mikoani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Ushauri kwa Rais atakaeshinda: Uza Dreamliner zote, nunua ndege ndogo hata 30 na achana na route za nje

    Ni wazi suala la kununua Dreamliner limetupiga sana, kwa kuwa tulitegemea zingepiga route za nje na kuingiza faida lakini mambo hayajawa hivyo. Na Corona imeharibu hata zaidi. Ushauri wangu kwa raisi ajae, Tundu Lissu au Magufuli - uza hizo Dreamliner tuweke kipaombele kwenye flights za ndani...
  2. Analogia Malenga

    Rais Magufuli na Rais Chakwera waweka jiwe la msingi Kituo Kikuu cha mabasi Mbezi, Rais Magufuli ataka Wakandarasi walipe fidia ya kuchelewesha mradi

    Rais Magufuli leo akiwa na mgeni wake, Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera wanaweka jiwe la msingi kituo kikuu cha mabasi ya mikoani inayoendelea kujengwa eneo la Mbezi Louis, Dar es Salaam. === MAGUFULI: Mkataba ulikuwa umalizike mwezi wa saba, leo ni mwezi wa kumi na waziri alikuwa...
  3. Profesa ntare nkobe

    Sababu kubwa zinazo pelekea sisi wa mikoani kufanikiwa Dar es Salaam

    Habari zenu ndugu zangu wa JF kwa utafiti wangu niliofanya kwa nini sisi wa mikoani tunafanikiwa sana hapa Dar ni kama zifuatazo.. Wenyeji wavivu hawapendi kazi ngumu sisi wa mikoani kazi ngumu kwetu ni kama kumsukuma mlevi. Malezi imara sisi wa mikoani tuna malezi imara na kuheshimu jamii...
  4. M

    Uchaguzi 2020 Lissu aonya juu ya mkakati wa nia ovu ya kumuengua baada ya watawala kupagawa kwa kimbunga chake mikoani, asema hilo halitofanikiwa

    Akizungumza mbele ya umati wa wananchi huko Babati, Lissu amesema wamepata taarifa za vikao vya wakubwa na vibaraka wao wanaohofia kimbunga chake huko mikoani. Lissu anasema mkakati huo wa kumuengua ulijenhwa juu ya hoja mbili. 1. Ya kwanza ni wao kutaka kupitia kichaka cha maadili, kwamba kwa...
  5. budebajr

    Msimu Huu Baada ya Majanga ya Corona, Covid -19 unatumia kiasi gani kwa Siku?

    Gharama zako za matumizi kwa siku zimekaaje katika kipindi hiki? Mfano chakula, usafiri, matumizi ya simu, vinywaji na kadhalika. Tuchangie mada hii wana jf..
  6. J

    Hatimaye ujenzi wa stendi ya mabasi (Mbezi Luis) yaendayo mikoani yaanza kujengwa

    Halmashauri ya jiji la Dsm na ile ya Manispaa ya ubungo zimeanza kusimamia kisiasa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani. Kituo hiki ni mbadala wa kile cha ubungo. Source Clouds 360 Maendeleo hayana vyama!
Back
Top Bottom