miguu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Je, wajua mtembea kwa miguu anatakiwa atembee upande upi ili aweze kuepuka ajali?

    Tembea upande wa kulia wa barabara, ili uweze kuyaona vizuri na kupishana na magari yanayotoka unakoelekea na iwe pembeni sana iwezekanavyo. Upande utakaotembea itakusaidia wewe kuliona gari vizuri au vyombo vingine vya usafirikama vile pikipiki, bajaji na kuweza kukuepushia na madhara...
  2. Roving Journalist

    Kenya 2022 IEBC: William Ruto ameshinda Urais kwa 50.4% dhidi ya 48.8% za Raila Odinga

    Tume ya Uchaguzi Huru na Mipaka (IEBC) imemtangaza aliyekuwa Naibu Rais, William Ruto (55) kuwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano kwa tiketi ya Chama cha UDA kufuatia Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 9, 2022 Tume imesema Ruto amepata Kura 7,176,141 sawa na asilimia 50.49 huku akifuatiwa na Raila...
  3. A

    Vivuko vya Watembea kwa Miguu

    Kumekuwa na changamoto kubwa kwenye vivuko vya Watembea kwa Miguu. Unakuta barabara ina mifereji mikubwa ya Kupitisha maji na mifereji hiyo iko wazi haijafunikwa na hapo hapo kuna kivuko ambacho Mvukaji akishavuka hicho kivuko anakutana na Mfereji mkubwa kiasi kwamba hata Akiruka hawezi kuupita...
  4. Ubungo Mataa

    Fangasi sugu za Miguu zilizokata dawa kabisa

    Fungasi za kwenye unyayo, pembezoni mwa miguu na kwenye vidole. Nimewah kujaribu tiba kadhaa na powder bila mafanikio yoyote. Mwenye utaalam na hili tatizo naomba msaada.
  5. P

    Tasnia ya Mpira wa miguu Kenya Vs Mpira wa miguu Tanzania

    Katika Afrika Mashariki ,watu wengi hupenda huu mchezo Kwa ranki za kimataifa Afrika mashariki kwa timu ni uganda inayoongoza,ila kwa vilabu bado soka la Tanzania lina ushindani mkubwa , uwekezaji na wafatiliaji wengi kuliko nchi zote.Kwa upande wa Kenya mambo bado si mazuri inahitaji nguu kubwa...
  6. M

    SI KWELI Wananchi wa Zimbabwe huuza vidole ili wajipatie kipato

    Hivi karibuni kulizuka uvumi wa watu kulipa hela nyingi kununua vidole vya miguu nchini Zimbabwe. Je, Ukweli ukoje?
  7. JanguKamaJangu

    Watoto miguu vifundo wanatibika wapelekwe hospitali

    Watoto 3,000 katika vizazi hai huzaliwa na miguu vifundo Kila mwaka Nchini Tanzania. Hayo yamesemwa na Mganga Mkuu Hospitali ya CCBRT, Cyprian Nyomoka Jijini Dar es Salaam. "Watoto laki nane katika vizazi hai, huzaliwa kila mwaka Duniani wakiwa na miguu vifundo, huku Tanzania watoto laki tatu...
  8. Google Diggers

    Ushirikina: Watu kugeuka kuwa na miguu ya ng'ombe

    Wakuu igweee... Imeibuka hali ya watu kutishia Kwa kuonesha miguu ya ngombe. Na inadaiwa wanaofanyiwa hivyo wametembea kufanya mapenzi na wake au waume wa watu. Kuna ukweli. Siulizii hivi kutaka kujua Ili watu waendelee lkn kama ndivyo kwanini hawaweki wazi kabisa kuliko kama vile Kuna shimo...
  9. Kitandu Nkoru

    Uuzaji wa vidole vya miguu Zimbabwe

    Taarifa hiyo kwamba raia wa Zimbabwe wanauza vidole vyao vya miguuni ili kukabiliana na umasikini imesambaa sana nchini Nigeria. Mwanablogu mmoja wa Zimbabwe amedai kwamba biashara hiyo inafanyika katika kituo kimoja cha maduka katika mji mkuu Harare. Inanukuua ujumbe wa WhatsApp ukiwa na...
  10. Chizi Maarifa

    Aina hii ya Wanawake ni kama Kutafuta Nyoka mwenye Miguu

    Mwanamke 1. Mzuri wa Sura 2. Mzuri wa Umbo 3. MWENYE AKILI? Ni nadra sana hasa miaka yetu hii. Nahangaika sana nipate mwanamke wa namna hiyo. Inakuwa changamoto. Unakuta dada mzuri wa umbo na sura lakini kichwani.... Empty. Unaumia sana kuwa huyu si anaweza hata kukuambukiza upumbavu? Miaka...
  11. Championship

    Carlo Ancelotti ndio kocha bora katika historia ya mpira wa miguu

    Apewe sasa heshima yake. UCL ya nne hiyo hapo. Kachukua msimu huu akiwa na kikosi cha kawaida sana (Real Madrid). Soma > FT: 2022 Uefa Champions League Final | Liverpool 0-1 Real Madrid | Paris, France
  12. B

    Umbo la miguu na mpira wa miguu haviendani!

    Mpira una umbo la duara na miguu ina umbo ambalo kiuhalisia haliendani na kuuchezea mpira. Hii ni sababu muhimu kwa watoto wanaopenda soka kuzoezwa mapema kuuchezea mpira kwa muda mrefu. Kwa Afrika ni timu chache zenye uwezo wa kuwa na timu za watoto ambapo kila moja ana mpira wake kwa ajili...
  13. fdizzle

    Safari ya Mlandizi mpaka Bagamoyo kwa miguu na tulivyonusurika kushambuliwa na Ngiri

    Tuliamka asubuhi na mapema mimi, kaka yangu na dada angu tukaanza safari ya kutoka Mlandizi kwenda Bagamoto kwa miguu. Ikumbukwe wakati huo usafiri ulikua ni wa shida, hivyo suala la kutembea kwa miguu lilikuwa ni jambo la kawaida tu. Mpango wa safari yetu ulikua tutembee kutoka Mlandizi mpaka...
  14. Magheahealthcare

    Matibabu ya viungo na mifupa (ganzi, miguu kuwaka moto, joints na mgongo kuuma

    ELEWA TATIZO LA MIKONO / MIGUU KUFA GANZI. Na Dr Gombeye...✍ KATIKA mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kufa ganzi kwa viungo vya mwili yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu huitwa Peripheral Neuropathy. Matatizo haya ya...
  15. CodeX

    Natafuta kununua Miguu ya kitimoto kwa Dar es Salaam kwa Kongoro

    Wakuu, kama una sehemu unafahamu wanauza miguu ya kitimoto nahitaji ya kununua. Nimefungua kijiwe cha Kuchemsha Kongoro zake. Nahitaji order kuanzia 80 na kuendelea. Nicheki kwa simu 0762 75 31 40, whatsapp pia 0762 75 31 40. Asanteni.
  16. Roy Keane

    Msaada kwa anayefahamu API's bora kwa kutoa Livestream za mpira wa miguu

    Nataka kudevelop mobile app ya ku Livestream mpira wa miguu kwa ligi za ulaya. Naomba yoyote mwenye ufahamu wa API's zinazotoa hii huduma anijuze . Au kama kuna alternative nyingine ningependa pia kusikia. Chief-Mkwawa et al
  17. Nyuki Mdogo

    Nielekezeni mapishi Bora na ya kuvutia ya miguu ya kuku

    Nimeikuta sehemu inauzwa shing 100 kwa kila mguu. Nimezoa ya 2000 nikapewa 2 nyongeza. Bado natafakari niipike vipi iwe mitamu na ya kuvutia. naombeni maelekezo tafadhali
  18. Lycaon pictus

    Hii ndiyo sababu wale wezi waliotundikwa na Yesu walivunjwa miguu

    Inasemwa kuwa mtu akitundikwa huwa anatumia miguu yako kujunyanyua juu anapopumua. Sasa ili kuwafanya wafe haraka ilikuwa ni kawaida kuwavunja miguu ili washindwe kupumua vizuri na kufa mapema. Karibu watu wote waliotundikwa walifanyiwa hivi. Lakini walipofika kwa Yesu wakakuta tayari...
  19. MSAGA SUMU

    Avunjwa miguu baada ya kukutwa kwao na binti akitafuta watoto

    Benard Mkolwe wa kata ya Madilu Mkoani Njombe amepigwa na kuvunjwa mikono na miguu baada ya kukutwa akiwa na Sarah Mgohole (18) nyumbani kwao ambako alimfuata kwa lengo la kufanya mapenzi ikiwa ni siku yao ya kwanza tangu waanze uhusiano wiki 2 zilizopita. Chanzo Millard Ayo
  20. The Sheriff

    Njombe: Avunjwa mikono na miguu baada ya kukutwa na msichana

    Kijana anayefahamika kwa jina Benard Mkolwe mkazi wa kata ya Madilu, wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, amepigwa na kuvunjwa mikono na miguu baada ya kukutwa na msichana Sara Mgohole anayedaiwa kukutana naye nyumbani kwao kwa lengo la tendo la ndoa ikiwa ni siku ya kwanza tangu waanze mahusiano...
Back
Top Bottom