Zimamoto kufanya kazi ya uokoaji kwenye migodi ni mzaha, uachwe

Zimamoto kufanya kazi ya uokoaji kwenye migodi ni mzaha, uachwe

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
24,523
Reaction score
30,084
Tanzania ina migodi mingi sana lakini hakuna kikosi cha wataalamu wa uokoaji migodini! Tanzania inauhusiano wa miaka mingi, cha kushangaza imeshindwa kutumia uhusiano huo kwa kuwaomba watoe mafunzo kwa watanzania kuhusu uokoaji migodini. Afrika Kusini inao uzoefu wa uokoaji migodini kwa miaka mingi sana hata kabla ya miaka ya '50.

Binafsi niliwahi kutembelea na kuingia kwenye mgodi wa Kiwira Tukuyu Mbeya, cha kushsngaza hapakuwa na taratibu zozote za tahadhari na uokoaji!

Ni wakati sasa serikali ianzishe kikosi cha uokoaji migodini na kuachana na hawa wa zimamoto mitaani kwani ni ngumu sana mtu ambaye hajawahi kuingia mgodini unamtuma aingie akamuokoe mtu ndani ya mgodi huku akiwa na uoga wa mara ya kwanza kuingia mgodini.
 
Back
Top Bottom