Imeibuka tabia ya watu kujifanya wao wanaujua zidi mpira ama kwa kutoa kauli tata za kukatisha tamaa timu yetu ya Taifa, wachezaji na makocha pale kwa bahati mbaya inapokosa matokeo mazuri
Kuna watu ambao huonekana kwenye michezo ya Simba na Yanga wakiongea hovyo huku ama wamejipaka mdude gani...
Michezo ina umuhimu mkubwa sana katika ukuaji na ustawi bora wa mtoto. Wataalamu wa malezi wanatuambia kuwa mtoto asiyecheza huwa ni mwenye kuzubaa muda wote na mara nyingi huwa mgumu sana katika kuelewa mambo.
Pale watoto wanapocheza michezo ya viungo huwawezesha kuimarika misuli na kuwafanya...
Tanzania tuna vichambuzi uchwara vya michezo. Eti mtu akishawafahamu wachezaji 10 wa timu za Ulaya eti anatafuta kiredio uchwara nae akachambue habari za michezo. Ni watu wanaokatisha Tamaa wachezaji, makocha, na wadhamini wa timu. Wanagombanisha wachezaji kwa wachezaji, wachezaji na makocha...
Niaje ni vipi!
Kuna hii Michezo ya mitandao mfano voda wao wana Tusua spoti na Tusua mapene, kuna watu huwa wanashinda na wengine hawashindi.
Hebu tupeane mbinu za kuongeza chances za kushinda.
wataalam wa mambo tusaidiane.
Chief-Mkwawa
Kwanza alikuja na Slogan ya The Return of Champions akimaanisha kuwa Yanga SC imerudi na kweli tumeona imerudi Kweli kusubiria kucheza Ligi ya Mchangani (Ligi Kuu)
Pili Klabu ya Yanga SC ilipokuwa ikienda nchini Nigeria kucheza mchezo wake wa Marudiano na Rivers United FC Haji Manara...
Habari za leo wana Jf.
Hakika ni ijumaa njema yenye baraka.
Hivi karibuni nimefika eneo moja la michezo ya watoto hapa jijini.
Awali lilikuwa limefungwa kwa ajili ya ukarabati kwa sasa wamefungua.
Eneo hilo lilikuwa lina maeneo matatu.
Eneo la kwanza unalipia kuna farasi magari na midoli...
Aisee saa hizi Maulid Maulid amempiga mwenzake teke, jamaa kalala kwa zaidi ya dk 2, ameamka hajielewi kabisa hata wakati mshindi anatangazwa jamaa alishindwa kusimama.
Hii ni ligi nzuri napenda kuiangalia kwenye Vitasa plus, lakini nimeshangazwa hakuna Watu wa huduma ya kwanza uwanjani, maana...
Haishauriwi kuvaa barakoa wakati wa kushiriki michezo au kufanya shughuli za mwili kama vile kukimbia, kuruka ili kutoathiri kupumua kwako.
Kuvaa barakoa wakati wa kufanya mazoezi inaweza kuwa jambo hatari. Hii ni kwa sababu, unapofanya mazoezi, mapafu yako yanahitaji hewa zaidi na wakati...
Juma Khatib ( Antonio Nugaz ) alipokuwa Yanga SC...
"Haji Manara hana uwezo na bado kabisa hajaweza kumfikia Antonio Nugaz kwa Kuhamasisha, Kushawishi na kupiga Madongo ya maana na huyu ndiyo kiboko yake"
Juma Khatib ( Antonio Nugaz ) baada ya kuondoka Yanga SC Jana...
"Haji Manara hana...
Habari ya wachezaji wa Simba Clatous Chota Chama raia wa Zambia ambaye amenunuliwa na klabu RS Berkane ya Morocco na Jose Luis Miquissone raia wa Msumbiji ambaye amenunuliwa na Klabu bingwa ya Afrika AL Ahly ambao wamenunuliwa kwa mabilioni ya fedha inatukumbusha umuhimu wa kuwaanda wachezaji...
Mwezi Agosti mwaka 2008, mji wa Beijing uliandaa michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto, ambayo ilifanikiwa kwa kiasi kikubwa, na kupongezwa na jamii ya kimataifa. Miaka 13 baadaye, mwezi wa Agosti kwa mara nyingine tena, baada ya kufungwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Tokyo, mji wa Beijing umevutia...
Michezo hii ya riadha ya dunia ya vijana wenye umri chini ya 20 itafanyika hapa Nairobi wiki ijayo. Kenya ndio nchi ya kwanza kuhost mashindano haya Afrika. Kenya pia ilikuwa nchi ya kwanza kuhost under 18 world athletics championships miaka michache iliyopita.
Hapa chini team kutoka Poland...
Hii ni mpya.
Serikali imesema itajenga vituo 3 vya michezo kwenye mikoa ya Geita, Dodoma na Dar es Salaam ambapo kila kituo kitagharimu bil.3.
Aidha Serikali itajenga kituo cha umahili wa michezo kwenye chuo cha michezo Malya kitakachoghadia kiasi cha 1.5 bln.
Binafsi sina tatizo na vituo...
Fikiria nchi ya Amani na Utulivu tumepeleka wanariadha watatu pekee kule Japan na hata hao watatu haijulikani wanafanya aje kwa sasa. Nashindwa kuelewa nchi zenye misuko suko ya kutosha zina wanamichezo kibao kule Japan lakini nchi ya Amani na utulivu tumeweza kupeleka wanariadha watatu pekee...
Dah inatisha kwa kweli wanachambua mshahara wa Messi kuna jamaa anasema kwamba mshahara wa mwezi wa Messi una finance bajeti ya nchi ya Tanzania, dah nimejisikia hata kulia inakuwaje watu ma genius kama sisi hatuna ajira halafu vilaza wako kwenye media wanaongea pumba.
Eti bajeti ya tanzania ni...
Asubuhi ya jumatatu ya tarehe 26 Julai 2021 ilinikuta nikiwa kwenye ufukwe wa Coco,macho yangu yalikuwa yanaitazama fukwe hiyo maarufu nchini huku upepo mkali ukivuma kutokea baharini,meli na boti zikikatiza nyingine zikitokea usawa wa bandari ya Dar es salaam na nyingine zikielekea, pia zipo...
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, ameiagiza Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) kuhakikisha inadhibiti ushiriki wa Watoto chini ya miaka 18 katika michezo ya kubahatisha na kuandaa mkakati na mapendekezo kwa Serikali ya namna ya udhibiti huo kutokana na...
Yaani tukio la Bernard Morrison Kuvua Bukta yake, kubakia na Chupi ya Njano huku Bukta akiiweka Kichwani mwake linajadiliwa kwa dakika 120 ila tukio la Tonombe Mukoko la Kumpiga Kiwiko kibaya John Boko ambacho kingeweza Kumjeruhi vibaya kwa Kumvunja Pua au Kumng'oa Meno yake au hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.