Naomba ushauri kwa wazoefu, wataalamu, wajuzi n.k
Amebakiza miezi 2 kwa makadirio.
Ni safari ya almost 8Hrs, kutoka Dar kwenda mkoani.
Tayari nipo out of time, safari hio ni either kesho/keshokutwa or never.
Kama inawezekana, nini vya kuzingatia?
NOTE: ni kwa njia ya Public transport/Bus.
Serikali imesema katika kipindi cha miezi mitatu imefanikiwa kukamata wahamiaji haramu zaidi ya elfu moja katika maeneo mbalimbali nchini.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mh.George Simbachawene amesema hayo bungeni mkoani Dodoma.
Amesema kwa sasa kuna operesheni maalum ambayo imeanza tarehe...
Nimeshangaa chama kikubwa kama Chadema kinashindwaje kulipa mishahara ya watumishi wake!!
Yaani pamoja na miradi yote waliyonayo Chadema pamoja na Ada za wanachama bado hamuwezi kulipa mishahara?
Ruzuku haitolewi maalumu kwa ajili ya mishahara bali kusaidia ujenzi wa chama na hasa kueneza...
Alikamatwa siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 na kupewa kesi ya uongo ya kutakatisha pesa na Uhujumu uchumi kwa amri ya CCM na DPP Biswalo Mganga, ambaye jana ameapishwa kuwa jaji wa Mahakama kuu.
Leo ameachiwa huru baada ya Mahakama kuona kwamba Mashitaka yake yalikuwa ya uongo , ya...
NEW YORK: Demand for the iPhone and other Apple products drove profits to more than double in the January-March period as the tech giant continued to capitalise on smartphone addiction.
Profits came to US$23.6 billion, or US$1.40 per share, while revenue climbed 54 per cent to US$89.6 billion...
Mshika kibendera msaidi wa mechi ya Simba na Gwambina amefungiwa mizunguko mitatu baada ya kuboronga mechi ya Simba na Gwambina.
Kwa adhabu hii inaonyesha TFF na bodi ya ligi hawapo serious kwani kitendo alichofanya kwa makusudi kingeleta madhara makubwa iwapo Gwambina wangesawazisha au...
Naibu Gavana wa benki kuu Dr Kibese amesema wananchi wasiwe na wasiwasi wiwote kwani benki ina akiba ya fedha za kigeni za kutosha.
Dr Kibese amesema hata kama uzalishaji utasimama kwa miezi 6 benki kuu ina akiba ya kutosha kuendesha nchi.
Dr Kibese amesema hayo katika mahafali ya shule ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.