KAMATI YA BUNGE YAIDHINISHA BAJETI WIZARA YA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imeridhia na kuidhinisha matumizi ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ya takribani Bilioni 35.4 kwa mwaka wa Fedha 2023/24.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu amejipambanua kuwa mpenda michezo na amekuwa mara kadhaa akiunga mkono sekta hii kwa vitendo akitoa hamasa na zawadi mbalimbali kwa michezo tofautitofauti.
Tumeshuhudia Serikali yake ikiondoa kodi katika nyasi bandia ili kuboresha viwanja...
Hello bosses and roses,
Kwa muda mrefu nmekua nafikiria namna ya kutumia tech kukuza na kuendeleza mwenendo wa maisha uliozoeleka hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla sababu Systems na Apps nyingi tunazotumia zimetengenezwa kufuata mazingira na utamaduni wa nchi za Ulaya, Amerika na Asia. Mfano...
Naam Habarini za Jumamosi Wanajukwaa.
Leo ni siku Murua kabisa kwetu sisi wapenda soka tena lile soka zuri lisilo na Makolokolo,Soka lisilo na Mara Refa kafanya hiki Mara shirikisho limependelea fulani si hatupendi hayo.
Sisi wote kwa pamoja kama Chama cha wapenda soka la kweli tunaziombea...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. #PindiChana amemteua Ally Mayay Tembele kuwa mwakilishi wa Tanzania Katika Bodi ya Ushauri wa Michezo ya Jumuiya ya Madola (CABOS) kwa miaka 3.
Ally Mayay ambaye ni Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo nchini, ataiwakilisha #Tanzania katika Bodi...
Moja ya mambo yatakayotuchelewesha sana kama taifa, ni kutafuta majibu mepesi kwa maswali magumu. Unaanzaje kuingia gharama ya kumlipa kocha mamilioni ya pesa za kigeni huku ukijua fika kwamba aina ya wachezaji unaozalisha ni hafifu na uhafifu huo hauwezi kuondolewa na Kocha wa Timu ya Taifa...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ametoa rai kwa Wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kuwekeza katika michezo ikiwemo ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya viwanja vya michezo.
Mhe. Dkt. Pindi Chana ametoa rai hiyo Machi 5, 2023 jijini Arusha wakati wa mbio za...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Vijana na Michezo wa nchini Seychelles, Ralph Kelvin Jean-Louis (wa pili kulia) tarehe 21 Februari, 2023 jijini Riyadh, Saud Arabia katika Kongamano la Dunia la Maadili katika...
Ni wazi kabisa tena bila upinzani hii sector pendwa sana wananchi wa Tanzania ipo haja ya serikali sasa kuwa serious na hii sekta na kuitazama kwa macho mawili.
Ni sector inayoweza kuingiza trillion za pesa kwa serikali kama tutadhamiria kweli. Uwejezaji mkubwa kwenye michezo kama ya mpira wa...
Hivi majuzi kulikuwa na mjadala mkubwa uliohusiana na uamuzi wa Simba kuvaa jezi za "Visit Tanzania" na wakati huo huo Yanga kukataa kuvaa nembo hiyo badala yake wakaingia mkataba na kampuni ya Haier.
Huu mjadala ulijikita zaidi katika kuuliza ni maslahi gani Simba wanapata kwa kutangaza nchi...
Kuna mambo mengi yamefichika nyuma ya pazia kuhusiana na michakato, takwimu na mwenendo wa uchumi hususani usimamizi wa fedha.
Wataalam wa uchumi mnaoiangalia hii clip hapo juu, je kuna usahihi kwa anachozungumza huyo mzee au ni poligical milleage?
je tuna la kujifunza?
Mshana Jr raraa...
“Viongozi wa juu Simba wanashughilikia mchakato wa kupata Mkurugenzi wa Michezo klabuni kwetu, itasaidia kupunguza Majuku kwa CEO na kwa vile tunataka kuchua Kimataifa lazima tuishi Levo za Kimataifa”
AHMED ALLY, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba SC 🇹🇿.
Hii ni taarifa aliyoitoa yeye mwenyewe kwa Waandishi wa Habari, kwamba anatishiwa kuondolewa uhai wake kwa kuomba Uongozi wa Simba.
Sasa tunajiuliza hapa Simba pana nini hadi watu waanze kutaka kuwaua wenzao?
Mbunge wa Viti Maalum (UWT) CCM Mkoa wa Pwani Hawa Mchafu amekabidhi vifaa vya michezo (Mipira na Jezi) kwa vijana wa Raja Sports Academy iliyopo Kata ya Mtongani Wilaya ya Kibaha Vijijini Mkoa wa Pwani.
Hawa Mchafu(Mb) katika ziara yake ameungana na timu ya Madiwani wa Viti Maalum wakicheza...
Marcus Rashford amefunga mabao 9 katika mashindano yote tangu ilipomalizika michuano ya kombe la dunia, ambayo ni mengi zaiidi ya mchezaji mwengine yoyote kwenye zile ligi tano bora barani ulaya.
✍️Marcus Rashford pia sasa amehusika katika mabao 9 dhidi ya Arsenal, mengi kuliko kuliko...
Pichani ni Manchester Derby iliyopigwa mwaka 1947. 🤝
Siku zote mechi hii ya mahasimu wa Jiji la Manchester haijawahi kuwa ya kitoto kabisa. Mechi iliyopita iliisha kwa Manchester City kupata ushindi mnene wa mabao 6 - 3 pale Etihad.
Leo wanakutana tena Pale Old Trafford "Ngome Kongwe" huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.