Mabati imara kabisa ya kisasa polaris*
Warrant miaka 10
Delivery popote tanzania Unafikishiwa popote pale ulipo Tanzania
Bati kutoka moja kwa moja kiwandani
Bei za viwandani kabisa m
Gauge 28 25000tsh tu na gauge 30 21000tsh tu
Weka order yako
Wasilana na sisi zaidi
+255742892195...
Hili jiko limeboreshwa, wengi walioishi kwenye nyumba za serikali alizoacha mkoloni walikutana na majiko ya aina hii. Yale ya enzi zile haya kuş na sehemu ya umeme.
Enzi zile waliotumia majiko haya, walitumia matawi ya miti kama nüshayı. Enzi zile nchi ilikua bado na miti mingi sana...
Tume ya uchaguzi ipo chini ya CHAMA x
Mwenye kiti wa tume ni mteule wa CHAMA x
Wasimamizi wa uchaguzi ni wajumbe wa CHAMA x
Polisi wanaosimamia uchaguzi ni wa CHAMA x
Usalama wa taifa upo upande wa CHAMA x
Bajeti ya uchaguzi inatolewa na CHAMA x
Vifaaa na vyombo vya usafiri kwa ajili ya...
Wale wahenga wenzangu mtakuwa mnamkumbuka huyu mwamba coz alitupa burudani wakati wa utoto wetu!Huu ndiyo muonekano wake wa sasa akiwa na umri wa miaka 70! Wakati ni ukuta!
Ukiangalia pamoja na teknolojia kuwa kubwa.
Hospitali kuwa nyingi
Madawa kuwa mengi
Ila watu wanakufa wakiwa na umri mdogo Sana.
Life expectancy Kama imeshuka.
Kwenye familia yangu hakuna MTU hata mmoja mwenye umri wa miaka 80+ yrs.
Ila Bibi yangu alifariki mwaka 2003 alikufa na 84.
Sasa...
Naomba kupatiwa jina la wimbo huu wa tangazo la salama condoms. Ilikuwa ni miaka ya 2004-2005..kuna mwanaume na mwanamke wapo ndani sebuleni wanajiandaa kufanya mapenzi, mwanaume akakumbuka kitu, akapandaa juu ya sturi akafungua dari na kuchukua kitabu kama kava hivi halaf akatoa condom...
Prom ni sherehe ya kumaliza mitihani ya NECTA. Nisiku ambayo vijana wanavaa mavazi wanayopenda na huwa wanapendeza sana.
Kijana huyu pichani aliamua kuvaa suit ya skirt, kitendo hiki kiliwasikisha wengi. Dunia hii tunakoelekea tunahitaji maombi na kufunga kwa sala.
Waziri mkuu wa zamani wa Israel Naftari Bennet amesema kuwa zamani Biden alisema acheni kwanza sasa amesema pambaneni tuko nyuma yenu hivyo tunachagua pakuanzia viwanda vya uchimbaji mafuta,nyuklia ,kambi za jeshi au makazi ya viongozi, kutakuwa na machungu makali na vilio.
Waziri huyo anayeona...
Tangazo la IDF litakuwa rahisi tu, "Iran will no longer be able to sponsor terrorism for the next 200 years"
Israel atahack mifumo ya ulinzi wa anga wa Iran na kuitumia kulipua maeneo mbalimbali ndani ya Iran.
Wakati huohuo ndege vita zitashambulia vyanzo vya maji na umeme ikiwemo vile vya...
Kama mada inavyojieleza
Hii hali imenishangaza sana. Nina marafiki wengi wa kike na kiume wenye umri unaocheza miaka 35 mpaka 37 wengi wao ndoa zao zimevunjika na nyingine zipo ICU
Wengi wa marafiki hawa walioa baada ya kumaliza vyuo tena kwa mbwembwe nyingi leo hii ndo zimesambaratika na wengi...
Timu dhaifu za mikoani msimu huu ni zile zinazocheza kimazoea mfano Namungo, coastal na Kagera Sugar.
Timu kama
Mashujaa Fc
Pamba
Prison
Jkt
Singida black stars
Fountain gate
Tabora Fc
Hizi timu kwa sasa kwa observations zangu baada ya kucheza mechi kadhaa zimeingia kwenye mfuno mapema...
Money management ni moja ya life skills muhimu sana unayotakiwa kuiboresha, lakini bahati mbaya sio kitu ambacho kinafundishwa shuleni.
Wapo tayari kutufundisha Kiundani zaidi historia ya akina Vasco dagama Jinsi walivyoweza kufika afrika kusini kuliko kutufundisha namna ya kutengeneza...
Kwa mujibu wa takwimu za BOT hadi julai 2024 deni la taifa limefikia Trillioni 98.5 tangu tupate uhuru.
Imetuchukua miaka 60 tangu kupata uhuru from 1961 to 2020 na Maraisi Watano Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli kufikisha Trillioni 56.5 ya Deni la taifa.
Halafu ndani ya miaka...
Kama kumbukumbu zangu zipo sawa. Mtanirekebisha wadau.
Hii ni kabla ya matches ya jana. Otherwise pia draws ni nyingi sana. Ila Yanga imemchapa sana Azam tena kwa magoal lukuki.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la Mwaka 2023 kuhusu elimu ya lazima kuwa ya miaka 10 utaanza Mwaka 2027/28 ambapo wahitimu wa elimu ya msingi ya miaka 6 watakutana na wahitimu wa mwisho wa elimu...
Kuna kundi fulani la watu lina misimamo ilio very complicating.
Jamii zao wanazibandika jina la kundi lao utafikiri ardhi wanayoikanyaga imeandaliwa kwa ajili yao tu.
Lina fukuza watu wasio wa kundi lao katika jamii zao ila jamii zao ziikishia kupata kash kash ziletazwo na watu wa kundi lao...
Msanii Roma Mkatoliki aonesha upendo kwa msaa mwenzake Nay wa Mitengo kwa kuhamasisha wananchi wamchangie msanii Nay wa Mitego kama shukrani kwake kwa kupigania haki za wananchi.
Nay
Mwaka 1964 ndio ulikuwa mwanzo wa Tanzania kuanza kupeleka wanamichezo kwenye michezo ya Olympic na tumekuwa tukifanya hivyo kila wakati isipokuwa michezo ya Olympic ya mwaka 1976 huku pia tukiwa hatujawahi kushiriki kwenye ile michezo ya Olympic ya Winter.
Katika michezo hii toka mwaka 1964...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.