Habari ya wote humu ndani kama
kichwa kinavojieleza hapo juu,salim kikeke ni moja ya watangazaji nguli wa mda mrefu wa masuala mbalimbali yanayohusu mambo mbali mbali kuhusu nchi yetu hata alipokuwa BBC.
Baada ya kutoka huko ughaibuni kikeke alikuja na kuendelea kazi yake ya utangazaji na...
Tangu jana Yanga watoe matangazo ya kuendelea na msimamo kila mtu anapaza sauti hadi wakina mama tena kwenye hizi public transport imagine.
Ila mijadala yenye afya kuhusu mustakabali wa taifa, yanayofanywa na CCM, watu kutekwa, kupotea wala hawajadili kwa sauti tena wanafanya kama hawahusu eti...
"Mjadala juu ya urithi wa Baba wa Taifa kwenye katiba na siasa za Afrika Mashariki kwenye chuo kikuu chake cha kwanza.
Wakati UDSM na vyuo vikuu vingine vya Tanzania vimekuwa magereza ambako mijadala ya kisiasa imefungiwa, Makerere, Chuo Kikuu cha , kimenialika kutoa mhadhara wa umma juu ya...
Mathalani, muungwana amewasilisha hoja au maoni yake jukwaani, labda ni ya kisiasa, kijamii au kiuchumi, kitaifa au kimataifa.
Anajitokeze muungwana mwingine ambae labda amechoka au amefikia ukomo wa mawazo mapya au fikra mbadala dhidi ya hoja ya msingi mezani anaibuka from no where, hajasoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.