RAIS MAGUFULI VITUO VYA AFYA 44 MIAKA 3 | RAIS SAMIA VITUO VYA AFYA 220 MIEZI 3
Ukisoma "Kitabu Cha Hali ya Uchumi Tanzania " cha mwaka 2018 ukurasa wa 60,utaona wakati Rais Kikwete anaondoka madarakani mwaka 2015 vituo vya afya vya serikali vilikuwa 507,Mpaka 2018|19 jumla ya Vituo vya afya...
MIEZI MITANO BILA JPM:CHANJO YA MAREKANI NA UINGEREZA INAVYOATHIRI SOKO LA TANZANIA.
Leo 14:30hrs 28/08/2021
Tanzania inategemewa na nchi zote majirani kwa bidhaa mpya ambazo kwa asilimia 75% zinatoka China,hivi sasa nchi hizo majirani zinaelekea Afrika ya Kusini kufuata bidhaa mpya ili...
Haa walahi kudadeeeekiiii hapa hata takataka za redioni zilizokouwa blinded na bahasha za khaki za wakwepa kodi hawataweza kulizungumzia kabisa.
Kocha mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi ametua nchini jana na kutamka kwamba bado hajapata muunganiko katika timu yake licha ya kuwa nchini Morocco...
Kabla ya mauaji Rwanda viongozi wa kisiasa na vyombo vya dola waliminya watu Kama tunavyoshuhudia hapa nchini Sasa. Leo Mhe. Rais ametembelea Makaburi yaliyosababishwa na watu wachache walioona wao ndio waliozaliwa kutawala.
Mwenyenzi Mungu anakusudi kumpa safari siku chache baada ya dola...
Nchi yetu ilifikwa na msiba wa kufiwa na rais, baada ya kufiwa immediately tulipokea salamu za rambirambi kutoka kwa maraisi wa jumuia ya Afrika mashariki akiwemo mzee Museveni, Rais Kenyata, Rais Ndaishimiye, Lakini Kagame ilimchukua siku nyingi sana takriban miezi miwili kabla ya kuwapa pole...
Habari wandugu!
Poleni kwa majukumu! naomba kujua au kueleweshwa kama kuna madhara kutogeuka kwa mtoto baada ya miezi kutimia.
Tulifanya utrasound dk akatujuza kwamba mtoto hajageuka na hamna madhara yoyote atageuka tu! Sa sjaelewa vizuri, anatutia moyo au la!
Nina hofu sana jamani.
Natafuta Crop Production Specialis wa kusimamia shamba langu lililopo Dodoma eneo la Zuzu nje kidogo ya Jiji la Dodoma. Shamba hilo ni jipya (halijawahi kulimwa) litaanza kulimwa kuanzia Oktoba 2021. Kazi ya kusimamia shamba hilo itaanza mwezi Oktoba 2021 na itaendelea kwa muda wa miezi 6...
Watoto 981 katika Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, wamepatiwa ujauzito ndani ya kipindi cha miezi sita kilichoanzia mwezi Januari mwaka huu.
Kutokana na kitendo hicho cha ukatili wa kijinsia, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mwanaidi Ali Khamis, ameagiza...
MIEZI 4 BILA JPM:KWA NINI RAIS MAGUFULI ALIWEZA KUIJENGA NCHI BILA TOZO YA MSHIKAMANO!?
Leo 12:50hrs 18/07/2021
Mwana wa kweli wa Afrika, Son of the soil, Hayati Rais Dr. John Pombe Magufuli,ndani ya miaka mitano aliifanya Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati bila tozo ya mshikamano akifanya...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk.Damas Ndumbaro amesitisha tozo ya pango ya ardhi kwa loji na kambi za huduma za kitalii katika Hifadhi za Taifa (TANAPA) kwa kipindi cha muda wa miezi mitatu kwa lengo la kutoa ahueni kwa Wadau wanaotoa huduma hizo kukabiliana na athari za ugonjwa wa UVIKO 19...
Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma amejisalimisha kwa polisi ili kuanza kutumikia kifungo cha miezi 15 jela.
Wakfu wa Zuma Foundation uliandika katika mtandao wake wa Twitter kuwa kiongozi huyo ameamua kuheshimu agizo la korti na kwamba alikuwa njiani kuelekea katika kituo cha polisi...
Habari,
Ndani ya miaka 6 ya Magufuli niliambulia annual increment moja tu ya November 2017, ambacho ni kiasi kidogo sana.
Kwa ufupi mshahara haujaongezeka katika kipindi chote hicho.
Miezi 3 tu ya Rais Samia Suluhu salary slip yangu pale juu imebadilika.
Watu wa imani tunaamini kuwa mateso...
Mtoto huwa anaishi kwenye maji ndani ya placental. Hujigeuza na huzoea mazingira yake. Anapozaliwa humchukua muda mfupi kuzoea hali ya duniani, kipindi hiki mtoto analia sana hasa akihisi baridi ya usiku.
Miezi mitatu mtoto anakua amepashapata chanjo za awali na ameanza kujenga adopted immune...
Diamond amejijenga Sana kimziki Hilo halina ubishi, inawezekana kuna mapungufu pia , hata hvyo katengeneza team work yenye nguvu Sana ,....
Kwa sku za hvi karibuni kapigiwa kelele Sana negatively, kelele hzo hazijaathir chochote career ya mshikaj , Sana Sana zimempa hipe kubwa Zaid, .... ...
Mahakama ya Juu zaidi Nchini Afrika Kusini imemhukumu aliyewahi kuwa Rais wa Taifa hilo, Jacob Zuma kifungo cha miezi 15.
Uamuzi huo umekuja baada ya Mahakama ya Kikatiba kumkuta na hatia ya kudharau Mahakama baada ya kukaidi agizo la kufika kwenye Uchunguzi wa Ufisadi wakati akiwa Rais.
======...
Rais Samia amesema CAG ameshakamilisha ripoti ya CAG kuhusu Benki kuu kwa kipindi cha kuanzia January hadi March 2021 na ataikabidhi kwake siku ya Jumatano au Alhamisi.
Umma utaelezwa yaliyomo ndani ya ripoti hiyo, amesisitiza Rais Samia.
Chanzo: ITV
Niliwahi kuandika hapa jukwaani na ntazidi kuandika. Ukitaka kukuza uchumi wa nchi tengeneza mazingira ya watu kujisikia wapo huru, hawabughudhiwi, wanajiskia kutendewa haki, hata uzalendo wa watu kwa nchi yao unakuwa mkubwa endapo mtu unahisi kwamba unatendewa haki. Na hi ina apply hata kwa...
Juzi nilikuwa nimekaa sehemu kimya, nikakumbuka kifo cha Magufuli. Nikajiuliza hivi kafa lini? Nikagundua ni miezi 3 tu iliyopita. Nikashtuka, ashaanza kupotea kwenye kumbukumbu zangu zaidi hata ya Nyerere aliyefariki miaka 22 iliyopita.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.