Je, Salim Kikeke ataendelea kuendesha mijadala ya kisiasa na viongozi wa vyama vya upinzani?

the big fish

Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
64
Reaction score
96
Habari ya wote humu ndani kama

kichwa kinavojieleza hapo juu,salim kikeke ni moja ya watangazaji nguli wa mda mrefu wa masuala mbalimbali yanayohusu mambo mbali mbali kuhusu nchi yetu hata alipokuwa BBC.

Baada ya kutoka huko ughaibuni kikeke alikuja na kuendelea kazi yake ya utangazaji na media za hapa kwetu nyumbani Tanzania kwa kipindi chote hicho hajawahi kuonyesha mlengo wowote wa kichama hivyo kumwezesha kukutana na kufanya mijadala kadha wa kadha na viongozi wa vyama mbali mbali.

SIku za hivi karibuni tumeshuudia chama cha mapinduzi kimeanza mchakato wa ndani ya chama wa watia nia ngazi za ubunge na udiwani kuchukua fomu na kurejesha katikati mwa zoezi hilo pia salim kikeke ameonekana akichukua fomu ya kutia nia kugombea nafasi ya ubunge kupitia CCM katika moja ya jimbo la mkoa wa kilimanjaro.

Je salim kikeke ataendelea kuendesha hio mijadala ilhali tayari yeye ameshaonyesha tayari ni mwanachama wa CCM.

karibu tujadili kwa hekima

Natanguliza shukrani.
 
Kama Mwijaku na Dogo magari wamechukua simshangai kikeke.
 
Kwa Sasa Nchini Tanzania Salim Kikeke Ni Ngumu Kuendesha Mjadala Wowote Ambao Utakuwa Uhahusisha Vyama Vya Siasa Ususani Vyama Pinzani
Kwanza Tukianza Maadili Ya Uandishi Wa Habari Yameweka Wazi Kuwa Lazima Mwandishi usioneshe Upande Wowote Ule Either Kwenye Kukusanya Kuchakata Na Kuwasilisha Habari...yakupasa Kuwa Neutral..
Kwa Mantiki Hiyo Kikeke Amevunja Moja Ya Misingi Ya Uandishi Wa Habari Kwa Kuamuka kugombea Ubunge Kupitia CCM.

Mara Baada ya Hapa Atapoteza Credibility Kwani Baadhi Ya Wafuasi Wake Ni Chama Pinzani Kwa Kufanya Hivyo Atakuwa Amepoteza Mvuto Wa Kufanya Mjidala mizito Ndani ya Nchi
 
Kwasasa Wanakaa Pembeni Mpaka Baada Ya Mchujo
Endapo Watapata/Watakosa
 
Kwa Sasa Nchini Tanzania Salim Kikeke Ni Ngumu Kuendesha Mjadala Wowote Ambao Utakuwa Uhahusisha Vyama Vya Siasa Ususani Vyama Pinzani
Kwanza Tukianza Maadili Ya Uandishi Wa Habari Yameweka Wazi Kuwa Lazima Mwandishi usioneshe Upande Wowote Ule Either Kwenye Kukusanya Kuchakata Na Kuwasilisha Habari...yakupasa Kuwa Neutral..
Kwa Mantiki Hiyo Kikeke Amevunja Moja Ya Misingi Ya Uandishi Wa Habari Kwa Kuamuka kugombea Ubunge Kupitia CCM...

Duuh noma
 
Kwa
Kama Mwijaku na Dogo magari wamechukua simshangai kikeke.
Dotto magari na mwijaku tayari walikuwa wameonyesha mlengo wao tokea mwanzo kwa kikeke ile taalum yake ya uandishi wa habari ambayo nadhani ndio imemtambulisha hadi sisi tukamfahamu hatua aliyoichukua hawezi kuweka kwenye mabano kwenye kaz yake ya uandishi
 
Habari ya wote humu ndani kama

kichwa kinavojieleza hapo juu,salim kikeke ni moja ya watangazaji nguli wa mda mrefu wa masuala mbalimbali yanayohusu mambo mbali mbali kuhusu nchi yetu hata alipokuwa BBC.
Baada ya kutoka huko ughaibuni kikeke alikuja na kuendelea kazi yake ya utangazaji na media za hapa kwetu nyumbani Tanzania kwa kipindi chote hicho hajawahi kuonyesha mlengo wowote wa kichama hivyo kumwezesha kukutana na kufanya mijadala kadha wa kadha na viongozi wa vyama mbali mbali.

SIku za hivi karibuni tumeshuudia chama cha mapinduzi kimeanza mchakato wa ndani ya chama wa watia nia ngazi za ubunge na udiwani kuchukua fomu na kurejesha katikati mwa zoezi hilo pia salim kikeke ameonekana akichukua fomu ya kutia nia kugombea nafasi ya ubunge kupitia CCM katika moja ya jimbo la mkoa wa kilimanjaro.

Je salim kikeke ataendelea kuendesha hio mijadala ilhali tayari yeye ameshaonyesha tayari ni mwanachama wa CCM.

karibu tujadili kwa hekima

Natanguliza shukrani.
Tuheshimu mawazo ya watu
 
Kwasasa Wanakaa Pembeni Mpaka Baada Ya Mchujo
Endapo Watapata/Watakosa
Baada ya hapo ataendeleza tena mijadala yake na viongozi wa vyama vya upinzani ilhali tayari wameshamjua kuwa yeye ni mfuasi wa CCM
 
Kwa

Dotto magari na mwijaku tayari walikuwa wameonyesha mlengo wao tokea mwanzo kwa kikeke ile taalum yake ya uandishi wa habari ambayo nadhani ndio imemtambulisha hadi sisi tukamfahamu hatua aliyoichukua hawezi kuweka kwenye mabano kwenye kaz yake ya uandishi
Mwandishi Tanzania ni Chief Odemba pekee mengine yote ni matapeli tupu
 
Baada ya hapo ataendeleza tena mijadala yake na viongozi wa vyama vya upinzani ilhali tayari wameshamjua kuwa yeye ni mfuasi wa CCM
Akipata Hataendelea Tena Lakini Akikosa Anaweza Kuendelea Tu
 
Yule mjinga wa clouds tv anajiita binti Kundi mnamuweka fungu gani?
 
Kwa Sasa Nchini Tanzania Salim Kikeke Ni Ngumu Kuendesha Mjadala Wowote Ambao Utakuwa Uhahusisha Vyama Vya Siasa Ususani Vyama Pinzani
Kwanza Tukianza Maadili Ya Uandishi Wa Habari Yameweka Wazi Kuwa Lazima Mwandishi usioneshe Upande Wowote Ule Either Kwenye Kukusanya Kuchakata Na Kuwasilisha Habari...yakupasa Kuwa Neutral..
Kwa Mantiki Hiyo Kikeke Amevunja Moja Ya Misingi Ya Uandishi Wa Habari Kwa Kuamuka kugombea Ubunge Kupitia CCM...
Mara Baada ya Hapa Atapoteza Credibility Kwani Baadhi Ya Wafuasi Wake Ni Chama Pinzani Kwa Kufanya Hivyo Atakuwa Amepoteza Mvuto Wa Kufanya Mjidala mizito Ndani ya Nchi
Ni sawa kama alivyo kaka yetu Pascal Mayalla
 
Ni sahihi kabisa nilihitaji tu kujua mawazo ya watu wengine wanacompare vipi hali kama hii ukizingatia salim anawafuasi wengi ambao pengine hawana mlengo wowote
Unaamini kuna watu ambao hawana mlengo wowote ?
 
K
Habari ya wote humu ndani kama

kichwa kinavojieleza hapo juu,salim kikeke ni moja ya watangazaji nguli wa mda mrefu wa masuala mbalimbali yanayohusu mambo mbali mbali kuhusu nchi yetu hata alipokuwa BBC.
Baada ya kutoka huko ughaibuni kikeke alikuja na kuendelea kazi yake ya utangazaji na media za hapa kwetu nyumbani Tanzania kwa kipindi chote hicho hajawahi kuonyesha mlengo wowote wa kichama hivyo kumwezesha kukutana na kufanya mijadala kadha wa kadha na viongozi wa vyama mbali mbali.

SIku za hivi karibuni tumeshuudia chama cha mapinduzi kimeanza mchakato wa ndani ya chama wa watia nia ngazi za ubunge na udiwani kuchukua fomu na kurejesha katikati mwa zoezi hilo pia salim kikeke ameonekana akichukua fomu ya kutia nia kugombea nafasi ya ubunge kupitia CCM katika moja ya jimbo la mkoa wa kilimanjaro.

Je salim kikeke ataendelea kuendesha hio mijadala ilhali tayari yeye ameshaonyesha tayari ni mwanachama wa CCM.

karibu tujadili kwa hekima

Natanguliza shukrani.
Kwisha habari yake atamchambua nani wakati tiari kashaunga mkono msafara wa chama tawala.
 
Ukiongelea habari lazima uongelee kwa jicho la Dunia ya leo ya kina Twitter; Tik Tok, Insta na Ma Social media...; Kwa muktadha huo naweza nikakwambia mtu kama Trump ni more of a Media Mogul zaidi ya hata kuwa Presidential..

Dunia ya leo ya kujipakulia Information ni wewe na followers wako kwahio kama kuna watu wanakufuatilia does not matter unachoongea au unasimamia nini kuna vyombo vya Habari ambavyo vinajulikana kabisa mlengo wao tena hao ndio wazuri wewe kama unajiamini unakwenda kwa hao ili ujibu maswali critical...

"Truth fears no questions
 
Back
Top Bottom