MICHEZO ni mazoezi yahusuyo mwili, ambayo huhusisha ushindani ndani yake.
Ushindani huo hua na taratibu na kanuni kutokana na jamii au mchezo husika.
Kumbuka:michezo ni ajira
Michezo ni afya pia huweza kuondoa msongo wa mawazo.
Kuna wachezaj mbali mbali walio jiajili na wana...
MBUNGE SEIF GULAMALI AZIDI KUIPA NGUVU SEKTA YA MICHEZO JIMBONI MANONGA
Mbunge wa Jimbo la Manonga Wilaya ya Igunga Mhe. Seif Khamis Gulamali ameanza ziara rasmi kwenye Kata ya Igoweko na Vijiji vyote na Kufanya Mikutano katika Maeneo 5 kwa Maana ya Seregei, Mwina, Buhekela, Bugingija na...
Mabadiliko katika Nyanja ya Michezo na Kukuza Utawala Bora na Uwajibikaji.
Utangulizi:
Michezo imekuwa na athari kubwa katika jamii kwa miongo kadhaa sasa, na mabadiliko katika nyanja ya michezo yamekuwa na nguvu kubwa ya kuleta utawala bora na uwajibikaji. Makala hii itazingatia jinsi...
Michezo ni moja ya sekta muhimu duniani inatoa ajira kwa watu tofauti tofauti; wachezaji, makocha, wauza vifaa vya michezo na ajira nyingine nyingi kwenye michezo ambazo ziwezi kuzitaja zote
Ili tuwe na sekta imara ya michezo yatupasa tuanze chini yaani mashuleni na kukuza vipaji toka wakiwa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mhe. Albert Chalamila pamoja na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania ( TRA) Bw Alphayo J. Kidata leo 01/07/2023 wameshiriki Bonanza la michezo la TRA na Wafanyabiashara wa Kariakoo lengo likiwa kuboresha afya,mahusiano bora na kuhamasisha utoaji wa risiti za EFD
Sekta ya michezo ni miongoni wa sekta mbalimbali za serikali, ambapo hii sekta inajihusisha na masuala ya kukuza na kuendeleza michezo Tanzania, mfano mpira wa miguu, mpira wa mikono, ghofu, mchezo wa ngumi au masumbwi, kuogelea, riadha n.k.
Tanzania katika kuhakisha ukuaji wa michezo serikali...
Mpira ni mchezo wa wazi uliokunyanya wadau wengi sana wanaoufuatilia, hivyo sio hekima kwa mtu asiyekuwa na weledi wa uchambuzi na uwandishi wa mpira akajichambulia na kujiandikia kwa kuongozwa na mahaba na chuki kwa timu hii na Ile.
Mpira wetu Sasa unapiga hatua kubwa kitaifa na kimataifa...
Kumekucha, wale wengine mliokuwa na nongwa, mshike jembe mkalime.
TRA na wafanyabiashara wa Kariakoo sasa ni damu damu, wameandaa bonanza la michezo kati ya timu ya wafanyabiashara na TRA. Hakika Rais Samia ameziba ufa uliokuwapo na imani kati yao imekuwa kubwa.
Viva Tanzania!
Kwa wale ambao mmeshawahi kusikia namna 'punda' wa 'sembe ya mwakyembe' wanavyo 'packiwa' mizigo ya kusafirisha mtakubaliana na mimi kwamba biashara hii 'takatifu' ina faida kubwa iliyotukuka. Ni ukweli unaosikitisha kwamba 'pipi' za 'sembe' hushindiliwa kupitia njia ya nyuma mpaka tumbo lijae...
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya kikao cha pamoja na ujumbe kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) ambapo wamejadili namna bora ya kuboresha miundombinu ya michezo nchini.
Kikao hicho kimefanyika Juni 16, 2023 jijini Dodoma ambapo timu ya...
Salaam ndugu zangu,
Katika bajeti ya Wizara ya Michezo mwaka jana walieleza kuwapo kwa mpango wa kuboresha viwanja vikubwa vitano vya michezo kwa kuviwekea nyasi bandia. Soma: Dkt. Mwigulu Nchemba: Viwanja vitano vya michezo vitawekwa nyasi bandia
Jambo hili limeishia wapi? Au ndiyo mambo ya...
Kabla ya yote ninapenda michezo, ila hili lililotokea jana usiku ni si la dunia hii. Yaani waziri na katibu wake wametumia kabisa magari kutoka mbali, sijui Dodoma kuja mlimani city kufanya kitu kama hiki? Hapo watajaza na overtime kabisa walipwe.
Kweli nimeamini watanzania wengi wana tatizo la...
Ningepata nafasi ya kuwashauri Yanga kuhusu usajili ningewambia watafute mawinga wazuri zaidi ambao wanajua ku dribble, wana speed na pia ni wazuri kwa kutoa pass.
Moloko ni mzuri some time kwa kutoa pass na speed lakini hajui ku dribble, na ni lazima winga awe mzuri pia kwa ku dribble kama...
MBUNGE COSATO CHUMI - TUTUMIE MICHEZO KUTANGAZA UTALII
"Wawindaji wazawa hawawezi kushindana na wawindaji Wakubwa, nashauri Wizara ya Maliasili na Utalii itenge 70% kwa ajili ya wawindaji wageni na 30% kwa ajili ya wawindaji wa ndani" - Mhe. Cosato Chumi, Mbunge wa Jimbo la Mafinga Mjini...
Jambo wanamichezo na wadau wa football kwa ujumla,
NALIA NGWENA the great thinker, mkombozi wa fikra mpya kama mnavyoniita Wanajamiiforums wenye upendo wa dhati, leo naleta hoja kidogo kuhusu goli la ugenini katika michuano ya CAF.
Kwa kweli goli la ugenini linaumiza sana, tena sana, lakini...
Andiko kwa Wizara ya Michezo: Kuboresha Uwajibikaji na Utawala Bora
Natumai andiko hili litaleta chachu katika hali njema na hamasa ya kuleta mabadiliko chanya katika sekta ya michezo nchini Tanzania. Kwa kuzingatia umuhimu wa uwajibikaji na utawala bora katika kuendeleza sekta hii, napenda...
Sekta ya kamari mkondoni inaendelea kukua kwa kasi ulimwenguni kote, na waendeshaji daima wanatafuta fursa mpya za kuongeza ushawishi wao. Hivi karibuni, Afrika, ambayo kwa muda mrefu ilikuwa nyuma ya pazia, imekuwa kitovu cha tahadhari na imeonekana kuwa soko lenye matarajio makubwa kwa...
Wakati na request bolt bei ilokuja ni 15, 000 tunafika destination risiti inasoma 21,000 tumebishana sana ila kwakuwa nilikuwa na mgojwa wa nikaitoa hiyo hela, haijawahi kutokea hii mara zote nilizorequest bolt,
Je kuna vijana wanafanya uhuni? Naomba shule katika hili
Hili kwa ukweli wizara husika (ya habari) ilizingatie. Saa mbili, saa tatu asubuhi unaanza kusikia habari za nani kafungwa nani kahamia club fulani, kocha kafanyaje, n.k. Muda wa asubuhi ni muda wa kupata taarifa muhimu za matukio yanayoendelea duniani kuanzia siasa, uchumi, utamaduni, sheria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.