Waswahili wanasema tembea uone. Aijalishi utaona magorofa au nini wee tembea tu utachokiona ndo iko iko ulitakiwa ukione 😉
Miii katika tembea yangu nimekutana na kitu cha kustajabisha.
Nikiwa chuoni nmebahatka kuishi room moja na wasichana wa mataifa mbali mbali, uarabuni, wasomali...
Sio vizuri kutimuana kila wakati kwakuwa zoezi la kutimua watu linazaa kelele na bughudha nyingi kwa wananchi. Tulifurahia kuona watanzania wenzetu wafanyabiashara ndogondogo wameziachia barabara za magari na njia za miguu za watanzania wenzao walizokuwa wamezivamia kwa maslahi yao binafsi...
Ukipita Facebook, Twitter, Instagram au kwenye usafiri wa umma utakuta watu wako wanabishana nani atakuwa mshindi na kufurahia kipigo anachokipata Mrusi au Ukrainian.
Je, ni umaskini wa akili au mali ndio hupelekea watu kushangilia mauaji?
Kuna uwezekano kama mbongo angemiliki nyuklia dunia...
Haiwezekani unapewa risiti halafu kwenye kuscan eti machine haifanyi kazi unaambiwa upitie sehemu ambayo machine haifanyi kazi.
Hii inaweza kuwa hujuma na upotevu wa mapato ya Serikali.
NB:Maendeleo hayana chama
Moja kwa moja..
Miaka kadhaa imepita (toka 2016) tuliposikia kuhusu ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu Dodoma unatarajia kuchukua watazamaji 80,000 na miundombinu mingine. Ikiwa kama ushrikiano wa serikali ya JMT na Morocco huku serikali ya Morocco ikiahidi kutoa fungu kusaidia ujenzi...
Mwanafunzi Saada Ngedea(14) wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Shinamwenda Mkoani Geita amefariki dunia kwa kujinyonga kwa kamba ya mti ambayo aliifunga kwenye mti.
RPC wa Geita Henry Mwaibambe amesema chanzo cha kifo ni kwamba Mwanafunzi huyo alikuwa analazimishwa kutoka Kijijini wao na...
Tumekusikia jana ukitoa maelekezo ya kutosha Baraza la michezo jinsi Wizara yako mnavyotaka isimamie mpira wa miguu “as if” Baraza la Michezo kazi yake ni kusimamia mpira wa miguu tu na huku ukijisahau kuwa wewe sio Waziri wa mpira wa miguu peke yake. Okay tuliacahe hilo.
Tumesikia maoni ya...
Kwa barabara zetu kuu ( Highways) hivi hakuna kigezo kwa wakandarasi wa barabara kuweka vivuko vya watembea kwa miguu stahili zaidi ya kuchora mistari ya pundamilia? Nimeandika hivi kwa sababu barabara zetu kuu karibia zote zimejaa matuta na Zebra kitu ambacho nahisi kinaweza kuwa hata nje ya...
1. Ushabiki wa mpira ni Aina Fulani hivi ya uwendawazimu, inahitaji akili ya mwendawazimu kuwa shabiki wa mpira wa miguu. Kwa mfano : Mashabiki wa timu kuomba mpira uishe pindi timu Yao inapokuwa inaongoza . Kwanini unataka mechi iishe haraka wakati wewe umeenda kuangalia mpira?
2. Tofauti...
DKT NDUGULILE AWAPONGEZA TFF KWA KUJENGA KITUO CHA MAENDELEO YA MPIRA WA MIGUU KIGAMBONI
Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile (Mb) amekipongeza Chama Cha Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kujenga kijiji cha maendeleo ya mchezo mpira wa miguu katika Kata ya Kisarawe II, Wilaya ya...
JOHN FRANCIS RAIA WA MAREKANI ALIYETEMBEA KWA MIGUU MIAKA 22 AKIIZUNGUKA MAREKANI KUHAMASISHA UTUNZAJI WA MAZINGIRA
Umewahi fikiri kuwa unaweza kukaa kwa siku au miaka mingapi bila kuzungumza chochote yaani bila kutoa sauti, kwa kawaida tu binadamu tunatofautia wengine hata sekunde moja...
Kwanza hongera na pole kupewa wizara nyeti na ngumu. Nirudi kwenye malalamiko yangu hili shirika la umeme TANESCO mkoa wa Mara hususani wilaya ya Bunda Mashariki na Serengeti vijijni limekuwa ni kero kwa sisi watumiaji. Umeme unakatika hovyo na hawajali. Ninavyongea hakuna umeme toka juzi usiku...
Baada ya Simba kufungwa jana na wabotswana tumeona kauli za haraka haraka kutoka kwa viongozi wa Simba kuandika mambo ambayo mimi naweza sema ni upuuzi.
Kwa kuangalia comments za wapenzi wa soka wakijaribu kujaribu viongozi kwa ujinga walioandika (nimeweka baadhi hapo chini) nadhani ni wakati...
Kwamba anayekimbia atakachokiingiza zaidi tu Mwilini mwake ni Pumzi ila Mtembea kwa Miguu Yeye anaingiza Pumzi ya Wastani ila anaimarisha Mwili mzima pamoja na Viungo vyake vyote na Kujengeka Kiafya mpaka na Kimwonekano.
Tafadhali wale Wakimbiaji na Watembea kwa Miguu bila kuwasahau na wale...
Kuvimba miguu au mikono (peripheral edema)
Edema ni uvimbe unaoonekana kwa macho unaotokana na mkusanyiko wa vimiminika ndani ya tishu za mwili.
Uvimbe huu hutokea mara nyingi kwenye nyayo, ankle, miguuni na mikononi ambao huitwa “peripheral edema.”
Uvimbe huu ni zao la kujikusanya kwa...
Hebu piga picha, lengo la yanga ni kutafuta watu,lengo la simba ni kuonesha kikosi kipana.
Ndugu zangu wanaobeti sasa! Unakuta anaitabiria yanga kufunga magoli saba huku haina kikosi kipana? Duh!
Wao wanataka watu na siyo magoli,hhhhhh!
Hongereni watani zangu yanga kaa ushindi wa jumapili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.