michongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hii hapa michongo ya financial market inayoweza kukufanya utoboe kimaisha bila hata connection wala mafuta ya upako

    Moja kati ya sehemu ambazo Kwasasa zina fursa Kibao ambazo zinaweza kukufanya ukatoboa. . BILA Hata kusota Wa kuteseka. Ni pamoja na Financial Market 🇹🇿 . Na Good News... . ni Kwamba Kwasasa Financial Market ya Bongo imeendelea kuongeza Wigo Wa Fursa na Michongo Ambayo unaweza Kukamatia na...
  2. Utamsikia anasema "Wanaume wote ni mbwa. Kama hawezi kunidekeza kama mtoto, kwendraaaaa!!"

  3. M

    Ukiwa na hii skills ni ngumu kukosa kazi au michongo .

    Katika skills ambayo watu wengi hawana ni "Communication skills" Asilimia kubwa ya watanzania wanakosa hii skills . Ukiwa hauna uwezo wa kuwasiliana vizuri basi hata hizi Ajira zetu za 300K-500K sio ajabu ukawa unazitafuta Kwa tochi na haupati. Vijana wengi hii kitu imewakosesha Sana fursa...
  4. Tujadiliane kuhusu michongo.

    Wadau tujadiliane kuhusu michongo mbalimbali je ni sekta gani zenye kipato Cha kuridhisha?
  5. Tuliofanikiwa kwa michongo hatari baada ya kuona hakuna njia ya kutoboa

    Miaka kumi nyuma nimemaliza zangu shule naingia mtaani sina ramani ya kipi kifanyike nitoboe kimaisha Nikaanza harakati za hapa na pale kuchimba vyoo nipo, ukuli nipo, nk piga kazi kwa nguvu zote kila mchongo ukitokea nipo Lakini kila nikitazama malengo na kazi ninazofanya imani ya kutoboa...
  6. Uzi maalumu kwa ajili ya jobless na watu wenye michongo ya pesa

    Habari wakuu. iKiwa juma tatu tulivu na yenye majonzi kwa ndugu zetu watanzania waliopata maafa ya kuangukiwa na kifusi, Mungu azidi kutia wepesi katika ukozi wa ndugu zetu waliopo chini ya kifusi NImefunguu uzi huu ikiwa ni moja kwa moja katika jitihada za kupeana michongo kwa vijana,wafanya...
  7. Michongo ya elimut

    Kumekuwa na kelele kila kona namna ambavyo vyuo na Taasisi za elimu ya juu nchini vinavyosumbua wale wanaojiunga ili kujiendeleza kielimu kwa ngazi ya shahada ya uzamili (Master degree) na uzamivu (PhD). Ninaomba tuweke tupeane connections (michongo) ikiwemo scholarship links na vyuo vyenye...
  8. Fursa za kazi kwa vijana zilizopo Tanzania

    Habari za muda huu, Nisikuchoshe sana, huu uzi ni kwa ajili ya wapambanaji wote.. michongo hii inapatikana zanzibar (Unguja). HIRING A RECEPTIONIST AT ZURI ZANZIBAR 🛎️ We are seeking a professional and proactive receptionist to join our team at ZURI ZANZIBAR located in Kendwa. The ideal...
  9. Mishe gani ambayo inachukuliwa poa mtaani ila wanaoifanya wanapiga vibunda?

    Mishe gani ambayo inachukuliwa poa mtaani ila wanaoifanya wanapiga vibunda?
  10. Unatumiaje JamiiForums kujiingizia maokoto?

    Hivi Unatumia njia gani kuingiza maokoto kupitia hili jukwaa la Jamiiforums Tupe madini
  11. Mchezo wa Azam FC vs Simba SC tutegemee kuona makosa ya kibinadamu kwa marefa, kadi za michongo na penati ili Simba SC wachukue Kombe la Muungano

    Simba sc ipo katika wakati mgumu sana inayochangiwa na presha ya mashabiki wanaopiga kelele kuwa timu yao inakiwango kibovu. Ikumbukwe Simba SC imetolewa katika kombe la shirikisho linalozaminiwa na CRDB na kwenye ligi wanashika nafasi ya tatu kwa kuachwa point kadhaa na mtani wake Yanga SC...
  12. M

    Nawezaje kuwa na marafiki wengi ili nipate michongo mingi ya pesa?

    Wanajamvi naomba ushauri wenu Kwa kuwa napitia kipindi kigumu kutokana na mfumo wa maisha yangu ni kama naisi unaniangusha au nina gundu naitaji kuondoa mkosi. Mimi sinywi pombe wala sivuti sigara wala bhangi sivuti Kwa ujumla Mimi si mtu wa mambo ya starehe na katika mfumo wa maisha...
  13. Naanza kujawa na mashaka. Yawezekana haya mambo ya Iran/Israel ni michongo tu, tunachezewa akili na wakubwa

    Kabla chochote hakijafanyika wanaambiana. Hapa Iran anadai US anaomba Iran ijifanye kama inapigwa ili Israel ionekane iko vizuri au imejibu. Dunia ilipofika. Wawakilishi wa Iran, Russia, Ukraine, Israel, US na Ulaya wanaweza kukaa kikao sehemu mafichoni huku wanatrigger mambo duniani na media...
  14. CCM mlizoea kufanya siasa za Michongo na CHADEMA ili wawalegezee na kuendekeza usanii. Wamekaza kiduchu tu mmesikia machungu

    Naona mwenyekiti wenu analalama kuwa haheshimiwi. Haheshimiwi vipi? Mlitaka wapinzani wakae kimya wakati wanaona kuna madudu? Mkataba wa bandari na usimamizi mbovu wa rasilimali za taifa zinawacost. Ukweli ni kuwa wamepata pa kuwashika.
  15. Naomba ushauri tafadhali

    Habari za muda huu nawapea pole na changamoto za hapa na pale wana JF wenzangu. Ndugu zangu mimi nimekuja na UZI huu kwa lengo la kupata ushauri. Nilikimbia nyumbani nikaenda Lindi, wilaya ya Kilwa lakn nikafika kwenye miji za wasukuma nikawaomba eneo la kulima UFUTA mwakani(2024) wakanipea...
  16. I

    Michongo Town

    Uzima upo wanaJamvi? Naomba kwa yeyote aliye tayari, tuungane week ijayo kuzunguka viwandani kutafuta KAZI Mimi naishi Dar es salaam Sina kazi kwasasa, Nahitaji mwenye nia kama yangu tuunge nguvu twende tukasake Ugali. Amani iwe Nanyi
  17. Kozi gani ina michongo mingi kati ya Civil Engineering, Quantity survey na Geomatics?

    Wakuu kwema, Mimi ni muhitimu wa Diploma ya uhandisi madini (Mining Engineering) kutoka university of dodoma. Natamani kubadili upepo na kuongeza wigo mpana wa ujuzi kwa levo ya degree dirisha la mwaka huu likifunguliwa Inshaallah, katika moja kati ya kozi kama civil eng, Quantity survey na...
  18. Fiverr & Upwork: Je, naweza kutengeneza account rapa za kununua na kujilipa huduma zangu na kujipigia promo kwenye reviews ili nipate michongo zaidi?

    Nataka nitengenez account kama 20 hivi za wanunuaji wa bidhaa wa fiverr, ntakuwa nalipia kupitia visa hizi za mpesa/ Airtel. Nataka niwe nanunua bidhaa zangu mwenyewe halafu najipongeza kwamba natoa huduma nzuri ili nijenge jina. Ntakuwa nacheza na Ip address tofauti kwa kila browser tofauti...
  19. Yanga SC wanavyohangaika na Burudani za kuwa Mabingwa wa Michongo utadhani wamechukua Kombe la CAFCL au CAFCC

    Wakati wenye Akili tunajua kuwa mnaanzia hatua za Awali kabisa (za Wasiojua) kisha Mechi Moja tu mnarejea Kariakoo.
  20. M

    Washindi wa michongo pesa

    Habari za muda huu wanajamvi Nikijielekeza kwenye mada, nimekuwa nikisikiliza Clouds na hii bahati nasibu Yao Kwa kila kipindi. Changamoto ninayoiona hapo ni kwenye kupatikana Kwa mshindi na kumtangaza, ambapo mshindi huwa anatajwa Kwa namba chache za mwanzo au za Mwisho. Sasa najiuliza, mbona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…