Waafrica wote akili zetu zinafanana,
Ustaadhi Ngolo Kante amevamia mtumbwi wa vibwengo kwa kuoa lishangaji Jude Littler lenye watoto watatu na umri wa miaka 47.
Historia ya shangazi huyo huko nyuma sio nzuri Djibril Cisse aliwahi kuwa nae huko nyuma aliambulia kupigwana kitu kizito.
Pesa zote...
Watengenezaji wakubwa wa battery za magari ya umeme CATL jana (tar 13 Sept) wamezindua battery Tectrans Bus Edition kwaajili ya mabasi ya umeme yenye lifespan ya miaka 15 au Kilometa Mil 1.5 na warranty ya miaka 10 au kilometa Million 1.
Hii battery ina energy density ya 175 Wh/kg ambayo ni...
Wataalam habari zenu.
Kuna mtoto anashida ya kutembea, mara ya kwanza alikuwa hawezi kukaa, alikuwa analala tu. Tukamtafutia baby seater.
Sasa anakata, Sasa ni wakati wa kumtafutia baby walker. Naamini atasimama na kutembea.
Naona nguvu anazo ila kuna shida za hapa na pale za kiafa. Ikiwemo...
Mwigizaji James Earl Jones ambaye alipata umaarufu katika filamu nyingi ikiwemo Field of Dreams, Coming To America, Conan the Barbarian, na The Lion King amefariki Dunia akiwa na umri wa Miaka 93.
Imeelezwa kuwa Earl Jones ambaye pia alisifika kwa kuingiza sauti katika filamu kadhaa ikiwemo...
Kila kitu kinachofanywa kwenye makanisa hakuna mpango na kumtukuza Mungu Bali ni mipango ya kibiashara kupata pesa..kwanzia mahubiri yanalenga pesa ,nyimbo ndo usiseme ni zaid ya bongo flavor
Mapenzi yanauma kuliko chochote sababu hayana dawa kabisa. Huyu binti nilimpenda kupenda, anatembea na nusu ya uhai wangu.
Tumekuwa kwenye mahusiano muda mrefu na tulipanga mengi, nilijitahidi kumridhisha katika mahitaji yake ya kimwili, kihisia na kiroho. Kwa bahati isiyo yangu binti katamka...
Mradi mmoja tu wa Tanzania wa reli ni zaidi ya $10B sasa China kusema watawekeza $16.6B kwa mwaka kwa miaka 3 kwa Africa nzima ni kichekesho kwa nchi kubwa vile na haita badilisha chochote. China wanaimarisha vitu tu ambavyo vinawasaidia wenyewe kama kusafirisha shabba ya Zambia lakini hawajali...
Mume wa mtu miaka 5 hataki kunioa nimapata MWANAUME mwinagine naye ni mume wa mtu!
Niko kwenye mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 5 na tuna mtoto mmoja. Ni mwanaume ambaye ananihudumia kwa kila kitu, ananijali na sijawahi kukutana na mke wake, hata sijui kama ananifahamu kwani huyu mwanaume ana...
Leo nimewaletea picha na video ya tukio mojawapo lililoleta ukakasi/na kuwaumiza wamarekani weusi miaka nyuma NCHINI MAREKANI, George Stinney Jr black America alikuwa kijana mwenye umri mdogo zaidi kuuawa kikatili Marekani akiwa na umri wa miaka 14 alinyongwa June 16,1944 na alizaliwa October...
Naangazia mada yangu kwa muktadha wa kutoa maoni kwa tume maalumu ya mipango ya nchi.
Ni wakati muafaka wa kufikiri na kufanyia kazi kwa haraka.
Tanzania kupitia JWTZ ifanye uwekezaji huu muhimu na kwa haraka ili tujitosheleze kwa nishati lakini pia tujiwekeze kiulinzi.
Zama za kutegemea URUSI...
Nikitazama namna ya maisha ilivyo sasa na inavyo enda nathubutu
kusema kwamba wazee wa kuanzia miaka ijayo 20 au pengine hata kabla
watakabiliwa na maisha magumu sana.
Hili nalitazama katika mambo matatu. Mosi ni wazazi wengi wa sasa
kukosa muda wa kuwa na watoto wao kwa ajili ya kutafuta...
Goli kipa raia wa Sudani kusini Yogusuk Simon ambaye amefikisha miaka 20, picha zake zilianza kusambaa miaka miwili nyuma 2022 kwenye mitandao ya kijamii zilizoibuz maswali mengi kwa mashabiki wa soka na kushangaza utofauti uliopo kati ya muonekano wake na umri wake. umri wake na muonekano wake...
Sikia kisa cha Joseph Minala kiungo raia wa Cameroon aliwahi kukutana na changamoto ya kuhisiwa kudanganya umri wakati huo ambao alikuwa anadai kuwa na umri wa miaka 17.
Vyombo vya habari vya Italia vilidai kwamba wakati huo alikuwa na umri wa miaka 42 na sio 17 kama ambavyo anasema
Mchezaji...
Sijajua kama wao wanajua mteja ni mfalme. Ni sawa CRDB wanataka kwenda kidijitali lakini hawaendani na service ku satisfy customer. Haiwezekani mteja anataka kufanya transaction kwa Simbaking lakini anachukua zaidi ya saa 3 kukamilisha huduma.
Hivi hii huduma inarahisha au inachelewesha...
Dotto anaongea ukweli wasomi lazima wabadilike tena sana.
Zaidi ya vyeti na ajira ni kitu gani kikubwa msomi ana miliki wakuu?
VYETI: Msomi akifa watoto hawawezi kurithi vyeti.
Akifa tu vyeti vinatupwa jalalani havina kazi tena.
AJIRA: Msomi akifa watoto hawawezi kuirithi. Akifa tu ajira...
Mahakama ya wilaya ya Ruangwa imemhukumu Juma Saidi Selemani almaarufu kama Dj Mushizo (23) mkazi wa Kijiji cha Nandanga wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi kwenda jela kifungo cha maisha kwa kosa la kubaka mtoto mwenye umri wa miaka minne.
Hukumu hiyo ya kesi ya Jinai namba 3071/2024 imetolewa na...
Complex na Vivian walikuwa wasanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania. Kifo chao kilikuwa na athari kubwa katika tasnia ya muziki nchini. Walifariki kwa ajali ya gari tarehe 21 Agosti 2005, wakati wakiwa safarini kuelekea kwenye shoo. Ajali hiyo ilileta huzuni kubwa kwa mashabiki...
Taliban wmefanya gwaride kubwa kwa kutumia magari ya deraya na silaha kibao walizowateka Wamarfekani miaka 3 nyuma.
Ikumbukwe kuwa Taliban waliingia vitani na Wamarekani kwa miaka 20 mfululizo baada ya Wamarekani kuwashmabili na kuwataka kuiondowa serikali ya wanafunzi (Taliban) kwa mabavu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.