Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Mandondocha kwenye hii nchi wapo wengi sana.
Mkoani Ruvuma rasilimali adhimu ya Makaa ya Mawe imehodhiwa na Wanamtandao wa CCM chini ya Rostam pamoja na Chama cha Mapinduzi kupitia kampuni yao ya Tujitegemee ambapo wanaiba na kupiga wapendavyo. Haya yakifanyika na Wananchi tukizidi kuwa masikini Jeshi letu linajengewa hadi hospitali na Wajerumani huku yenyewe ikikenua tu meno
WAnaowaangusha Wananchi wa Taifa hili na kuchochea Watanzania tuzidi kuwa masikini ni TISS, JWTZ, TAKUKURU na Mahakama.
No Reforms No Election ✊️✌️