michezo

  1. GENTAMYCINE

    Waandishi wa Habari na Watangazaji wa Michezo pamoja na Mashabiki wa Yanga SC iepukeni hii kauli ya kinafiki inakera

    Kumekuwa na Utamaduni wa Kipuuzi kutoka hasa kwa Waandishi wa Habari, Watangazaji wa Michezo nchini pamoja na Mashabiki wa Yanga SC juu ya Kauli hii ya Kinafiki. Kila ambapo Klabu ya Simba (hasa pale tu Kikosi chake) kikiwa imara na kinafanya vyema katika Mechi zake kuliko Klabu ya Yanga...
Back
Top Bottom