Kamati ya Pamoja (Joint Committee) ya Bunge ya Mindombinu na ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) inawaalika wadau kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge kuhusu Mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu Ushirikiano wa Kluchumi...
Kuuliza sio ujinga.
Nimeona kila kona wanafuatana bila kuona ufanisi bali wanapokelewa kwa maelfu ya magari na kuangalia vituo vya afya bila kusikiliza kero kutoka kwa wananchi.
Wana Jamiiforums sasa ni muda wa kuangalia fulsa vijijini kwenye mazao....ni mkoa gani kuelekea mavuno unaweza ukachukua bidhaa mjini na kwenda kijijini kibiashara ukapata kufanya biashara kiwepesi...mfano SINGIDA kijiji cha maluga...
Muda wa mavuno wa alizeti wanakuwa na uhitaji wa madumu ya...
Pamoja na kwamba wazee wa mikoani huitwa washamba na wepesi kuingizwa mjini lakini katika suala la uimara wa afya na nguvu za kiume wako vyema.
Wanaume wa mikoani hawali milo yenye mafuta sana
Tazama hii na muwaambie vijana wa Dar kwamba wenzenu hawatumii vumbi la Kongo wala putururu...
Inaumiza sana. Yaani hizi tambo zetu humu JF n.k si wa Mikoani wala Dar ambao wamefanikiwa. Sisi tunadharaulika. Yaani tuna wagegeda akina sijui nini flower wana mastress kibao tunaacha watu wa maana huko wanalalamika wapo single na hawajawahi pewa Mimba.
Halima mpaka leo ni single na hana...
Kila siku wafanyakazi wanatafutwa kutoka mikoa mingine na kwenda Dar Es Salaam. Hilo jiji halina watu wenye wanaoihitaji hizo kazi?
Kitakwimu ndio jiji lenye watu wengi nchini? Mbona kila kutwa ninyi ndio wakuletewa wafanya kazi wa ndani na wasaidizi wa kazi kutoka mikoani?
Sio kijana wa...
Wakuu, mwezi wa tano mwanzoni nitakua mkoani mbeya kikazi kwa muda wa karibu miezi 4.
Sitarajii kusafiri na familia yangu ila nategemea wife atakua ananivisit mara kwa mara.
So nilikua naomba kujulishwa wapi kwa mkoa wa mbeya nitapata hostel ya bei rahisi kama zile wanazokaa watalii kule mikoa...
Ndugu zangu naomba nitoea pongezi kwa kampuni ya mabasi Ester Express kwa kusikia kilio cha wasafiri hapa nchini.
Kampuni hii imeingiza mabasi mapya ili kurahisisha usafiri hasa mikoani. Hongereni sana.
Mambo mawili yanaua biashara mikoani na kukuz biashara Dar.
1. Mitandao ya kijamii.
2. Urahisishaji wa kusafirisha bidhaa.
1. Mitandao ya kijamii imerahisisha sana mawasiliano ya muuzaji na mteja Imerahisisha sana namna ya kutangaza biashara. Mteja anaweza kuona biashara maduka mbalimbali na...
Habari za usiku ndugu wajukwaa,
Kwanza niweke wazi, mimi ni kunguni na chawa mkubwa wa Kasimu Majaliwa Kasimu. Honestly nimekumbuka ziara zake huko Mikoani.
Sehemu ambayo inanikosha ni pale tu kwenye kuzungumza na Watumishi wa Halmashauri na Mkoa
Majumuisho
Nafahamu Mh. Kasimu Majaliwa yupo...
Naomba kuuliza kwanini nauli za kutoka Dar kwenda mikoa mingine zinatofautiana na zile za kurudi hasa vituo vya njiani kwa mfano, hivi majuzi nilipanda bus moja kutoka Morogoro kwenda Mbeya nikalipa Tshs 45,000, jambo la kushangaza wakati narudi nilipokwenda kukata tiketi kwenye bus lilelile...
Njoo kwenye hoja.
Leo kumetokea kituko Dar. Kuna wanawake zaidi ya 1,500 wamewasili Dar kutokea mikoa yote ya Tanzania. Nia ya wao kuja Dar ni Ili waweze kukutana Kesho asubuhi hadi saa nane Mchana Ili kumpongeza mama Samia.
Kwa masikitiko makubwa na huzuni kubwa wamama hao wamelipa nauli kwa...
Tupo na jamaa zangu mitaa ya Mawasiliano Dar, kuna jamaa toka Mbande sijui iko wapi, amekuja jijini akiwa na zawadi kwaajili ya rafiki yake wa kike waliyekutana naye mtandaoni, wamewasiliana na huyo mwanamama akafika mpaka lodge alipofikia akiwa na bodaboda, akaingia ndani aliko mja wake, baada...
Wana JF,
Ujumbe huu uende kwa Rais Samia pamoja na TRA.
Huu mfumo mpya ambao TRA imeuanzisha katika kukusanya VAT umeleta matatizo makubwa sana hasa kwa kampuni za wilayani na mikoani.
Kawaida VAT huwa hivi. Mfanyabiashara unaauza bidhaa yako au huduma yako na kuongeza VAT juu ambayo mlaji...
Kituo kikuu cha mabasi ya kwenda mikoani kilichopo jijini Arusha kimekuwa kero kwa watumiaji wake kutokana na adha mbalimbali zinazowakabili abiria pamoja na wanaowasindikiza.
Kituo hicho kikuu cha mabasi kipo hapo tangu uhuru hadi na sasa kitu ambacho hakiendani na hadhi ya leo hii kutokana...
Unamfahamu fundi gani mkali wa magari kwa uzoefu wako? Share na Jamii hapa.
Ukijaribu kuangalia kwa kina utabaini kuwa magari mengi yanaharibiwa zaidi na mafundi. Fundi hafahamu kuhusu gari lakini analifanyia trials and errors na mwishowe huharibu gari zaidi.
Mafundi ambao hawafahamu kuhusu...
Amani iwe nanyi wana JF
Niko shamba kwa mitikasi ya hapa na pale, yaani kila mtu anasalimia, kwa siku unasalimiwa zaidi ya mara 200
Mambo ya kijinga sana na ni code za kigoloko sana, unakuta una mawazo yako mtu ana ku-distract halafu cha ajabu hakujui na hiyo salamu haijengi chochote.
Kwa...
Hii ni shule ya kata yetu mkoani Mara huko, shule haina muda mrefu tangu ianzishwe.. changamoto ni nyingi sana huko kijijini kwetu lakini ukiangalia matokeo ya hii shule in comparison na mashule mengi ya hapa Dar unaona kabisa hii shule imefanya vizuri sana.
Hawa vijana wa Daslamu wasipokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.