Rwanda hawana tabia ya kuendekeza ujinga kama huuuu
N KANCHI kadogo lakini hakajawahi kukoseankunfundisha adabu pale anapokosea
Mpaka sasa nilitakiwa kuona MH WAZIRI WA MICHEZO akiwa amejiuuxulu na KUOMBA radhi kwa UPUUXI WA TFF na BODI take uliotokea
Else anatakiwa awe ameshafyrka Ile BODI...
Ni mambo ya kijinga na ya AIBU YANAENDELEA kwenye SOKA LETU
Yaliyotokea Jana n jambo la AIBU SANA SANA kwa viongozi WA soka la Tanzania
Haitoshi nawiwaa na wasiwasi na waziri HUSIKA kukaa kimya SWALA kama hili ni kuendelea kudumisha ushenzi unaoendelea kwenye SOKA la Tanzania
Binafsi kama MH...
Mbona kwenye ile nchi ya Colombia utapeli na kutojali ni kama vile sehemu ya maisha karibu kila nyanja?
Kwa mfano, mtu ametoka jimbo moja kwenda jimbo lingine kutazama mechi ya dabi, amekata tiketi ya kutazama, mwisho wa siku mechi inahairishwa. Huu ni utapeli kama utapeli mwingine kwa sababu...
Zama zile wakati Yanga wanaishia kwenye hatua ya makundi mashindano ya CAF, waandishi wa habari za michezo Tanzania waliipachika Yanga jina la "wa kimataifa".
Leo Simba imeingia robo fainali nne za mashindano ya CAF na kusababisha Tanzania kuongezewa timu mbili kwenye mashindano ya CAF, huoni...
Mashabiki wa Simba Mashabiki Simba nawaita Tena Simba jiandaen kalieni kusema Yanga ananunua match ila mnajisahau kwenye hili.
Muulizeni Mganga wenu hili kama analifanyia kazi?
Nenden mkajikumbushe games 5 za nyuma za Yanga kabla hajaja kuwapiga Zile 5 alikua anashinda Kwa goli ngapi ngapi...
Sio jambo la kificho tena, kuwa timu kubwa hapa nchini zinapendelewa na waamuzi waziwazi..
Timu ndogo zinafahamu hili, Mashabiki tunajua hili, Wachezaji na makocha wanajua hili,
Media zote wanajua hili, TFF inalijua jambo hili,
Malalamiko haya yamekuwepo miaka nenda rudi. Lakini kwa nyakati...
Wakuu Habarini...
Wakati Hii Redio Inakuja, Ilianza Kwa Kishindo Sana Na Wengi Tukafurahi Kwamba Sasa Tunapata Uwanda Mpana Wa Kupata Habari Toka Vyanzo Na Redio Mbalimbali.
Ila Kuna Mbinu Ambayo Waliitumia Kwa Kushawishi Na Kuiba Wafanyakazi Wenye Uzoefu Toka Redio Zingine. Ni swala zuri...
Nchini Kyrgyzstan Serikali ya nchi hiyo inajenga uwanja wa kisasa kweli wa michezo wenye uwezo wa kuchukua watu 45,000 kwa gharama za Dola Milioni 60 tu za Marekani sawa na shilingi Bilioni 154 za Kitanzania.
Huko Arusha Serikali ya CCM wanajenga uwanja wa michezo wenye uwezo wa kuchukua watu...
Mwandishi wa habari mkongwe nchini Tanzania, Abdallah Majura amehoji kuhusu radio kuwa na vipindi vya michezo asubuhi na kujadili mambo ya Simba na Yanga.
“Tangu asubuhi watu wanatangaza michezo tu, lakini siamini kwamba Watanzania wote wanapenda michezo tu”
Nafikiri Majura atakuwa...
"Bunge linaazimia kwamba Serikali ihakikishe inakarabati uwanja wa Benjamin Mkapa ifikapo April 2025, Serikali iandae mikakati ya kuanzisha chombo maaulumu cha kusimamia uwanja wa Benjamin Mkapa na viwanja vingine vinavyojengwa na Serikali ili kuhakikisha kuwa vinatunzwa na vinakuwa katika ubora...
Katika ligi nyingi za michezo za Kimarekani, kama MLB Major League Baseball, NBA National Basketball Association, na NFL National Football League, timu zinazoshindana na wachezaji wake huitwa "Mabingwa wa Dunia"? Ukizingatia kuwa mashindano hayo yanajumuisha timu na wachezaji kutoka Marekani tu...
Rais Donald Trump amesaini rasmi amri ya kiutendaji jana, Jumatano, Februari 5, 2025, ya kupiga marufuku wanamichezo waliobadili jinsia kushiriki katika michezo ya wasichana na wanawake.
Amri hiyo, inayojulikana kama "Kuwazuia Wanaume Kuingia Kwenye Michezo ya Wanawake," inawapa mashirika ya...
Anachokifanya Lema na wenzake sasa kwa hivi kwa Mbowe ni sawa na kile walichokifanya CHADEMA enzi za Lowassa kumgeuza kuwa mbuzi wa kafara na kumuhusisha na kila ufisadi mkubwa nchini?
Soma
Uzi maalum wenye matukio yote kuhusu sakata la Richmond
Kama kweli Waziri Bashe katoa kibali cha...
Aiseh kweli soka la wezetu limeendelea, uki angalia kikosi chote cha kwanza cha MC Alger wote ni wazawa hata walioko subs 2 tu na ni wa Ivory Coast 🇨🇮 wote!!
Baadhi ya Watu waliotoa ripoti za kuibiwa simu katika vituo vya Polisi Stakishari Ukonga Jijini Dar es Salaam na katika Kituo cha Kilwa Roads Police wanasema kila wanapofuatilia simu zao zilizoripotiwa kuibiwa huzikuta kwa watu ambao wamezinunua kutoka kwa watu waliopewa simu hizo na maafande...
Central African Republic Sports Minister presented this new motorbike to coach Sébastien Ngato for guiding them through to the 2024 CHAN tournament.
This is the most expensive bike in the country and it’s a nice way to reward the coach for his efforts.
Naomba tujiunge group letu pendwa la watani wa jadi Tanzania wewe ukitaka kujiunga gusa hapa tu : SIMBA VS YANGA utakuwa umeungana na wana michezo wenzako karibu sana mdau wa soka unakaribishwa kutoa hoja kuhusu Soka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.