mikoani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bushmaster

    SoC02 Serikali ianzishe Shirika la Umma la Usafirishaji wa abiria kwa njia ya barabara mikoani

    Usafirishaji ni kitendo cha kutoa bidhaa au kupeleka watu kutoka sehemu moja hadi nyingine, kitendo hicho kinaweza kufanywa kwa kutumia njia mbalimbali za usafiri( mode of transport) kama kwa njia ya maji,barabara,reli, na anga Usafirishaji ndio tendo pekee ambalo humaliza machakato mzima wa...
  2. I

    Sensa itachukua siku ngapi? Watu wataenda makazini? Kusafiri mikoani je?

    Wadau naomba kujibiwa maswali yangu haya, ili nijue napangaje ratiba zangu.
  3. M

    KWELI Nauli kwenda mikoani zapanda kuanzia Mei, 2022

    Wasafiri wa maeneo mbalimbali wameripoti nauli za mabasi kwenda mikoani kupanda.
  4. figganigga

    Polisi tusaidieni abiria, Mabasi mengi ya Mikoani hayana Mikanda

    Salaam Wakuu, Mimi huwa nasafiri Mara kwa mara. Hivyo nashuhudia vifo vingi ambavyo vinatokana na watu kutokufunga Mikanda ya kwenye kiti cha Basi(Seat belt). Imenichukua miezi minne nikifuatilia mambo ya Barabarani, ikiwemo, Rushwa, alama za barabara potofu, Matuta, Miundombinu na Watengeneza...
  5. Expensive life

    Wanaume wa mikoani kuweni na mioyo ya kiume

    Nyie si ndio huwa mnajisifu ni majebedali sasa kiko wapi? Mbona mna mioyo ndembedembe sana? Ulevi wa kupindukia ni nyie. Unyanyasaji dhidi ya wake zenu ni nyie, kukatakata mapanga wenzenu eti kisa umesikia fulani anatembea na mkeo ni nyie, uvivu ni nyie, kutekekeza familia ni nyie, kutwa...
  6. B

    Tuache tabia ya kusimamisha abiria mabasi ya mikoani

    JF . Imeniwia vigumu kukaa kimya lakini Nina hakika nitakuwa nimetoa mchango wangu kwa kulisaidia Taifa Trafik wapo mabarabarani lakini mabasi yanapita tu na abiria wamesimama abiria anasimama mpaka masaa manne ni ajabu wenye mabasi wakifika karibu na police block wanaambiwa wakae chini kwenye...
  7. jokotinda_Jr

    Baadhi ya vijana wa boda boda mikoani ni maagent wa waganga wakienyeji hasa mikoa ya nyanda za juu

    Habari za mda huu wana jamvi .. juzi kati nlikuwa mikoa ya kusini mwa tanzania kikazi baada ya kufika nlipita kwenye baadhi ya wilaya na vijiji vichache nlipatwa na mshangao kidgo kila kituo cha boda ukifika utasikia .... karibu utaenda kwa Bibi!! Au utaenda kwa Babu ... Baada ya kuchunguza...
  8. Lycaon pictus

    Serikali imeondoa kodi kwenye magari yenye friji. Tuleteeni basi dagaa mchele na pweza fresh huku mikoani

    Nimesikia Serikali kwenye bajeti kuwa kodi imeondolewa/punguzwa kwenye kununua malori yenye friji ndani. Hii ni habari nzuri kwa upatikanaji wa fresh foods. Mtufanyie wepesi basi tupate dagaa mchele na pweza na sisi huku mikoani. Nasi tutafanya mpango mpate ulanzi, sungura, matunda na mnafu fresh.
  9. MSAGA SUMU

    Wazee wa mikoani walipigania Uhuru?

    Ni wakati muafaka wa historia ya nchi yetu ikafanyiwa marejeo. Ukiwa na haraka unaweza kudhani watu wa mikoani hawakutoa mchango kwenye Uhuru, Nyerere, Rupia na baadhi ya wadau wa mikoani wakiwa katika picha ya pamoja na mwalimu, inasemwa na baadhi ya wajukuu wa watu waliopo kwenye picha hiyo...
  10. S

    Kama upo Dar na mkeo yupo mikoani imekula kwako. Weekend hii naenda kumchakata

    Poleni wanaume wote ambao wake zenu wako mbali nanyi. Hakika mnaibiwa sana. Weekend hii ni zamu ya wanaume wa Dar ambao wake zao wako mikoani. Mmoja wa wanaume hao atachapiwa weekend hii, maana nimepata mwaliko toka kwa mkewe niende kumchakata..
  11. I

    Kwanini mabasi yote ya mikoani yana tabia hii?

    Kwanini kila basi la mkoani lina tabia ya kupiga nyimbo za injili ama gospel nusu nzima ya safari? Kwani tumeshachukuliwa kuwa wasafiri wote ni wakristo?
  12. H

    Mwenye taarifa hii tafadhali atuwekee humu.: jeshi la polisi lakamata madereva 150 wa mabasi ya mikoani.

    Habari wanajamvi. WIKI HII inayoishia leo 21 May 2022 Nilikuwa nimekaa mahali usiku nikasikia kwenye radio kwa mbali ilikuwa ni taaarifa ya habari nikawa interested kuisikia lakini bahati mbaya ikawa imepita. Nimejaribu kuitafuta kwa bidii kwenye mtandao nimeikosa.Inaelekea haina intrest...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Wanaume wa Dar huogopwa zaidi na wanaume wa Mikoani

    WANAUME WA DAR HUOGOPWA ZAIDI NA WANAUME WA MIKOANI! Anaandika Robert Heriel Ili uwe mwanaume wa Dar itakupasa uwe umeishi Dar kwa zaidi ya miaka 10 mfululizo, wanaume wa Dar wanaogopwa Sana na wanaume wa mikoani tangu nchi hii ipate Uhuru. Zipo sababu nyingi za Jambo hili kuwa kama lilivyo...
  14. Artzio

    Naomba kujuzwa bei za kusafirisha mazao

    Bei za kusafirisha mazao kutoka sokoni (mikoani) mpaka sokoni Dar/ Masasi mwezi May 2022 zikoje hapo ulipo
  15. JanguKamaJangu

    Nauli mabasi ya mikoani zimepandishwa habla ya muda waliotangaza LATRA

    Licha ya Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) kutangaza kuwa mabadiliko ya bei za nauli za daladala na mabasi zitabadilika kuanzia Mei 14, 2022, asilimia kubwa ya makampuni ya mabasi yalishaanza kutumia bei hizo mpya. Safari ya Dar es Salaam kwenda Dodoma inatozwa Tsh 26,000 badala...
  16. U

    Kwanini usijengwe ukuta katikati ya barabara za mikoani kupunguza ajali?

    Shida kubwa na chanzo Kikuu cha ajali ndani ya nchi yetu ni Kama zifuatazo; 1. Uchovu wa Madereva wakiwa barabarani. 2. Magari mengi Ni mabovu hasa malori hivyo ni Kama majeneza yanayotembea 3. Ulevi kwa madereva, Tanzania tunajifanya Sheria haziruhusu kuendesha ukiwa tayari umeshakunywa...
  17. Mr Sir1

    Nauli kwenda mikoani hatimae zapanda. Mama anaupiga mwingi

  18. REJESHO HURU

    Idara ya uhamiaji kaeni mjitafakari utendaji kazi wenu, wilayani na mikoani

    Niende moja kwa moja kwenye mada naomba mod usiunganishe huu uzi maana hawa uhamiaji Uzi zao zimekuwa nyingi sana, na ni jeshi ambalo kama limejisahau hivi wao wanachoweza ni kutembelea nyumba za wageni, vituo vya usafiri kukuta wageni na kubageini biashara imeisha hawatimizi wajibu wao...
  19. Idugunde

    Supu na michemsho kwenye mabaa ya Dar es salaam hazina kiwango ukilinganisha na tunazokula mikoani.

    Huwa nashangaa sana nikiwa kwenye ziara zangu huko jijini Dar es salaam. Utakuta supu ya ng'ombe au kuku inauzwa buku nne mpaka sika. Tena kwenye baa za kiwango kikubwa lakini ukionja unakuta hazina kiwango kabisa. Husikii harufu ya ya supu ya kuku au ng'ombe. Supu yenyewe majimaji tu yaani...
  20. Aliko Musa

    Ushauri; Uwiano Wa 30:10:3:1 Ni Kanuni Inayotumika Kununua Nyumba Za Kupangisha Zenye Faida Mikoani

    Kununua nyumba ya uwekezaji linaweza kuwa jambo rahisi sana wakati ambapo una mtaji fedha wa kutosha kununua nyumba unayotaka. Lakini kuuza nyumba ambayo huitaki inachukua miezi mingi mpaka miaka kadhaa. Kwa kutumia kanuni hii ya uwiano ninakuonyesha jinsi unavyoweza kununua nyumba ya uwekezaji...
Back
Top Bottom