MABONDIA wawili wa Tanzania, HASSAN MWAKINYO na IBRAH CLASS, wamevuliwa mikanda ya ubingwa WBF Intercontinental na Shirikisho la ngumi za kulipwa la dunia la WBF. Taarifa iliyotolewa na WBF imeeleza kuwa, mabondia hao si mabingwa tena wa mikanda ya WBF.
Hassan Mwakinyo
---
The World Boxing...
Michezo ni sekta rasmi kama sekta zingine inatakiwa ichangie Pato la Taifa na itoe ajira na burudani pia.
Ni aibu kwa Nchi kubwa kama Tanzania yenye washabiki wengi wa mpira na wacheza kamali yaani betting wa kuyosha kushindwa kuwa na viwanja vya kisasa vya michezo (sports complex) walau Kimoja...
Chama is Back, Triple C is Back.
Baada ya Mechi Ya Mwisho kucheza akiwa Morocco na Kuwa MAN OF THE MATCH. Leo Anarejea Tena, zamu hii Akiwatumikia Simba Sc Dhidi ya Mbeya City. Nini atawapa Wana Simba Sc ni Jambo La kusubiri.
Baada ya kutwaa ubingwa wa mapinduzi Mnyama, Simba SC anarejea...
Tiketi za Michezo ya Olimpiki ya Msimu wa Baridi 'Winter Olympics' itakayoanza Februari 4, 2022 huko Beijing Nchini China zitatolewa kwa makundi kadhaa ya watu na hazitauzwa kwa Umma.
Kutokana na Sera za kudhibiti maambukizi ya COVID19, Waandaaji wamesema mashuhuda wa kimataifa hawatokuwepo, na...
Na Pili Mwinyi
Mwanzoni mwa mwezi Disemba 2021 serikali ya Marekani ilitangaza kususia Michezo ya Olimpki ya Majira ya Baridi ya Beijing ya mwaka 2022, kwa kile walichodai kwamba wanapinga ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na China, hivyo haitaleta maafisa wake kuja China kushiriki...
Caroline Nassoro
Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi imepangwa kufanyika mjini Beijing, China, mwezi Februari, na maandalizi yote kwa ajili ya michezo hiyo yamekamilika.
Lakini baadhi ya nchi ikiwemo Marekani, zimepanga kutoleta maofisa wao katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi...
Habarini jamani?
Naona Tanzania kuna fursa nyingi za kuanzisha klabu za michezo mingine, ukiachana na michezo kama football, boxing, basketball nk. Kuna michezo ambazo zinafaa kwa watu ambao labda football sio kipaji chao.
Na pia michezo hiyo inaweza kuchezwa katika jukwaa la kimataifa...
Huko tunakoelekea mtatusababisha akina GENTAMYCINE tusiovumilia Upumbavu na Unafiki wenu tuwe tunakuja Kuwazaba ( Kuwawamba ) Vibao huko Studioni mliko kwani tumeshawachoka sasa.
Eti Kiungo Aboubakary Salum 'Sure Boy' ndiyo Kiungo bora wa Uchezeshaji kuwahi kutokea Tanzania. Hivi nyie...
• Ni mashindano ya Mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
• Timu 8 kupewa vifaa ili kushiriki.
Jumanne,November 30. Kampuni ya michezo Na burudani SportPesa leo imetoa vifaa vya michezo vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 20 kwa timu ya Bunge ambayo inatarajia...
Habari zenu wanajukwaa!
Kama kichwa kinavyojielezea.lengo langu ni dogo awe professional tennis player. Yaani nguvu nyingi na muda mwingi azielekeze huko kuliko masomo ya darasani.
Mazingira yatamjenga Nina Imani iyo. Yaani wakiamka kila asubuhi saa kumi mpaka saa mbili asubuhi ni mazoezi...
Narudia tena, Tanzania kwenda kombe la dunia labda kwa viti maalumu lakini sio kupambana ili kupata nafasi.
Inashangaza sana kuona kila mtu anategemea dua na kudra za mwenyezi Mungu!!!. Hivi huyu Mungu atasaidia timu gani? Au huyu Mungu yeye ni timu gani? Wazungu wangekuwa na akili kama hizi...
Hivi kama tu Wachezaji wa Kikongo ambao Kutwa tunawaimba, tunawasifu na Kuwakuza mno akina Yanick Bangala, Fiston Mayele, Ducapel Moloko, Tuisila Kisinda, Tonombe Mukoko, Herritier Makambo na Shaaban Djuma hawapati namba, hawaitwi, hawajulikani na hata wakiitwa wanachoma tu Mahindi Benchini...
Walichokuwa wakisema Wiki Moja kabla ya Kucheza na Congo DR leo na kupokea Kichapo cha Kishalubela ( Kikatili ) ni.....
"Congo DR ya sasa si lolote na chochote kwani Wachezaji wao wengi tunawajua na tunao hapa Tanzania. Congo DR watakufa kwa Mkapa na Kipigo Kwao hakikwepeki kwani kwa sasa...
Julai 31 mwaka 2015 mji wa Beijing China ulijawa na furaha, shamrashamra, nderemo na vifijo baada ya Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa kuutangaza kuandaa michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi pamoja na michezo ya Olimpiki ya walemavu ya majira ya baridi mwaka 2022, kwenye kinyang’anyiro...
Habari zenu jamani. Natumaini nyote mko salama kabisa. Mimi niko poa kabisa😊😊
Turudi kwenye mada. Hivi mnajua michezo ya zamani ilikuwa inahimarisha akili na ubongo kwa kuwa mwili unakuwa unafanya kazi?
Mdako
Ukicheza mdako lazima utumie akili ya namna ya kumfunga adui yako. Hapo unacheza...
Azam Tv katika Ukurasa wao wanasema Mechi ni Saa 9 Alasiri leo.
Simba SC katika Kurasa zao wanasema Mechi ni Saa 10 Jioni leo.
Watangazaji wa Vipindi vya Michezo Redioni wamegawanyika wapo wanaosema ni Saa 10 na wengine wakisema ni Saa 9.
Tafadhali mwenye uhakika Kamili wa muda wa Mtanange (...
Mbunge wa Jimbo la Mkuranga, ambaye pia ni Waziri wa mifugo na uvuvi, Abdallah Ulega ametoa rai kwa jamii kuuendeleza mchezo wa bao ili kumuenzi Muasisi wake, Baba wa Taifa ,Hayati, Mwl.Julius Kambarage Nyerere aliyefariki dunia 14,oktoba 1999.
Akimkaribisha mgeni rasmi katika fainali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.