Moja kati ya sehemu ambazo Kwasasa zina fursa Kibao ambazo zinaweza kukufanya ukatoboa.
.
BILA Hata kusota Wa kuteseka.
Ni pamoja na Financial Market 🇹🇿
.
Na Good News...
.
ni Kwamba Kwasasa Financial Market ya Bongo imeendelea kuongeza Wigo Wa Fursa na Michongo Ambayo unaweza Kukamatia na...
Katika skills ambayo watu wengi hawana ni "Communication skills"
Asilimia kubwa ya watanzania wanakosa hii skills .
Ukiwa hauna uwezo wa kuwasiliana vizuri basi hata hizi Ajira zetu za 300K-500K sio ajabu ukawa unazitafuta Kwa tochi na haupati.
Vijana wengi hii kitu imewakosesha Sana fursa...
Miaka kumi nyuma nimemaliza zangu shule naingia mtaani sina ramani ya kipi kifanyike nitoboe kimaisha
Nikaanza harakati za hapa na pale kuchimba vyoo nipo, ukuli nipo, nk piga kazi kwa nguvu zote kila mchongo ukitokea nipo
Lakini kila nikitazama malengo na kazi ninazofanya imani ya kutoboa...
Habari wakuu.
iKiwa juma tatu tulivu na yenye majonzi kwa ndugu zetu watanzania waliopata maafa ya kuangukiwa na kifusi, Mungu azidi kutia wepesi katika ukozi wa ndugu zetu waliopo chini ya kifusi
NImefunguu uzi huu ikiwa ni moja kwa moja katika jitihada za kupeana michongo kwa vijana,wafanya...
Kumekuwa na kelele kila kona namna ambavyo vyuo na Taasisi za elimu ya juu nchini vinavyosumbua wale wanaojiunga ili kujiendeleza kielimu kwa ngazi ya shahada ya uzamili (Master degree) na uzamivu (PhD).
Ninaomba tuweke tupeane connections (michongo) ikiwemo scholarship links na vyuo vyenye...
Habari za muda huu,
Nisikuchoshe sana, huu uzi ni kwa ajili ya wapambanaji wote.. michongo hii inapatikana zanzibar (Unguja).
HIRING A RECEPTIONIST AT ZURI ZANZIBAR 🛎️
We are seeking a professional and proactive receptionist to join our team at ZURI ZANZIBAR located in Kendwa. The ideal...
Simba sc ipo katika wakati mgumu sana inayochangiwa na presha ya mashabiki wanaopiga kelele kuwa timu yao inakiwango kibovu.
Ikumbukwe Simba SC imetolewa katika kombe la shirikisho linalozaminiwa na CRDB na kwenye ligi wanashika nafasi ya tatu kwa kuachwa point kadhaa na mtani wake Yanga SC...
Wanajamvi naomba ushauri wenu Kwa kuwa napitia kipindi kigumu kutokana na mfumo wa maisha yangu ni kama naisi unaniangusha au nina gundu naitaji kuondoa mkosi.
Mimi sinywi pombe wala sivuti sigara wala bhangi sivuti Kwa ujumla Mimi si mtu wa mambo ya starehe na katika mfumo wa maisha...
Kabla chochote hakijafanyika wanaambiana.
Hapa Iran anadai US anaomba Iran ijifanye kama inapigwa ili Israel ionekane iko vizuri au imejibu.
Dunia ilipofika. Wawakilishi wa Iran, Russia, Ukraine, Israel, US na Ulaya wanaweza kukaa kikao sehemu mafichoni huku wanatrigger mambo duniani na media...
Naona mwenyekiti wenu analalama kuwa haheshimiwi.
Haheshimiwi vipi?
Mlitaka wapinzani wakae kimya wakati wanaona kuna madudu?
Mkataba wa bandari na usimamizi mbovu wa rasilimali za taifa zinawacost.
Ukweli ni kuwa wamepata pa kuwashika.
Habari za muda huu nawapea pole na changamoto za hapa na pale wana JF wenzangu.
Ndugu zangu mimi nimekuja na UZI huu kwa lengo la kupata ushauri. Nilikimbia nyumbani nikaenda Lindi, wilaya ya Kilwa lakn nikafika kwenye miji za wasukuma nikawaomba eneo la kulima UFUTA mwakani(2024) wakanipea...
Uzima upo wanaJamvi?
Naomba kwa yeyote aliye tayari, tuungane week ijayo kuzunguka viwandani kutafuta KAZI
Mimi naishi Dar es salaam Sina kazi kwasasa, Nahitaji mwenye nia kama yangu tuunge nguvu twende tukasake Ugali.
Amani iwe Nanyi
Wakuu kwema, Mimi ni muhitimu wa Diploma ya uhandisi madini (Mining Engineering) kutoka university of dodoma. Natamani kubadili upepo na kuongeza wigo mpana wa ujuzi kwa levo ya degree dirisha la mwaka huu likifunguliwa Inshaallah, katika moja kati ya kozi kama civil eng, Quantity survey na...
Nataka nitengenez account kama 20 hivi za wanunuaji wa bidhaa wa fiverr, ntakuwa nalipia kupitia visa hizi za mpesa/ Airtel.
Nataka niwe nanunua bidhaa zangu mwenyewe halafu najipongeza kwamba natoa huduma nzuri ili nijenge jina.
Ntakuwa nacheza na Ip address tofauti kwa kila browser tofauti...
Habari za muda huu wanajamvi
Nikijielekeza kwenye mada, nimekuwa nikisikiliza Clouds na hii bahati nasibu Yao Kwa kila kipindi.
Changamoto ninayoiona hapo ni kwenye kupatikana Kwa mshindi na kumtangaza, ambapo mshindi huwa anatajwa Kwa namba chache za mwanzo au za Mwisho.
Sasa najiuliza, mbona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.