Nayazungumzia mabasi ya mikoani yanayoanzia Dar es Salaam kupitia barabara ya Morogoro au ile ya Bagamoyo. Yamekuwa na kawaida ya kuingia na kutoka kwenye kila stendi ya mabasi waikutayo ikiwa hata kama hakuna abiria anayeshuka au kupanda. Kiukweli, kuingia na kutoka kwenye stendi hizi (kwa...
Habari Ndugu zangu,
Napatikana Dar es Salaam nahitaji kuanza biashara ya kununua mchele kutoa mikoani kuleta kuuza jumla DSM, hivyo naombeni msaada kwa mwenye uzoefu wowote na biashara hii ili nami kijana mwenzenu nipate kujiajiri katika biashara hii.
Nina mtaji wa chini ya million 5...
Hii ndege ya rais iliyonunuliwa kwa bei ya $40,000,000 kwa nini haikutumika kumpeleka rais Belgium/France na nchi nyingine za magharibi na badala yake inazurura tu mikoani pasipo kuwa na ratiba maalamu.
Sisi walipa kodi tuna haki ya kujua ndege iliyonunuliwa kwa hela zetu kwa nini inazurura...
Ahlan wa sahlan
Naiomba serikali ifunge hizi ofisi uchwara zilizopo hapa maeneo ya shekilango na Urafiki. Mabasi ya mikoani yamekuwa hayaendi tena kupaki stendi ya Magufuli pale Mbezi badala yake yamekuwa yakijazana maeneo ya Shekilango na Urafiki nyakati za Alfajiri na Mchana. Najiuliza ile...
Kama nchi Hadi kufikia mwaka huu 2022 Waziri anaweza kumzui Naibu Waziri kufanya kazi au Katibu Mkuu kuficha Fedha Waziri asilipwe na ikawa agenda basi tuna safari ndefu. Waziri unapitisha Fedha Bungeni bila kuwa na mamlaka na Fedha?
Naibu Waziri unapijibu majibu Bungeni kumbe hata haki na...
Kama ni mkazi wa jiji la Dar es Salaam.. Then gari yenye Natural Aspirated engine kwako ni sawa..
Ila kama unaishi nje ya Dar ni bora utafute gari yenye Turbo.. Ukiwa na Natural Aspirated hautoweza kupata power yote kama mtu wa Dar..!
Dar ipo +0.00m kutoka usawa wa bahari..
Mikoa mingi ipo...
Kwa hili GENTAMYCINE nasema mmechelewa sana hata hivyo nawapongezeni kwa Kuliona na kuamua kulivalia Njuga hivi sasa kwani kuna Watu wamepoteza Maisha na wengine kupata Ulemavu wa Kudumu kutokana na Upuuzi wa baadhi ya hawa Madereva wa Mabasi ya Mikoani.
Yako Mabasi mengi yenye huu Upuuzi ila...
Hapa Ni Tanzania Elimu Supply(TES) Enzi Hizo 1947
Mabasi ya Ekarusi Kumbakumba kwa nyuma Azania Front
Tanganyika Parkers Enzi Hizo 60s
Salender Bridge 1960s
Dar-Es-Salaaam 1975 Hiyooooo!!!
Seaview-Mawingu House 1960
Arusha-Clock Tower 1966
Dodoma City Center 1974
Bukoba City...
Yaani inawezekana vipi dakika hizi hizi 20 mnazotupa tukiwa tumesimama Mombo au Msamvu au Singida Sisi Abiria wenu tuweze kuzigawa Kiustadi kwa Kula, Kukojoa na Kunya wakati tukifika tu haya maeneo tunakuwa Abiria wengi na waliotutangulia pia Kihuduma?
Kwani mkisema tu kuwa muda wa Kula na...
Yaani tuna desturi ya kuchapa kazi mwaka wote kisha tunajiachia msimu wa Krisimasi kwa raha zote, kula bata kwa kwenda mbele, ndio utamu wa kuwa kwenye nchi yenye uchumi bora na ya wachapa kazi.
=====================
The standard gauge railway (SGR) passenger service from Nairobi to Mombasa is...
Niaje wakulugwa.....!!
Baada ya changamoto za maisha nikaamua kukimbilia mkoani kujipanga upya sasa maajabu niliyokutana NAyo yaan watoto woooote wazuri washazalishwa teNA mapema saana.
Mfano juzi kati nikakutana na mtoto mzuri kweli kweli yupo kwao mi natoka ibadani akanipa ishara kwamba...
Nimewasikia wafanyabiashara wa kariakoo wakipendekeza serikali iwarejeshe machinga vijijini wakalime. Nimewasikia wanasiasa wakiunga mkono hoja hii wakidai endapo vijana watajiajiri kwenye kilimo maisha yatakuwa mazuri kwao na familia zao.
Niliposikia kauli hizi nikajiuliza machinga ni wakina...
Biashara ni kutatua changamoto za watu.
Watu waliopo nje ya Dar es Salaam hupata shida kufuata bidhaa Kariakoo Dsm. Imagine mtu anafunga safari toka Songea au Kigoma, Mwanza, etc. mpaka Dar es Salaam kufuata bidhaa ambazo zinaweza kusafirishwa mpaka mtu (mfanyabiashara) alipo bila kutumia...
Naomba nimshukuru Mungu kwa uteuzi mzurii na pia iukupongeza kwa uteuzi bora kabisa
Tunaamini kuwa na wewe mipaka yetu itakuwa salama zaidi
Binafsi nahuzunika sana kuonaa kila siku ati Mbeya Morogoro nk wamekamata Waethiopia wasio na vibali
Mama yetu haya mamboo yalisahaulika kabisa huko...
ila watu wa mijini na kwenye majiji kuna haja ya kujitafakari.
Mwana DSM ukienda mikoani huko au vijijini ukifika ni kawaida sana kukuta ndugu zako walikuwa wanakusubiri stendi zaidi ya saa ufike, umefika utachinjiwa kuku siku ya kwanza, utaishi hata mwezi na hakuna mtu atakupa maswali ya...
Ni wakati sasa kwa Rais kufanya ziara mikoani kujionea wananchi wanataka nini kipindi hiki maana asilimia 60 ya Watanzania wanapitia kipindi kigumu kutokana kila mtu sasa hivi amejiachia kwenye nafasi aliyowepa watanzania sio wakupewa uhuru sana tena kwenye uongozi lazima uwe na roho ya...
Kama wewe ni mgeni basi ni vema ukalihifadhi onyo hili lililotolewa na uongozi wa kituo hicho
----
Uongozi wa kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha Msamvu mkoani Morogoro umeanza kutoza faini ya Sh50,000 kwa mtu atakayeingia au kutoka kituoni hapo bila kuvaa barakoa na kunawa mikono.
Meneja...
Mungu jalia katika kipindi cha uhai wangu nimepanga kutumia fursa ya kutembelea mikoa yote ya nchi ya Tanzania ili kuweza kuifahamu Tanzania vizurizaidi pamoja na watu wake wakazi wa mikoa hiyo.
Dhamira yangu ni kwamba kila mwaka wakati wa likizo ya mwaka kazini, basi nitumie siku chache za...
Nimefanikiwa kuwadodosa baaadhi ya wazee wenye nyadhfa serikalini kuhusu mkanganyiko wa mambo unaoendelea nimeshtushwa kwamba hata wao wanayojadili na kuyaamini si haya yanayotekea kwenye utendaji.
Nafasi ya wanasiasa Ni kubwa Sasa kwa Sasa hasa baada ya kutoa wataalam na wabobezi wengi kwenye...
Wandugu kwanini hao samaki wa baharini hawafiki huku mikoani. Huku sijawahi ona bucha linauza samaki wa baharini. Labda vibua kidogo. Ingekuwa poa sana na sisi tupate dagaa mchele tupige na ugali.
Mabucha yote ni sangara na sato. Kwani pweza na hao samaki wengine wa baharini hawakai kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.