mifugo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Wizara ya Mifugo na Uvuvi Bajeti ni Bilioni 295.9 Mwaka wa Fedha 2023/2024

    WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI YAOMBA BILIONI 295.9 BAJETI MWAKA MPYA WA FEDHA 2023/2024 Waziri wa Wizara Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Hamis Ulega ameliomba Bunge likubali kupitisha Makadirio ya Matumizi na mapato katika mwaka 2023/2024 ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi ya jumla ya Shilingi...
  2. B

    Arusha: Chui, fisi tishio kwa mifugo

    Wakazi wa Ngorongoro wameeleza kuishi kwa mashaka katika makazi yao kutokana na uwepo wa wanyama wakali ambao wamekuwa wakila mifugo yao. Uwepo wa wanyama kama Chui na Fisi unatajwa pia kuwatia hofu wazazi pindi watoto wao wanapoenda na kurudi shuleni ambako hulazimika kutembea umbali kati ya...
  3. J

    Ziara ya Rais Samia Qatar inavyozidi kuleta neema kwenye sekta ya mifugo.

    Ziara ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan aliyoifanya Oktoba, mwaka jana nchini Qatar, imeendelea kuvuta wawekezaii kutaka kuwekeza kwenye sekta; ya mifugo nchini. Katika kikao kati ya Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Widam Food, Al Noubay Al Marri, wa...
  4. K

    Mateso wanayopata wananchi wanaoishi kando kando ya shamba la mifugo la Utegi

    Shamba la mifugo la Utegi kisheria ni shamba la vijiji vinavyoizunguka shamba hilo na walipewa na Serikali baada ya kuilipa Serikali jumla ya Tshs.90,000,000 (millioni tisini). Na kama nasema uongo, naomba kusahihishwa. Awamu ya Tano ilipoingia madarakani, iliichukua shamba hili bila kukaa na...
  5. K

    Uwanja wa mpira Bariadi wageuzwa zizi la mifugo

    Uwanja wa michezo Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu, ambao utumiwa na wanamichezo mbalimbali, Sasa unatumika kuhifadhi mifugo kama ngo'mbe, mbuzi, na kondoo pia. Taarifa zinasema kuwa Mkuu wa Wilaya hiyo Simon Simalenga, ameufanya uwanja huo kuwa zizi, baada ya kuamua kuhifadhi mifugo...
  6. K

    Askari wa wanyamapori wanaona mifugo ila majangili hawaoni

    Inasikitisha kuona nyara za serilkali zinakamatwa ikiwa tayari zimevunwa, iki maanisha wanyama wameshauwawa nyama, ngozi na pembe zao kunyofolewa. Najiuliza, ng'ombe wa wafugaji wanaingia porini kimyakimya lakini wanawasikia na kukamata, majangili wanaingia kwa magari yenye mingurumo na kuuwa...
  7. Kufa c mwiko

    Barua kwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi

    Nianze kwa kukupa pole na majukumu yako ya kitaifa na mwenyezi Mungu akutangulie, sisi wakazi wa bwawa la Mtera tuna maombi kwako tangu mwaka 2019. Bwawa la Mtera limesitisha kabisa uzalishaji wa samaki bwawa hili limepita kwenye wilaya tatu kwa maana ya mpwapwa, Chamwino na irnga vijijini...
  8. Kufa c mwiko

    Barua maalum kwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi

    Nianze kwa kukupa pole na majukumu yako ya kitaifa na mwenyezi Mungu akutangulie, sisi wakazi wa bwawa la Mtera tuna maombi kwako tangu mwaka 2019. Bwawa la Mtera limesitisha kabisa uzalishaji wa samaki bwawa hili limepita kwenye wilaya tatu kwa maana ya mpwapwa, Chamwino na irnga vijijini...
  9. J

    Rais Samia atoa bilioni 5.9 kuboresha afya ya mifugo

    Katika kuboresha huduma za mifugo na kuiepusha dhidi ya magonjwa, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia matumizi ya jumla ya Shilingi Bilioni 5.9 kwa ajili ya ujenzi wa majosho 257 katika Halmashauri 80, ambapo kati ya hayo tayari majosho 88 yamekamilika. Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi...
  10. K

    Wizara ya Mifugo & Uvuvi wekeni viwango samaki wa maji baridi hasa Sato

    Inaelekea kuna rushwa nyingi au kutokufahamu wa Serikali kwenye hii Wizara ya Uvuvi. Lakini kuwa wanaofaidika sana na elimu ndogo kwa raia wa Tanzania Watanzania wakiona samaki wa sato wananunua kwa kujiaminisha wanatoka ziwa Victoria. Tatizo kubwa ni kwamba huu sio ukweli. Samaki wengi wa sato...
  11. Ozone star

    Hii imekaaje kuhusu tathmini ya uharibifu wa shamba baada ya mifugo kuharibu shamba?

    Kuna documents kutoka halmashauri ya wilaya fulani hivi. Inaelezea tathmini ya jinsi ya kutatua migogoro ya mifugo itakapoharibu kila aina ya mazao na malipo yake. Mfano: Ng'ombe wakiingia shamba la mahindi muda wowote wa ukuaji wa mazao hata kama mahindi yana wiki toka kupandwa, inapigwa...
  12. ThisIsIt

    Msaada-Afisa mifugo msaidizi daraja ii (Livestock officer ii)

    Kwa ambaye amewahi kufanya interview kwa hii Kada ya LIVESTOCK FIELD OFFICER II naomba kujua maswali, nisome angle ipi hasa au kama kuna group la whatsapp naombeni link nijiunge..Asanteni
  13. BARD AI

    Polisi Tanzania: Mifugo ya Tsh. Bilioni 6.71 iliibwa Januari - Desemba 2022

    Jeshi la Polisi Kupitia kikosi cha kuzuia na kupambana na wizi wa mifugo Nchini limewakamata watuhumiwa 1942 wa wizi wa mifugo kwa kipindi cha mwezi Januari hadi decemba 2022. Akitoa taarifa hiyo leo decemba 30.2022 kamanda wa Polisi kikosi cha kuzuia na kupambana na wizi wa mifugo hapa Nchini...
  14. J

    Mifugo yavamia shamba la utafiti la Tari Ilonga na kusababisha uharibifu na hasara ya millioni 600

    ..Tari ni taasisi ya utafiti mbegu hapa Tanzania. ..shamba lao wanalofanyia utafiti wa mbegu limevamiwa na mifugo na kuharibiwa. ..watumishi wa Tari walipojaribu kuwadhibiti wafugaji na mifugo yao, waliishia kushambuliwa, na wafugaji wakatoroka na baadhi ya mifugo hiyo. ..serikali ni kama...
  15. Edwardo Ommy

    Vitabu vya mifugo ya ngurue

    Karibu ujipatie kitabu chenye toleo la kwanza na la pili kwa pamoja kinachotoa mwongozo wa ufugaji wa ngurue kuanzia ujenzi wa mabanda, vipimo vyake mbegu sahihi ya kuanza nayo na hata uzalishaji wake... Utajipatia kitabu hiki kwa elfu kumi na saba tuh 17k. Mawasiliano 0718982463
  16. R

    Wataalamu wa mifugo, Msaada tafadhali

    Nimemtibu ngombe wangu ambaye amekuwa akiumwa MASTITIS kwa Penstrep for 10 days (injection 15 mls +intrammamary infusion 10 mls for 5 days hakupona, nikaprolong for another 5 day of the same course amepata improvement kidogo. Nitumie dawa gani zaidi ya hapo.
  17. Edwardo Ommy

    Vitabu vya mifugo ya ngurue wenye tija

    Karibu ujipatie vitabu vya ufundishaji wa mifugo ya ngurue yenye tija kutoka kwa wafugaji na wakulima waliobobea. Pia utajipatia kitabu hiki kwa elfu 17. Kitabu kikiwa na muunganiko wa toleo la kwanza na la pili. Mawasiliano 0718982463
  18. JF Member

    Video: Ukame waleta balaa Kenya na Somalia, mifugo inapukutika

    Hii vedio inajieleza. Tutunze mazingira. Selikali simamieni hili.
  19. saidoo25

    Majaliwa ashtukia upigaji wa Bilioni 8 za zoezi la hereni za mifugo

    WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza rasmi bungeni kusitisha zoezi la uvishaji hereni mifugo baada ya kubaini upigaji wa Shilingi Bilioni 8.8 uliofanywa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki. Kwa mujibu wa Majaliwa hadi sasa jumla ya Ngombe 5,068,616 zimeshawekewa hereni hizo ambazo...
  20. JanguKamaJangu

    Waziri Ndaki aelezea zoezi la utambuzi wa mifugo kwa kutumia hereni za kielektroniki Nchini

    Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeridhia ombi la kuongeza muda wa ukomo wa uwekaji wa hereni za utambuzi kwa mifugo kwa hiari kuwa tarehe 31/12/2022 na baada ya hapo hatua za kisheria zitaanza kuchukuliwa dhidi ya waliokaidi. Tangu mwezi Oktoba, 2021, Wizara ilianza kufanya utambuzi...
Back
Top Bottom