mijadala ya kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, Salim Kikeke ataendelea kuendesha mijadala ya kisiasa na viongozi wa vyama vya upinzani?

    Habari ya wote humu ndani kama kichwa kinavojieleza hapo juu,salim kikeke ni moja ya watangazaji nguli wa mda mrefu wa masuala mbalimbali yanayohusu mambo mbali mbali kuhusu nchi yetu hata alipokuwa BBC. Baada ya kutoka huko ughaibuni kikeke alikuja na kuendelea kazi yake ya utangazaji na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nchi yangu, mambo yenye tija wananchi wengi wapo kimya ila kwenye Simba na Yanga kila mtu anaongea tena kwa uchungu

    Tangu jana Yanga watoe matangazo ya kuendelea na msimamo kila mtu anapaza sauti hadi wakina mama tena kwenye hizi public transport imagine. Ila mijadala yenye afya kuhusu mustakabali wa taifa, yanayofanywa na CCM, watu kutekwa, kupotea wala hawajadili kwa sauti tena wanafanya kama hawahusu eti...
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: UDSM na vyuo vikuu vingine vya Tanzania vimekuwa magereza ambako mijadala ya kisiasa imefungiwa

    "Mjadala juu ya urithi wa Baba wa Taifa kwenye katiba na siasa za Afrika Mashariki kwenye chuo kikuu chake cha kwanza. Wakati UDSM na vyuo vikuu vingine vya Tanzania vimekuwa magereza ambako mijadala ya kisiasa imefungiwa, Makerere, Chuo Kikuu cha , kimenialika kutoa mhadhara wa umma juu ya...
  4. JamiiForums Tanzania Ghadhabu, mihemko, hasira na kuporomosha matusi bila sababu yoyote kwenye mijadala ya kisiasa chimbuko lake ni wapi?

    Mathalani, muungwana amewasilisha hoja au maoni yake jukwaani, labda ni ya kisiasa, kijamii au kiuchumi, kitaifa au kimataifa. Anajitokeze muungwana mwingine ambae labda amechoka au amefikia ukomo wa mawazo mapya au fikra mbadala dhidi ya hoja ya msingi mezani anaibuka from no where, hajasoma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…