Michezo inaendeleza Biashara ya watu
Kwenye michezo sahivi ni pesa kwanza, maana yake biashara, watu wanauzwa na kununuliwa kama bidhaa mithili ya ilivyokuwa kwenye zama za utumwa miaka ile. Timu zinakaa mezani kupitia viongozi wao na kujadili bei ya wachezaji kisha kulipana pesa. Hii ni...
Ofisi nzima kuanzia waziri wapo Uturuki kuponda raha eti wameenda kushangilia timu ya Walemavu/Tembo Warriors.
Swali: Hii wizara kazi yake ni moja tu kushangilia Tembo Warriors?
Huu ni ufisadi was kutisha, rudini mhudumie wananchi wizi ni dhambi.
Tangu msifiwe na Rais sasa imekuwa ndio tiketi...
Leo mchana niliona tweet kwenye page ya Al Hilal kwamba maofisa wake WATATU wanakuja Dar es Salaam kuweka mazingira sawa, nilisahau ku i capture na usiku huu siioni, nafikiri ipo deleted.
Kilichonistua ni tweet yao mpya kwamba afisa wao (mmoja) kafika DSM na kapokelewa na Injinia Hersi. Katika...
Naam ama kwa hakika watu wanalamba asali aisee, wanakula kwa urefu wa kamba zao...ukiwaskia wahusika sasa kwenye majukwaa.
"VIJANA CHEZENI MICHEZO ILI KUJENGA AFYA BORA...BADALA YA KUJIUNGA NA VIKUNDI VYA UHALIFU TUMIENI MUDA HUO KUCHEZA MICHEZO, WAZAZI WARUHUSUNI WATOTO WENU WACHEZE MICHEZO...
Asisubiriwe mpaka apoe, muda sahihi ni huu wakati bado anashika chati kwenye muziki.
Jux ni msanii alieweza kufanya muziki na kusoma kwa mpigo, anastahili kupewa ajira ya kipendeleo kabisa, ilibidi na mshahara wa ziada ili awe balozi kwa vijana wengi nao watamani kupita njia aliyopitia Jux...
Amani iwe nanyi.
Nikiwa kama mdau wa michezo, napenda kuishauri kampuni ya habari ya AZAM kuhakikisha kuwa uwekezaji wao wanaoufanya katika tasnia ya michezo unaendana sambamba na kuwapa elimu ya msingi (basic education) watangazaji na wachambuzi wao.
Niipongeze kampuni ya Azam Media katika...
Katika mashindano ya mbio za Marathon ya Berlin 2022, bingwa wa dunia wa mbio za marathon, Eliud Kipchoge amevunja rekodi yake ya dunia aliyokuwa akiishikilia mwenyewe na kutwaa ubingwa huo kwa muda wa saa 2, dakika 1 na sekunde 9. Kikomo cha uwezo wa binadamu kimevukwa tena. Kwa Wachina wengi...
MICHEZO MASHULENI INA NAFASI KUBWA YA KUDUMISHA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI - BASHUNGWA
Na OR TAMISEMI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwekeza kwa wanafunzi wa Shule za Msingi na...
Ikukupendeza uwe Azam kuichambua Yanga ikipokea kipigo cha Al Hilal,kama sehemu ya kutuaga fans wako. Namaanisha tushiriki wote kuusindikiza mwili wa marehemu mtarajiwa toka Sudan
Wakuu, ni wazi kabisa katika ukanda huu wa CECAFA mkubwa wa soka amerejea mahali pake. Pamoja na upepo mbaya uliopita miaka kadhaa nyuma, sasa Yanga inathibitisha rasmi kuwa ndio klabu kubwa Afrika Mashariki na Kati kwa kuteka hisia na mioyo ya mashabiki mitandaoni na nje ya mitandao ya kijamii...
Hivi karibuni kila redio unayosikiliza hasa hizi za FM KITAA ukiitoa TBC basi lazima ukutane na matangazo ya kupigia debe kamari mpaka inakera. Kwenye simu nako kila wakati zinatumwa meseji za kuhamasisha watu wajiunge na ubashiri...
Hivi kama Taifa tumeshajiandaa na madhara yanayokuja na...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, ametoa siku 7 kwa watendaji wa Idara ya Michezo kukamilisha nyaraka za miradi yote iliyoko chini ya Idara hiyo la sivyo kila mhusika atabeba mzigo wake.
Dkt. Abbasi ametoa agizo hilo leo hii alipokutana na watendaji wote...
=> Tumeingia mkataba mpya wa kutengeneza jezi na vifaa vya michezo kwa miaka 5 na kampuni ya GSM Group Of Companies wenye dhamani ya Tshs Billion 9.1" Rais wa Young Africans SC Hersi Ally Said
=> Mkataba wa pili utakua ni wa udhamini ambapo GSM italipa Tsh. Milioni 300 kwa mwaka, itakayokuwa...
Kama kuna biashara inayolipa sasa hivi ni biashara ya mpira wa miguu na vyote vinavyohusiana navyo,hapa nazungumzia biashara kama kuuza na kununua wachezaji,kuuza jezi na vifaa vya klabu,kuonyesha mpira,vituo vya runinga vinalipa fedha ili kupata haki za kurusha matangazo,udhamini mbalimbali...
Mambo vipi? Nimekuja kukuambia machache kuhusu mimi mpenzi wangu.
Mimi ndiye ninayekufahamu wewe kuliko hata unavyojifahamu wewe, Naam.
Mimi ndiye ninamjua mpenzi anayekufaa kuliko hata wazazi wako wanaokushauri kila siku, umesahau juzi ulikuwa una-gugo sifa za mpenzi bora?
Ni mimi huyuhuyu...
Nimemsikia waziri wa michezo akisema majina makubwa yataachwa kwenye timu ya taifa, na anasema wataenda kijiji kwa kijiji kutafuta wachezaji.
ukweli ni kwamba Waziri hata kwa mbinu hiyo hutapata timu. Mpira au mchezo wowote duniani ulishatoka kwenye vipaji.
Kanuni ya kupata wanamichezo ni...
Hili suala lichukuliwe serious nawaomba jamani, kina try again fanyieni kazi, leo mmeona wazi ndugu Aragija alivyojizima data akajifanya mwendawazimu hata kale ka nyumba chake huko manyara atakamalizia sasa.
Suala la technics, sijui tactics wekezeni kwa ajili ya michezo ya CAF kwa huku NBC...
Habari za leo.
Baada ya Tanzania kufungwa na Uganda 1 - 0 katika kuwania tiketi ya kufuzu mashindano ya CHAN, kumeibuka mijadala mingi sana kuhusu kiwango cha timu yetu. Malalamiko mengi yameangukia kwa wachezaji, walimu, TFF, serikali, etc. Naomba niwasilishe maoni yangu kutokana na mimi...
Nina rafiki yangu ninamfahamu tunaishi naye mtaa mmoja, nimecheza naye mpira mara nyingi sana mtaani kwetu, nakiri kusema kuwa katika watu niliowahi kucheza nao mpira pengine yeye alikuwa ndiye mwenye kipaji kikubwa zaidi kuwahi kukishuhudia.
Alikuwa anafanya vitu basic kwenye mpira kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.