miezi

Normunds Miezis (born 11 May 1971) is a Latvian chess Grandmaster (1997).

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Simba SC hivi kweli 'a Competent CEO' anaweza kupewa Mkataba wa Miezi Sita ( 6 ) na Taasisi inayojitambua?

    Sasa kama mmempa Imani Kajula kuwa CEO wa Simba SC kwa hii Miezi Sita ( 6 ) tu kwanini msimuite Kaimu CEO ili tujue moja. Acheni kudhani wana Simba SC wote hawana Akili kama mlivyo sawa? Hivi katika Corporate World na Taasisi yenye Uweledi na Umakini CEO anayepewa Mkataba wa Miezi Sita ( 6 )...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kijana wa miaka 15 aishi miezi 10 bila kula wala kunywa chochote

    Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firaoni. Kijana wa miaka 15 amekaa akifanya tahajudi kwa zaidi ya miezi kumi bila kula wala kunywa chochote. Kijana huyo ameendelea kuwa hai licha ya kutokula chochote kwa muda wote huo, na ameonekana mara kadhaa akitokwa na jasho jingi.
  3. Nyuki Mdogo

    INAUZWA Mwanza: Pikipiki aina ya King Lion (used mwaka na miezi 6)

    Huyu hapa Mfalme Simba anauzwa😎 cc zake ni kubwa, 150 cc Gear 5 Haina shida yoyote imetumika kwa matumizi binafsi tu bei elekezi: 1,400,000 tu inapatikana: SUMVE MWANZA
  4. chiembe

    Mchungaji Hananja: Wachungaji KKKT wakihoji vitendo vya viongozi kuuza Mali za kanisa, wanafukuzwa, asema na yeye alisimamishwa mwaka mmoja

    Mchungaji Hananja akihojiwa na Bongo5 (ingia YouTube, kaongea nusu saa nzima) ameeleza uonevu mkubwa wanaofanyiwa na viongozi wakuu wa kanisa, na anasema yeye aliandikiwa barua na kiongozi mkuu wa kanisa kumsimamisha kazi bila mshahara kwa mwaka mzima, bila sababu yoyote ile. Hananja anasema...
  5. mdhalendo

    Miezi mitatu tangu nianze kutumia 5G Home Internet ya Voda Supakasi. Hiki ndicho nilichoki-experience so far

    Tangu mwezi Novemba mwaka jana nimekuwa miongoni mwa wateja wa kwanza wa kutumia huduma za vodacom 5G supakasi ya home internet kwa kutumia device yao mpya ya NOKIA FastMile 5G Gateway 3.1 na leo ningependa nitumie jukwaa hili kutoa uzoefu wangu kama mmojawapo wa wateja wa kwanza wa 5G internet...
  6. Nakadori

    Mila za kushangaza: Maiti ipo mochuary kwa zaidi ya miezi 3

    Heri ya mwaka mpya wadau maana mwaka bado mpya huu ndo kwanzaaaa January. Turudi kwenye mada ya msingi, nina rafiki yangu Mghana alifiwa na mama yake tarehe 17 mwezi wa 10 mwaka jana. Sasa me nlijua msiba ulishaisha ila naona anasambaza tangazo kwamba bi mkubwa atazikwa tarehe 28 mwezi huu...
  7. R

    Kampuni ya Nokia ilikuja na toleo jipya la simu ambazo hununui kwa pesa tasilimu bali unakopeshwa na kulipa kwa miezi sita; tusidanganywe

    Kama kampuni imezindua bidhaa yake na kuweka mikakati ya mauzo ni vyema mikakati hiyo ikalindwa na serikali badala ya mikakati hiyo kutumika kuwalaghai wananchi. Hii huduma siyo ya serikali, ni huduma ya kampuni ya simu kwa lengo la kupanua masoko. Nimemsikia Waziri alkisema wanakopesha...
  8. Nsumba ntale tz

    Mods futeni tena na huu uzi: Tumia dawa hii utapona ugonjwa wa sickle cell ndani ya miezi 3

    Mkipenda futeni mods! Mahitaji nunua chungu na kuku jogoo kisha mchinje huyo jogoo halafu toa vitu vyote vya ndani(utumbo, maini, firigisi, mapafu) maana ndiyo tiba na uvipike kwenye hicho chungu bila kuweka maji mpaka viungue kabisa kama mkaa kufikia hatua ya kusaga na kupata unga wake, baada...
  9. OKW BOBAN SUNZU

    Baada ya kufungiwa ndani miezi 4, Yanga yamtoa nje Kambole

    Baada ya Yanga kumficha ndani mshambuliaji hatari Kambole kwa miezi 4 hatimaye leo ameachiwa kutoka nje. Kambole amekuwa akifungiwa ndani huko Avic Town Kigamboni ili kuficha aibu ya siasa za usajili. Huyu ni mchezaji aliyetajwa kuachwa na Yanga baada ya idadi ya wachezaji wa kigeni kuzidi...
  10. MSAGA SUMU

    Mama anatafuta njia ya kumrudisha Kalemani bila kumuudhi January, miezi 3 sasa bado hajapata njia sahihi

    Mama katika Baraza lake hamna mtu ambaye hamuelewi Kama dogo janja. Sio kwamba hampendi bali ni uwezo wake mdogo na kupenda rushwa. Mama ana wasiwasi Sana na dogo janja. Mpaka mama alikuwa anamwambia mdau wake mmoja kuwa Nina wasiwasi Sana Kama hili bwawa litaweza kuzalisha hata uniti moja...
  11. A

    Nina shida na mkopo wa 6M kwa marejesho ya miezi 10

    Habarini wakuu Ni mfanyabiashara na mwajiriwa wa kampuni moja ya mawasiliano Tanzania. Nina shida na million 6 kwa marejesho ya kuanzia miezi 10. Naamini baadhi yetu ni wazoefu wa mikopo. Wapi naweza kupata mkopo huu.
  12. Equation x

    Miezi ya wengine kuvuna na wengine kupoteza

    Mwezi wa kumi na mbili (December) na mwezi wa kwanza (January), ni miezi inayofanya jamii kutumia pesa sana na upande wa pili kunufaika sana. Kwenye nyumba za ibada huwa ni msimu wa mavuno, huku upande wa pili ukiwa ni kugharamia (kutoa/kupoteza). Kwenye majengo ya starehe, mapato yanaongezeka...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    Hamna mwanamke anayeweza kumvumilia mwanaume asiye na pesa kwa miezi sita

    Hamna mwanamke awezaye kumvumilia mwanaume asiye na hela, ukiacha alete msosi nyumbani, lazima akupande kichwani.
  14. Nanyaro Ephata

    Mchina jela miezi mitano kwa kuua tembo 511, Mtanzania jela miaka 60 kwa kukutwa na meno ya tembo na kiboko

    Nimeona hii habari mtandaoni imenishangaza kama sio kosa la kiuandishi.Raia wa China amekutwa na kosa la kuua jumla ya tembo 511 wenye dhamani ya bilioni 7 amehukumiwa jela miezi mitano au kulipa faini ya laki tatu. Kwa upande mwingine Mtanzania aliyekutwa na meno yenye dhamani ya milioni...
  15. willpower

    Tafakari: Miezi 9 ya mahusiano na mke wa mtu pasipo kujua

    Miaka kadhaa nyuma, asubuhi siku ya jumapili, niliamshwa kwa kelele zisizo za kawaida, watu kadhaa walikuwa wakigonga mlango, japo nilikuwa chumbani lakini ugongaji ule wa mlango haukuwa wa kawaida. Nikaamka na kukutana na watu wanne, mzee mmoja, vijana wawili wakiwa na askari. Swali lilikuwa...
  16. L

    Freeman Mbowe akiachia Uenyekiti CHADEMA itakufa na kusambaratika ndani ya miezi michache

    Ndugu zangu sote Tunaona na kusikia yanayoendelea huko Chadema ambapo Baadhi ya wafuasi na viongozi wa chadema wakimuona Mwenyekiti wao Kama Msaliti na anayepaswa kuwapisha, leo Baadhi ya viongozi wanamuona Mbowe Kama muda wake umekwisha,amapitwa na wakati ,Anawachelewesha mambo yao...
  17. T

    Kwa mwaka 1 na miezi 9 Serikali ya Samia imeokoa Trilioni 20

    Kwa miaka 5 Magufuli alikopa Trilioni 36, wastani wa Trilioni 7 kwa mwaka. Magufuli alipofariki mwaka jana mwezi March aliacha Deni la Taifa liko Trilioni 71. Toka mwaka jana Mwezi Aprili hadi October mwaka huu kwa mujibu wa ripoti ya Benki kuu ya Tanzania Deni la Taifa limeongezeka kwa...
  18. M

    Je, tuliowadanganya Watanzania tumeshajiandaa na Ripoti Kamili ya Ajali ya Ndege Bukoba baada ya Miezi 18?

    Ninachoogopa MINOCYCLINE ni kwamba Wazungu huwa hawanunuliki na wala hawajui kusema Uwongo hivyo huenda Muongo Mkuu wa Taifa Mr. Super Black Daima na Msaidizi wake wa Mr. Kukurupuka Kuchangayikiwa Wakaumbuka na Kumuaibisha hata Boss wao Kikatiba. Kazi ipo.
  19. BARD AI

    Elon Musk asema majaribio ya kupandikiza 'Ubongo Bandia' kuanza ndani ya miezi 6

    Kamouni inayomilikiwa na Tajiri namba 1 duniani Elon Musk, Neuralink Corp. imesema ndani ya miezi 6 itaanza majaribio teknolojia yake ya kupandikiza 'Neva za Ubongo' kwa binadamu. Neuralink imesema tayari imewasilisha nyaraka za ukaguzi wa teknolojia hiyo kwa Mamlaka ya Chakula na Dawa ya...
  20. aka2030

    Baada ya miezi 10 hatimaye Joseph Haule a.k.a Professor Jay, aonekana kwenye mitandao ya kijamii

    Amepost kwenye insta story yake MWANAMUZIKI maarufu wa Hip Hop nchini na mbunge mstaafu wa Mikumi, Joseph Haule (Prof. Jay) aliruhusiwa kurejea nyumbani Juni 9, 2022 kutoka hospitali alikokuwa amelazwa baada ya kupatiwa matibabu kwa siku 127 na afya yake kuimarika.
Back
Top Bottom