli mwingi kwa watu
Elimu yetu inakwenda kuwafungia watu...
Maana yupo bado anaishi nyumbani kwa wazazi wake. Mwingine yupo tu amekomaa kuishi kwa shemeji yake mjini, wakati chuo kaishamaliza miaka kadhaa ilopita, hana kazi wala biashara, na kakomaa town kubanabana familia za watu.
Na mambo yalivyobadilika hususani utovu wa kimaadili kama vile ulawiti...
Alama ya pengo la kijinsia duniani kwa mwaka 2024 ni 68.5%, ikiwa maana 31.5% ya pengo hilo bado halijashughulikiwa. Maendeleo
yamekuwa polepole sana, na kuboreshwa kwa asilimia 0.1% tu kutoka mwaka 2023.
Kwa kasi hii, itachukua miaka 134 kufikia usawa wa kijinsia duniani, mbali sana na lengo...
Kama una miaka 30 tayari umetumia nusu yako nyepesi sasa upo kwenye nusu nyingine isiyohitaji mizaha 😔
Watalaam husema miaka 30 unakuwa umeishi nusu ya maisha yako hivyo mkononi unakuwa tena na nusu nyingine ✍️
Nusu ya kwanza umeitumiaje?
Kwa asilimia kubwa hii nusu umetumia ukiwa shule ila...
Moderator hii ni hoja ya kisiasa msiigeuze ya lugha.
Suala la Elimu ya nchi hii kuwa ya kiwango cha juu ama cha chini ni la mjadala.
Lakini kiwango cha usomi wa wasomi wetu si mjadala unaotakiwa kuahirishwa.
Hivi wasomi wetu tunawapimaje, kwa nini wasomi wetu linapokuja suala la ushindani na...
Huu ndio umri wa watu wengi wa lala salama katika mahusiano ya kufa na kuzikana.
Kama umefikisha huo umri,na mahusiano yako hayaeleweki eleweki, chukua hatua mapema.
Kama ni mwanamke, na una kipato na hujapata mtu wa kueleweka, tafuta mwanaume yeyote choka mbaya ambaye atakuheshimisha na...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo, wamechangia damu kwa ajili ya kuwasaidia wananchi pindi wanapopata Changamoto za uhitaji wa damu katika Wilaya ya Mbogwe Mkoa wa Geita.
Kamishna Msaidizi wa Polisi ACPMagai Chassa amesema Jeshi la...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo, leo Septemba 13, 2024 wamechangia damu kwa wagonjwa wenye uhitaji na kufanya mazoezi ya kutembea katika Jiji la Arusha.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Debora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.