Migodi na Rasilimali za Taifa Wanapewa kina Rostam na CCM, halafu wao wanajengewa Hospitali na Wajerumani

D
View attachment 3452243

Mandondocha kwenye hii nchi wapo wengi sana.

Mkoani Ruvuma rasilimali adhimu ya Makaa ya Mawe imehodhiwa na Wanamtandao wa CCM chini ya Rostam pamoja na Chama cha Mapinduzi kupitia kampuni yao ya Tujitegemee ambapo wanaiba na kupiga wapendavyo. Haya yakifanyika na Wananchi tukizidi kuwa masikini Jeshi letu linajengewa hadi hospitali na Wajerumani huku yenyewe ikikenua tu meno

WAnaowaangusha Wananchi wa Taifa hili na kuchochea Watanzania tuzidi kuwa masikini ni TISS, JWTZ, TAKUKURU na Mahakama.

No Reform

No Reforms No Election ✊️✌️
Duuuuuuh
 
Ondoa hiyo ID fake ili wakujue vizuri hao wanaowaangusha wananchi
 
We

We Mbwa mlaumu babako kwa umaskini wenu, we ulijaribu kuomba kuendesha huo mgodi? Umaskini siyo sifa we zombie, ulitaka apewe nani
 
U
View attachment 3452243

Mandondocha kwenye hii nchi wapo wengi sana.

Mkoani Ruvuma rasilimali adhimu ya Makaa ya Mawe imehodhiwa na Wanamtandao wa CCM chini ya Rostam pamoja na Chama cha Mapinduzi kupitia kampuni yao ya Tujitegemee ambapo wanaiba na kupiga wapendavyo. Haya yakifanyika na Wananchi tukizidi kuwa masikini Jeshi letu linajengewa hadi hospitali na Wajerumani huku yenyewe ikikenua tu meno

WAnaowaangusha Wananchi wa Taifa hili na kuchochea Watanzania tuzidi kuwa masikini ni TISS, JWTZ, TAKUKURU na Mahakama.

No Reforms No Election ✊️✌️
chafu
 
Hao wengine unawaonea tu mkuu. Wanaowaangusha wananchi wa taifa hili JWTZ tu siku wakiamua hao basi mambo yote yatakaa sawa katika taifa hili.
 
Ondoa hiyo ID fake ili wakujue vizuri hao wanaowaangusha wananchi
Mkiambiwa ukweli muwe wasikivu, na pia muwe tayari kubadilika! Na siyo kujivunia huu utekaji, utesaji na mauaji wenu! kama njia sahihi ya kuwanyamazisha wakosoaji na wapinzani wenu. Huu ni upumbavu.
 
Mkiambiwa ukweli muwe wasikivu. Na siyo kujivunia huu utekaji, utesaji na mauaji wenu! kama njia sahihi ya kuwanyamazisha wakosoaji na wapinzani wenu. Huu ni upumbavu..
Sijui fake id itamsaidia nini?

Wamekaa kutaka kuua sauti zote zisizokubaliana na upuuzi na ufisadi wao.
 
Hawa wahuni wana ujinga mwingi sana. Wanafikiri kuua, kutisha, kupoteza, kuteka, kufunga na kunyanyasa watu ndiyo suluhisho la madhaifu yao! Hovyo kabisa.
 
View attachment 3452243

Mandondocha kwenye hii nchi wapo wengi sana.

Mkoani Ruvuma rasilimali adhimu ya Makaa ya Mawe imehodhiwa na Wanamtandao wa CCM chini ya Rostam pamoja na Chama cha Mapinduzi kupitia kampuni yao ya Tujitegemee ambapo wanaiba na kupiga wapendavyo. Haya yakifanyika na Wananchi tukizidi kuwa masikini Jeshi letu linajengewa hadi hospitali na Wajerumani huku yenyewe ikikenua tu meno

WAnaowaangusha Wananchi wa Taifa hili na kuchochea Watanzania tuzidi kuwa masikini ni TISS, JWTZ, TAKUKURU na Mahakama.

No Reforms No Election ✊️✌️
 
Bandari wapewa Waarabu,migodi ya almas na makaa yamawe yapewa mahindi kisa diniyake, ardhi ngorongoro wamasai wafukuzwe warab wakumbatiwe nk. nk.
Ajab tanga nyika kutawaliwa na mwanamke Toka nchi flani alafu anaamua nani akae bungeni nani askae nabado Kuna majinga yanamshabikia...
 
Nenda Lugalo kawaambie maneno haya kuwa mnaliangusha Taifa acha kujificha humu.
Nchi yenye raslimali kama Tanzania lakini viongozi wanaabudu ''vya bure'' unaweza kuwaambia hivyo na wakakuelewa? Wana akili za kuelewa mambo ya maana?
 
Mange kapasua tayari.

Yard ya Mkuu wa Usalama wa Taifa imejaa gari wanazoendesha Celebrities wa Marekani Posh na Ferari

Kandarasi za Jeshini anakula Samia na Mashosti wake.

Pata picha CDF nae. Atakuwa analambishwa asali huku Watanzania tunazidi kuwa masikini.

Back
Top Bottom