mikoani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lexus SUV

    Wenye uzoefu wa kupanda Malori yanayoelekea mikoani, namuomba hapa

    Habari wakuu , naomba ulizia kwa wenye experince ya waliowahi panda lori kwenda dodoma kwa ajili ya interview aje hapa atusaidie trip ilikuwaje, maana hali si hali wakuu dodoma moja... Au kwa anaejua yanakopatikana ma lori yanayoelekea mikoani kutoka dsm wakuu Kwa maana. Kiuchumi...
  2. R

    Pombe ya Warangi (Udo), wapi inapatikana mikoani?

    Nimeimiss sana hii pombe ya kabila la Warangi inaitwa Udo. Inatengenezwa kwa mtama. Wapi inapatikana mikoa ya jirani kama Arusha na Manyara??
  3. Pang Fung Mi

    Watu wote wanaoishi maeneo ya mbali pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam kimsingi ni kama wako mikoani tu

    Kuna watu DSM wanaishi kijijini kuliko watu wa mikoani, wana maisha magumu, barabara na huduma zingine sifuri hmna zahanati, hawana vituo vya police, hawana maji safi na salama, vyoo vya shimo. Hivi mtu unaishi Madale, Mbopo, Mabwepande, Pugu, Kitunda, mbagala maporini, Chanika, Chamazi unasema...
  4. P

    Picha: Tupatie update ya eneo lako husika- El nino 2023/2024

    Wakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa. Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi hiki chote cha mvua. Mzazi, kama mtoto wako anasoma mbali na miundombinu ni mibovu ni bora...
  5. Y

    Biashara ya mtaji mdogo kati ya Dar au Mikoani

    Eti Wakuu wapi ni bora kati ya Dar au Mikoani kuanza na biashara yenye mtaji mdogo mfano 2M
  6. N

    Watu wa mikoani mnatujazia jiji letu

    Nina hasira sana. Naanza na nyie watu wa mikoani ambao kila kukicha tunawapokea stand ya magu na mabegi yenu ya shangazi kaja, mkifika pale mnatapeliwa kwa kuuziwa sabuni eti mnadanganywa simu. Nakukaribisha kwangu, kwenye chumba changu unapagawa na flat nchi 55 ukutani, sofa kali kitanda...
  7. S

    Wale wa mapodari ,wacha nicheke kwanza !!! Huko Mikoani kunashangaza

    Ila mikoani wadada kusema kweli mnatisha kwa jinsi mnavyojipodoa , mikoani ni mimi na wasiojipodoa unawakuta wapo natural na rangi zao za bilingani. ILa wanaojipodoa wanaharibu kila kitu hujui ni mtu au ni shetani.
  8. Kariakooking1978

    Wauzaji wa bidhaa mtandaoni sio ndugu zako.Watu wa mikoani mtapigwa sana na watoto wa mjini kisa ubishi na kupenda vitu vya bei rahisi

    Hellow members,Leo nimekuja na tukio lililotokea leo asubuhi baada ya moja ya mteja wangu kuingia mkenge kwenye rada za matapeli. Ipo hivi mimi najihusisha na kununua/kufuata,kufunga na kusafirisha mizigo kutoka Dar es salaam kwenda mikoa yote Tanzania kila siku na hivyo basi nimeweka Matangazo...
  9. J

    Kwanini watu wa Dar huwa hawataki kujua yanayoendelea mikoani?

    Kwanini watu wa Dar, huwa hawataki kujua yanayoendelea mikoani? Lakini wa mikoani kila wakati wanafatilia ya Dar tu. Maadimin wa JF Wapo Dar, ITV, Wasafi, TBC n.k zipo Dar Melo yupo Dar, Vyuo vikuu Bora vipo Dar Flying over za maana zipo Dar Uswahilini kupo Dar Pesa ipo Dar, umaskini upo Dar
  10. Mwamuzi wa Tanzania

    Ukweli ni kwamba watu wengi wa Dar es Salaam wamezidiwa kipato na watu wa mikoani

    Kijana wa Dar akinunua sabufa, sofa la watu 2, kitanda cha chuma na godoro, akipanga chumba kimoja, choo cha jumuia hapo katoboa maisha. Wapo vijana waliofanikiwa wakajenga, kununua usafiri na wengine kumiliki biashara lakini wastani wa vijana wanaoishi kwenye chumba kimoja na vikorokoro vyao...
  11. BigTall

    Kigamboni hakuna Vituo vya Daladala vyenye kivuli, watusogezee na stendi ya magari ya mikoani pia

    Nilihamia Kigamboni miaka ya hivi karibuni, moja ya kitu ambacho kilikuwa kinanipa uwoga kuhamia pande hizi kwanza ni kuvuka maji na pili niliona kama kumekaa kushoto sana. Nashukuru Mungu uwoga wangu wa maji umepungua labda yawezekana kwa kuwa navuka sana baada ya kuhamia huku. Hilo la pili...
  12. Mjukuu wa kigogo

    Machimbo ya bata mikoani kwa mnaosafiri leo

    Wadau niaje hizi ndizo chimbo za totoz kwa wale mnaosafiri kwenda maeneo mbalimbali ya nchi. 1. Tanga-Mombo & chichi 2. Morogoro-kahumba 3. Musoma-Embassy kwa shangazi 4. Bukoba-Liquid 5. Mtwara-Kwalipaja 6. Tabora-Oxygen 7. Mwanza-Kirumba,club 55,Nyegezi stand&Igoma 8. Makambako-Emirates 9...
  13. W

    Biashara ya Dagaa mikoani ni fursa pia

    Habari ya leo wanajamii forum ?natumaini tunaendelea kupambana na kuendesha gurudumu liende mbele. Waswahili wanasema ili usianguke na baiskeli hauna budi kukanyaga pedeli ili isonge mbele na ukiacha kukanyaga lazima udondoke.Hivyo endelea kukanyaga MUNGU WA WOTE Haijalishi kiasi gani tunamkosea...
  14. Mapensho star

    Kupata ngono mikoani ni gharama kuliko Dar

    Kama mwanaume utahitaji show utoe hamu zako na hauna bajeti nzuri gharama ya chini kabisa ni Tsh 30000-50000 kwa raundi 3. Jijini Dar gharama ya kupata ngono haizidi 15000 kwa raundi 3
  15. GENTAMYCINE

    Kuna anayemwelewa Salim Kikeke na 'Mizururo' yake Holela ya hapa na pale Dar es Salaam na Mikoani?

    Tokea arejee kutoka BBC Uingereza namuona ni kama vile anautaka Ujana ( Anajidogoza ), ana Mashindano ya Kula Bata na Mtu, kuna Umuhimu wa Kilazima kwa Jamii anataka Kujipa, ana Mchanganyiko ( Mseto ) wa Sifa na Ushamba fulani hivi, ni kama vile hajielewi na Kadata ( Kachanganyikiwa ) fulani...
  16. MwananchiOG

    Kwanini bia ziuzwe ghali zaidi Dar es salaam kuliko mikoani?

    Mikoani Safari ni 1,500 huku Dar Safari ni 2,500 mpaka 3,000, WHY? Bia zote za TBL ni bei juu Dar kuliko mikoani ambapo nilitegemea kinyume chake kwasababu Dar hakuna gharama za usafirishaji ukilinganisha na mikoani, This is stupid!
  17. G

    Mkutano wa CCM Kawe, school bus, mabasi ya mikoani, madaladala nk. yametamalaki

    Nimepita viwanja vya Tanganyika packers Kawe nimeshtushwa na wingi wa mabasi yaliyobeba watu kutoka sehemu mbalimbali za ndani na nje ya mji wa DSM. Swali ninalo kuuliza wanajisikiaje kuhutubia umati bandia, uliosheheni watu wasiojua hata kinachoendelea nchini? Kweli CCM ni chama dola
  18. R

    CCM wamekataliwa huku mikoani au wananchi wapo busy na kilimo?

    Mikutano ya adhara ya CCM kukosa wafuasi na kugubikwa na watoto inaleta tafsiri ya kukataliwa au wazazi wa watoto wapo busy na kilimo?
  19. M

    Majina ya Radio zinazosikilizwa sana mikoani

    Habari wadau. Napenda kujuaa majina ya Vituo vya radio vinavyosikilizwa sana Mikoani na vinafaa kutuma matangazo. Mikoa ninayoitarget ni hii 1. Morogoro 2. Tanga 3. Moshi 4. Arusha 5. Babati 6. Tabora 7. Mbeya 8. Iringa 9. Mara 10. Katavi Asanteni
  20. S

    SoC03 Usafiri wa mabasi ya mikoani kwa muda stahiki

    Mimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu mwenendo wa usafiri wa mabasi ya mikoni. Kiongozi mmoja akifuta safari za usiku na mwingine akizikirudisha. Mmoja ikichagua mabasi gani yasafiri usiku na mabasi gani yasisafiri usiku nap engine kusiwe hat ana vigezo vya ruhusa ama makatazo hayo. Lakini kwa...
Back
Top Bottom