Baadhi yao wanawake hata kunaye umri wake 15 kanyongwa kisa migogoro ya hovyo, sijiu Iran waliingiaje kwenye huu uzombi wa kidini na jinsi walivyo genius, watu wenye akili sana.
Iran executed at least 251 people in the first half of 2022, including women defending themselves against domestic...
Mashauri ya ndoa na talaka 1,358 yamefunguliwa katika Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki Temeke (IJC), Dar es Salaam katika kipindi cha kuanzia Novemba 2021 hadi Julai, 2022.
Idadi hiyo ni sawa na mashauri 220 yanayofunguliwa kila mwezi kituoni hapo, hali inayoonyesha kuyumba kwa taasisi nyeti ya...
Wote ni Mabingwa na Hodari wa kutopenda Kula Ndizi na Sambusa hiyohiyo kila Siku tu na hupendelea zaidi kubadilisha Menu (Menyu) za Kibaiolojia (Kisayansi).
Ni kama ndoto ila ndo yanatokea kweli! Ndani ya miezi miwili mastaa wa mpira duniani wanaotambulika na kufahamika duniani kote wanamiminika Tanzania kwa fujo sana!
Mastaa hawa wanapiga picha kwenye mbuga zetu za Serengeti na Ngorongoro na maeneo ya Zanzibar na wanazipost kwenye pages zao...
Kampuni ya kuonyesha Filamu ya Netflix imetajwa kwa awamu ya pili kuachisha kazi takriban wafanyakazi 300 kama namna ya kudhibiti gharama za uendeshaji. Mnamo mwezi Mei kampuni hiyo ilipunguza wafanyakazi takriban 150.
Hatua hii ni baada ya ripoti mbaya ya mapato ya #Netflix ya robo ya mwaka...
Wengi wetu tumepitia, wanapitia na watapitia,
Kuna wanaoshtuka mapema na kuanza kutafuta connection kabla ya kumaliza, kuna wale wanashtuka wako nyumbani wakiwa na begi la nguo na laptop kama hajaijza alipomaliza UE, sasa kama unakaa kwa ndugu ndo kabisa, hata mapenzi nayo yanashake, ile title...
Jamaa ukicheki kwenye frji kuna kila aina ya kinywaji unachokitaka ma bia yamejaa bwelele na huwezi kukuta pamepelea hata kidogo.
Mamisosi ya kwenda dah kuna watu wanaishi maisha matamu
Sijui makuku ni jambo la kawaida vyumba safi kabisa
Habari wakuu kuna hesabu za mafuta nafanya hapa ili nije na hesabu Kamili hapa jukwaani.
Ila kuna mahali nahitaji data kamili kupitia swali hili.
Swali: Ruzuku ya 100B iliyotolewa ni kwa mafuta yote? ama ni kwa petroli na dizeli tu? na je kwa miezi mingapi?
Mwenye majibu, tusaidie.
Wakuu....
Nimeamua kushuka hapa Tinde, nilikua safarini kuelekea huko kijijini kwetu kutoka Daslam nilipo vunja udugu wa dam, baada ya kuona sitendewi haki ugenini.
Na baada ya kuuza ng'ombe zangu 12, nikaona niwakomeshe kwa kuenda kulala stendi ili niondoke nyumbani kwao.
Sasa lengo na...
Three months ago, we lowered our flag over the U.S. Embassy in Kyiv, Ukraine, just days before Russian forces streamed across Ukraine’s border to carry out President Putin’s unprovoked, unjustified war of choice.
When we suspended operations at the embassy, we made the point clear: while we...
Mwanariadha wa Ujerumani amehukumiwa kifungo cha Jela miezi sita au kulipa faini ya Ksh. 70,000 (Tsh. Milioni 1.3) kutokana na kosa la vitisho na udhalilishaji wa mtandaoni Nchini Kenya.
Weiss Marvin Valentin, 25, alitenda kosa hilo mwaka 2022 kwa kutoa matamshi ya kukera na kutishia kusambaza...
Kuna hii habari nimeikuta kwenye vuombo vyetu vya habari Nchini, ni kuhusu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutoa taarifa ya kutoa maagizo kwa vyombo vyenye mamlaka ya kusimamia sheria ikiwemo Mahakama.
Unaweza kuisoma habari yenyewe hapo chini, nakubali kweli hoja yake ni nzuri na inaweza kusaidia...
Wakuu, naombeni ushauri wa kitaalamu, mpenzi wangu alijifungua mwezi Januari mwaka huu.
Mwezi wa 4 katikati akaomba game kwani ameimisi muda mrefu(hatuishi pamoja).
Ajabu mwezi huu hajaona siku zake na ameenda kupima amekutwa na mimba tayari.
Naombeni ushauri, je hii mimba anaweza kuibeba na...
Ni wazi kabisa kupanda kwa bei ya mafuta ni makampuni yanayoagiza mafuta yameamua kupandisha bei wala suala hili halihusiani na vita vya Ukraine ni muhimu kwa serikali kuangalia huu mfumo wa uagizaji kwa Bulk. Ikumbukwe wakati wa serikali ya awamu ya 3 mfumo huu wa kuagiza mafuta kwa (Bulk)...
Nchi zinazounda umoja wa ulaya (EU) zimekubaliana kususia kununua mafuta ya urusi baada ya miezi sita. Lakini zimeziruhusu nchi mbili za Hungary na Slovakia ziendelee kununua mafuta ya urusi maana zenyewe zilisema ""piga ua hawawezi kuachana na mafuta ya Urusi". Lakini nchi ya Urusi imezikebehi...
Maandamano na kila mikakati ya kudai katiba mpya ifanyike. Maana hawa watu wamepanga kutuibia kwa kila namna.
Hii nchi ni yetu sote wala sio ya kundi la wachache wanaojifanya wajuaji na kuwa wao familia zao na watoto wao ndio wanajua maisha bora.
Tupate katiba mpya ambayo itamfuta kazi rais...
Habari,
Iko hivi: Nina gari yangu Toyota Wish ambayo nimekuwa nikiitumia katika biashara ya Taxi mtandao( Uber,Bolt,Ping,Tantaxi,Little ride).
Nilipata changamoto ya ghafla ya kifamilia na sikuwa na akiba ya pesa ikabidi niweke bondi hiyo gari.Gari inadaiwa Tsh 1,600,000/=.Nimepambana...
Majasusi wa kimataifa walio na uwezo wa ajabu wameshamaliza kazi,
Putin wa Leo, si yule wa Kabla ya uvamizi wa Ukraine!
Afya yake imeshachokonolewa,
Mnaoangalia kwa jicho Kali na angavu, mtakubaliana ni Mimi kuwa, jamaa afya yake imeshachezewa!!
Muda utaongea!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.