migodi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    LIVE: DIRA YETU: SEKTA YA MADINI NCHINI RWANDA: Je ni kweli Rwanda Haina Migodi ya uchimbaji?

    11 March 2025 Dira Yetu : SEKTA YA MADINI NCHINI RWANDA : Je ni kweli Rwanda Haina M8godi ya Uchimbaji ? https://m.youtube.com/watch?v=T2NW4_-B6-4 Muongoza kipindi ndugu Masantura amewakaribisha studio wageni kujadili sekta ya madini nchini Rwanda. Kipindi hiki kitawafahamisha je ni dhana...
  2. S

    Urusi yachukua udhibiti wa mojawapo ya migodi mikubwa ya Lithium Barani Ulaya

    Urusi imechukua udhibiti wa mgodi wa Lithium wa Shevchenko baada ya kutwaa eneo unapopatikana mgodi huo. Hii ni mwendelezo wa Urusi kutwaa maeneo yaliyoko mashariki mwa Ukraine tangu kuanza kwa vita kati ya Urusi na Ukraine. Mgodi huu ni miongoni mwa migodi migodi mikubwa zaidi ya Lithium...
  3. DOKEZO Serikali wamulikeni wamiliki wa migodi ya dhahabu mkoani Mbeya. Hawawalipi mishahara wafanyakazi wao

    Wanafanyisha kazi kwa makubaliano ya baada ya miezi minne wanapofikisha miezi hiyo wanaishia kudhulumiwa na hawana pa kulalamika. Hawa vijana ni watanzania na wanajitafutia ridhiki ili wajikimu kimaisha. Huu ni uonevu na dhuluma kwa kweli. Uongozi husika waangalieni hawa wamiliki wa migodi.
  4. N

    Wamiliki wa Migodi ya Shanta ni WaTanzania lakini wanayanyasaji sana

    WaAfrika sisi ni wajanja wajanja tu. Wamiliki wa Mgodi wa Shanta (WaChaga) ambao wana sites zao Singida, Mbeya na kwingineko wamekuwa miungu watu. Hawa jamaa wametuajiri bila kufuata taratibu za kisheria kwa kotokuruhusu sisi wafanyakazi tuwe na wenza wetu mahali pa kazi lakini pia hawatoi...
  5. Inakuwaje France ina akiba ya dhahabu tani 2436 bila kuwa na mgodi wakati nchi kama Senegal haina akiba angali kuwa na migodi 860.

    Najua wengi wenu mtakuja na majibu ya wazungu ni wezi mara mabeberu wanaonea Waafrika. Ila mnasahau adui na mwizi wenu namba moja ni yule aliyeko pembeni yako na licha ya kukuibia bado anakutoza kodi ya kidogo kilichobakia. Hata kama wazungu ni wezi wa rasilimali zetu unafikiri ni nani ana...
  6. K

    Judith Kapinga amesema Serikali imetenga takribani shilingi bilioni 4.6 kupeleka umeme kwenye maeneo ya migodi mkoani Ruvuma

    SHILINGI BILIONI 4.6 KUPELEKA UMEME MAENEO YA MIGODI RUVUMA - KAPINGA 📌 Asema Serikali itaendelea kupeleka umeme maeneo ya uwekezaji 📌 Serikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali imetenga takribani shilingi bilioni 4.6...
  7. Tume ya Madini yatoa elimu ya fursa za uwekezaji katika Sekta ya Madini kwenye migodi ya madini

    Tume ya Madini inaendelea kutoa Elimu kwa Wadau wa madini na Wananchi wote kutoka katika Mkoa wa Dodoma kwenye Wiki ya Maonesho ya Madini inayoambatana na Kongamano la Wachimbaji wa Madini yanayoendelea katika Viwanja vya Jakaya Kikwete, leo tarehe 22 Juni 2024, Dodoma. Elimu inatolewa katika...
  8. Jumla Migodi ya Madini 21,686 yakaguliwa katika kipindi cha Julai, 2023 hadi Aprili 2024

    Kati ya migodi hiyo, migodi mikubwa ni nane, migodi ya kati 56 na migodi midogo 21,622. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Msafiri Mbibo akimwakilisha Waziri wa Madini, Anthony Mavunde katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wakaguzi wa Migodi kutoka Tume ya Madini uliofanyika...
  9. Mbunge Festo Sanga: Tutumie fedha za Migodi kujenga na kuboresha viwanja

    Akichangia Hotuba ya Bunge la Bajeti ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, leo Mei 23, 2024, Mbunge wa Makete, Festo Sanga ameishauri Serikali kutumia fedha zinazotolewa na kampuni zinazojihusisha na uchimbaji migodi Nchini kwa ajili ya maendeleo ya jamii kutumika kujenga na kuboresha...
  10. G

    Kwanini migodi ya mkoa wa Mara watu wanauliwa sana kuzidi migodi ya mikoa mingine ?

    Imekuwa kawaida sana kusikia vijana wanauliwa na polisi kwenye migodi ya mkoa wa Mara wilaya ya Tarime. Kwanini hatusikii haya migodi ya Geita, Chunya, Kahama, n.k.
  11. Tukio la Kikatili Lililowakuta Wanajeshi wa Kirusi Waliokuwa Wakisafisha Uwanja wa Vita

    Walidhani ni madini kwa jinsi yalivyoonekana kwa nje kumbe ulikuwa no mtego. Never trust anything on walking around.
  12. Suluhisho Kubwa za Kemikali kwa Viwanda na Migodi

    Kuwezesha Ukuaji na Ufanisi: Suluhisho Bora za Kemikali na Huduma Zetu kutoka ISMANI COMPANY LTD! Tunatoa kemikali za hali ya juu kwa bei ya jumla na rejareja, zilizotengenezwa kwa viwango vya kimataifa. Tumejitolea kuleta ubora, usalama, na ufanisi katika shughuli zako za viwandani na...
  13. Nisome 'short courses' zipi ili kuweza kufanya kazi (managerial position) kwenye migodi mikubwa ya uchimbaji madini?

    Hello wanajukwaa, Kichwa cha habari chahusika. Mining industry. Ninapenda sana kazi za migodini, at management level. Shauku yangu na ndoto yangu kubwa ni kufanya kazi (managerial position) kwenye migodi mikubwa ya big/giant investors (foreigners or local) nchini Tanzania, specifically...
  14. Kwanini tunalipwa mgao wa shilingi inayoshuka thamani kutoka kwenye migodi yetu badala ya kuchukua dhahabu isiyoshuka thamani?

    Dhahabu ni pesa isiyoshuka thamani,tangu kuumbwa kwa dunia,dhahabu haijawahi tetereka katika soko la dunia,tukisubiri kugawana pesa baada ya hesabu wajanja watatangaza hasara,na kwa nini pesa na si dhahabu isiyoshuka thamani, tubadili sheria, tugawane Gold Bars(vitofali),Wazalendo wa nchi hii...
  15. Ni aibu kubwa kwa taifa lenye rasimali nyingi kama Tanzania kukomalia tozo za line za simu. Bora serikali ijikite kuchimba dhahabu ili kupata mapato.

    Karibu kila eneo la taifa letu limejaliwa kuwa na madini ya kila namna. Dhahabu ndio inapatikana kwa wingi kila mahala hapa nchini. Kama kuna baadhi ya kampuni za kigeni zina migodi ambayo uwekezaji wake haufiki hata bil 200 na wanachimba na kupata faida na pesa nyingi tu. Kwa nini huyu...
  16. P

    Nikiwa Rais wa Tanzania nafukia migodi yote

    Hakuna haja ya kuchimba madini kama bado tunayapeleka kama kipindi cha ukoloni, hata kipindi cha biashara na waarabu wazee wetu walichimba na kuuza madini yakiwa yameshachakwatwa. Mimi binafsi naona Serikali ingekazia kwa miaka kumi katika sekta zifuatazo -Elimu- kuzaliaha wataalamu na kuwauza...
  17. N

    Kitendawili cha nishati katika maeneo ya migodi, Je kubaki historia?

    Tanzania ni moja ya nchi chache barani Afrika ambazo zimebarikiwa kuwa na rasilimali nyingi sana ikiwemo madini, lakini isivyo bahati pia ni miongoni mwa nchi ambazo hazinufaiki na madini hayo hii ni kutokana na technolojia duni ikiwepo ni ukosefu wa nishati ya umeme ya uhakika ya kuendeshea...
  18. Nini kilisababisha Mtanzania aende kuteseka kwenye migodi ya Burkina Faso?

    Kuna Mtanzania amekwama kwenye mgodi kule Burkina Faso, nchi ya mbali sana magharibi mwa Afrika, na mpaka sasa imeshindikana kutoka. =========== Tanzanian among 8 trapped in Burkina Faso zinc mine The accident, which occurred on April 16, 2022, was accelerated by the heavy rainfall, which...
  19. Waitara awashukia vikali Mawaziri. Zungu amjibu hata yeye alikuwa anafanya hivyo hivyo alipokuwa Naibu Waziri

    Leo mbunge Waitara amewashukia naibu Waziri maliasili na Waziri wa ardhi na kuwalaumu kumtegea mabomu njiani. Waitara amesema wahusika wameenda jimboni kwake na kudai wamemshirikisha eneo la mipaka na kuwahamisha watu bonde la mto Msimbazi. Waitara amewataka mawaziri wa Maliasili na Ardhi...
  20. Madai ya sumu Mto Mara kutoka migodini, wananchi wazuiwa kutumia maji, kula samaki, uvuvi, Serikali yatoa tamko

    Sakata la maji ya Mto Mara kubadilika rangi huku Samaki wakifa ikielezwa kuwa kuna kemikali za sumu limechukua sura mpya baada ya malaka husika kutoa kuhusu kinachoendelea. Maji hayo yamebadilika rangi na kuwa meusi huku wakazi wanaoishi katika vijiji vilivyopo kandokando ya Mto Mara wakiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…