mikoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali iunganishe Dar na Pwani uwe mkoa mmoja uitwe Dar ili watu wazidi kusogea nje ya mji

    Heri ya mwaka mpya wakuu Hivi kwanini serikali isiunganishe mikoa ya Dar na Pwani kisha huo mkoa uitwe Dar na tubaki na mikoa 30 tu, hakuna haja ya kuwa na mikoa mingi huku maendeleo yakiwa ni madogo na idadi ya watu ikilundikana kwenye vimiji vichache tu, kusema kwamba tutamaliza mapori na...
  2. L

    Paul Makonda kuitetemesha na kuitikisa mikoa kumi mfululizo bila kupumzika

    Paul Makonda, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu zangu Watanzania, Fahamu ya kuwa Ndugu Paul Makonda Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Taifa, yule mwamba wa siasa za majukwaani na ambaye anachukuliwa kama sauti ya wanyonge na ambaye...
  3. R

    Madereva bajaji wapanga kupandisha nauli katika mikoa mbalimbali nchini. Viongozi wa vijiwe vya bajaji wahusika

    Kama mtakuwa mnafuatilia ndugu zetu wamiliki wa bajaji na madereva wameanza kujipanga kupandisha nauli mara dufu katika maeneo mbalimbali wanayofanya vizuri ikiwemo Mwanza. Aidha, inadaiwa tozo ya trafiki kwa siku imepanda kutoka elfu moja hadi elfu mbili kwa bajaji moja hivyo kuchochea gharama...
  4. TMA: Mikoa 15 kukumbwa na Mvua kubwa zinazoweza kusababisha Mafuriko

    Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetoa tahadhari ya uwapo wa mvua kubwa inayotarajiwa kunyesha katika mikoa 15 inayoweza kuleta athari ya mafuriko. Mikoa iliyotajwa ni Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Tabora, Kigoma, Katavi, Dodoma, Singida, Rukwa, Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa na Kusini mwa...
  5. Mawaziri na Wakuu wa Mikoa mmeshajiandaa kwa 'Keka la Kimkakati' la kuelekea 2025 na Kunivusha salama Oktoba 2025?

    Haya ukisoma tu hii Thread yangu GENTAMYCINE kama Wewe ni mpenda Ushirikiano basi Karoge sana na kama ni muamini Mungu kama Mimi basi nakuombea ufanye mno Dua kwani muda wowote nimeoteshwa na Mizimu yangu Mikali ya Kizanaki ( Mara ) na Kiyao ( Mtwara ) kuwa kuna reshuffle kwa Mawaziri na Wakuu...
  6. K

    Treni ya shirika la reli (TRC) inayoenda mikoa ya kaskazini yalaza watu porini

    Treni ya shirika la reli (TRC) inayofanya safari mikoa ya kaskazini yakwama maporini huku abiria wakikosa chakula na mahitaji mengine ya kibinadamu. Treni hiyo iliyotoka Dar jana mchana kwenda Arusha ilitarajiwa kuwasili Moshi asubuhi saa 12 leo. Ila mpaka sasa imekwama katikati ya Korogwe na...
  7. Serikali Mikoa ya Kusini ni Kama mmeisusa

    Habari wana jamvi. Nina wiki apa Nachingwea mkoa wa Lindi lakini ni kama tunaishi Gizani umeme unakatika kila siku tena kwa masaa 10 na zaidi. Ila Wenyeji wanasema ni kawaida na wameshazoea. Mfano jana umeme umekatika saa 9 mchana umerudi leo saa 5 Asubuhi. Kwetu Kaskazini huu ujinga sijawahi...
  8. M

    Mikoa mingi Tanzania ni jangwa

    Nimefanya research mikoa mingi Tz ni jangwa kama ukisafiri kwa kwa basi utakua Shahidi Mikoa ambayo ni jangwa KONK ni Moshi/Kilimanjaro, Tanga, Pwani, Dodoma, Singida, Iringa, Tabora, Kahama, Mwanza, na Shinyanga. Mbeya, na Mara nadhani ndo mikoa isio na sehemu ya jangwa.
  9. T

    Nafasi za wenezi wa CCM Mikoa zinauzwa?

    Wakati wa uchaguzi wa ndani ya CCM mwaka 2022 Chama kilionelea kuwa wenezi wa mikoa wateuliwa badala ya kuchaguliwa. Na ilipofika tarehe 17 march mwaka huu walioomba nafasi hizo waliitwa kwenye usaili jijini Dodoma. Sasa angalia maajabu yanayojitokeza. 1. Walioteuliwa mpaka sasa ni around 8...
  10. Wizara ya Afya Mnasubiri kutangaa Mlipuko wa Mafua hasa mikoa ya Pwani

    Kuna mafua makali yameongezeka hasa ukanda huu wa Pwani. Nina uhakika wizara ya afya ina takwimu za kutosha. Tuambieni what is going on. Enzi zile tungesema Corona. Wizara ya Afya Tanzania
  11. Umefika Muda Serikali itutumie vijana kutoka Tarime ili kukomesha Masuala ya Uhalifu kwenye baadhi ya Mikoa

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa mno la uhalifu unaofanywa na Vijana wadogo waziwazi!. Kibaya zaidi uhalifu huo unafanyika mchana kweupe mbele ya wanaume legelege na wanawake wapaka wanja bila kuchukuliwa hatua zozote!. Askari ambao tulitegemea...
  12. SI KWELI Tanzania inataraji kupata mvua kubwa za Elnino isivyo kawaida. Wavuvi waanza kukatazwa kwenda kuvua

    Salaam Wakuu, Kupitia WhatsApp yangu nimetumiwa ujumbe wa tahadhari kuhusu kuwepo kwa Mvua katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania. Ujumbe huo unaeleza: Shinyanga, Dar, Pwani, Mafia,Tanga, Mwanza, Geita, Mara, Simiyu, Kigoma na Kagera tujiandae, kutakuwepo na Pacific El nino na Atlantic El...
  13. Njombe ilinyofolewa kutoka Iringa leo ina watu wachache kuliko mikoa yote Tanzania Bara

    Naendelea kuchunguza hizi takwimu za sensa za mwaka 2022 na kuendelea kujiuliza sababu ya kugawanya mikoa na wilaya. Kwa watoto lazima mjua baadhi ya mikoa ilikuwa wilaya tu awali, mikoa hiyo ni pamoja na Songwe, Katavi, Geita na Njombe. Leo nimeangalia mkoa wenye watu wachache nchini Tanzania...
  14. Kwa maoni yangu, Arusha inaongoza kuwa na warembo Kanda ya Kaskazini

    Hasahasa maeneo ya Arusha Mjini, usipokua makini unaweza gongwa na bajaji kwa kushangaa wanawake. Wanawake wengi huku Arusha wana makalio makubwa yenye shepu nzuri balaaa, miguu ya bia ilionona daah, huwa saa nyingine nakutana na pisi, naishia tu kuguna kwa tamaa!
  15. Familia ya Hayati Magufuli kusimamisha kijana wao Ubunge wa Chato 2025, Samia kuzunguka naye kimkakati mikoa maalum

    Kuna habari za chini ya kapeti kwamba familia ya JPM inajipanga kusimamisha kijana wao agombee ubunge wa Chato. Karata hii inaungwa mkono na watu wa mfumo, hasa kwa kuangalia malengo ya uchaguzi mkuu 2025 na kuzikamata kura za Kanda ya ziwa. Habari zinaeleza kwamba, kimkakati, Mama Samia...
  16. Serikali Kutenga Fedha Ujenzi wa Vyuo vya Maendeleo ya Jamii Kwenye Mikoa

    "Je, ni lini Serikali itakipandisha hadhi Chuo cha Maendeleo ya Jamii Musoma ili kiweze kutoa Shahada" - Mhe. Juliana Didas Masaburi, Mbunge wa Viti Maalum (Vijana Taifa) "Ili Chuo kiweze kufikia elimu kwa ngazi ya Shahada kinatakiwa kiwe na ithibati kamili n vigezo stahiki ikiwemo miundombinu...
  17. D

    Migogoro ya wakurugenzi na wakuu wilaya (DC) na mikoa (RC) haitaisha kwasababu zifuatazo

    naomba kutumia mfano wa makinda ya ndege au watoto wa nguruwe! ukipita kwenye banda ukakuta pako kimya ujue vinanyonya! kila kimoja kinanyonyo lake mdomoni kinakamua! Hivi ndivyo ilivyo kwenye vyeo vinavyogongana maslahi kama hivi. TWENDE PAMOJA KWA SABABU ZIFUATAZO! Vyeo hivi vya Mkurugenzi...
  18. CCM imesahau kuwateua Makatibu wenezi CCM mikoa nchi nzima, Makonda utafanya kazi na akina nani?

    Uchaguzi mkuu wa CCM ulifanyika Oktoba 2022, ambapo makatibu wenezi wa CCM mkoa hawakuchaguliwa kipindi hicho na mwenyekiti amesahau kuwa alisema wenezi wa CCM mkoa watateuliwa. Hadi leo hawajawahi kuteuliwa, sasa Makonda utafanya kazi na nani? Kazi ya kwanza teua wenezo wa CCM mkoa ili uanze...
  19. Makonda huna mamlaka juu ya Mawaziri na Wakuu wa Mikoa

    Umesikika katika hotuba yako ya leo kuwa utawarukia mawaziri na wakuu wa mikoa. Nakutahadharisha wewe ni kama Ahmed Ally wa Simba au Ali Kamwe wa Yanga, huna nguvu ya kujipangia unachotaka. Una ripoti kwa Katibu Mkuu, ndiyo anakupa kitu cha kuongea.
  20. S

    Tahadhari ya Tsunami kwa mikoa ya Pwani ni ubabaishaji mtupu

    Mamlaka kutoa taarifa za kutisha na kudai kuna uhakika wa kutokea kwa maafa, hivyo kuwataka wananchi kuondoka kwenye makazi yao ni jambo serious sana na halipaswi kutolewa pasipo kujiridhisha. Ofisi ya waziri mkuu imetoa tahadhari kwa wakazi wa mikoa yote ya pembezoni mwa bahari ya Hindi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…