Mkwe wa Rais ambaye pia ni Waziri wa Michezo kulifunga daraja la Salander(Tanzanite) ili kupisha kuonesha Fainali ya Klabu Bingwa Ulaya kati ya Real Madrid Vs Liverpool
--
Waziri Mchengerwa ameyasema haya
“Tunatambua Heineken wamekuwa waki-support michezo na kwa mara ya 1 Tanzania...
Baada ya tetesi nyingi ikiwemo kuelezwa amekosana na kocha wake, taarifa nyingine za ndani zinaeleza kuwa kiungo fundi wa Simba, Clatous Chama hataonekana kwenye mechi wala mazoezini kwa mwezi mmoja kutokana na kuwa majeruhi.
Chama ambaye alikuwa akilipwa mshahara wa Tsh. Milioni 50 kwa mwezi...
Habarini wana jukwa,
Naomba Mwenye ufahamu wa vigezo vinavyo hitajika kujunga na chuo cha michezo cha Mallya na cozi mbali mbali zitolewazo anisaidie nimetamani kufahamu.
Miaka kama mi 4 nyuma kuna mpangaji wetu alitembelewa na mdogo wake kutoka Singida, nikatokea kumpenda sanaa huyo mdogo wake, nikamtongoza akakubali akamwambia na dada yake nae akasema fresh tu.
Kwenye kumla sasa yule dada alikua ana roho ngumu sana kwa jinsi Mama alivyokua mkali na demu wangu...
Nakumbuka nilipokuwa mdogo, shule ya msingi nilikwenda kumtembelea ndugu yangu mmoja, alikuwa anafanya kazi kijiji kimoja huko kanda ya ziwa, miaka hiyo.
Baada ya kufika kule kijijini, nikakutana na marafiki wa rika langu; wakawa wananitembeza mtaa kwa mtaa, ili niweze kufahamu mazingira ya...
Uislamu sio dini ya kununa au kukunja uso na userious muda wote hadi kuanza kuogopeka na watu.
Uislamu ni dini ya wastani isiyo na aina yoyote ya itikadi kali au ulegevu. Inakataza burudani isiyo na faida na isiyo na manufaa ya kidunia au ya kidini, na wakati huo huo inahimiza kupumzika kwa...
Siku chache tu zijazo Yanga SC inatimiza mwaka Mmoja tu (ila siyo Msimu) wa Kucheza Ligi Kuu bila ya Kufungwa.
Tayari kuna baadhi ya Watangazaji wa Michezo wa Redio na Television bila kuwasahau na Wachambuzi wa Michezo ambao pembeni yao Wakidanganywa taratibu na Afisa Habari wa Yanga SC...
Naona ni fursa ya kujiajiri kupitia kutoa huduma ya kuonyesha mpira, masumbwi, tamthilia pamoja na michezo mingine pia hata matukio mbalimbali, Je mchanganuo wa mtaji wake upoje?
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe.Mohamed Mchengerwa amesema Tanzania haiwezi kupiga hatua kwenye sekta ya michezo, iwapo itashindikana kuboresha miundombinu ya michezo, ujenzi wa viwanja vya kisasa, ujenzi wa academy pamoja na ujenzi wa vituo muhimu vya michezo.
"Rais wetu wa Awamu ya...
Serikali inatambua mchango wa Chuo cha IAA katika kuendeleza Michezo nchini
Na Eleuteri Mangi-WUSM, Dodoma
Serikali inatambua na kuthamini mchango unaotolewa na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) katika kuendeleza na kuimarisha sekta ya michezo nchini hatua inayosaidia kutoa ajira kwa vijana na...
Mandhari kwa ajili ya Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing tayari imepangwa mjini Beijing wakati michezo hii inafunguliwa Ijumaa tarehe 4 mwezi huu. Na mascot ya michezo hii ni “Shuey Rhon Rhon”.
Baada ya China kupata nafasi ya kuwa mwenyeji wa Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing, michezo ya majira ya baridi ya walemavu imeendelezwa kwa kasi nchini China.
Katika miaka 6 iliyopita, shule nyingi maalumu kwa ajili ya walemavu zimeanzisha masomo ya michezo ya...
Februari 28, 2022, kituo kikuu cha wanahabari cha Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Walemavu ya Beijing kilianza kazi rasmi baada ya kukamilisha mabadiliko kutoka Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi.
Takriban vyombo vya habari vya uchapishaji na watangazaji 3,300 kutoka sehemu...
Wakati Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing ikikaribia, mitaa ya Beijing imeanza kuwa na mazingira ya shamrashamra kwa michezo hiyo. Kazi mbalimbali za maandalizi ya viwanja vya michezo, utoaji wa huduma, utangazaji n.k zote zimemalizika.
SERIKALI IMERIDHISHWA NA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MICHEZO INAYOTEKELEZWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)
Serikali inaridhishwa na kuthamini hatua zinazochukuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) katika kujenga na kuboresha miundombinu rafiki ya michezo ili...
Teknolojia zimetoa mchango mkubwa kwenye mapambano ya China dhidi ya janga la virusi, hasa kwenye kipindi ambacho inakuwa mwenyeji wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing.
Vyoo vya kisasa vinavyohamishika vimekuwa sifa maalumu ya mfumo wa mzunguko uliofungwa kwenye michezo hiyo...
Kazi ya kubadilisha mandhari ya mji iliyopangwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing na kuwa ya Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing itamalizika leo, tarehe 28 Februari. Mandhari zinazobadilishwa ni pamoja na maeneo 9 ya maua, picha 60, bendera elfu 18...
Tovuti ya gazeti la Marekani “Los Angeles Times” tarehe 19 mwezi huu iliripoti kuwa vifaa vya kisasa vya kiteknolojia kwenye Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing vinawavutia watu wengi duniani, ikiwa ni pamoja na mgahawa unaotoa huduma wenyewe, roboti ya usimamizi kwenye hoteli na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.