mikoani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Mabasi ya mikoani inabidi muwe na muda maalum wa kuwasha na kuzima TV

    Kwa baadhi ya watu ni mateso unasafiri na bus muda wote wa safari kuanzia asubuhi mpaka jioni TV imewashwa ni mwendo wa kubadilisha tu kwaya, kaswida, bongo flavours, movies na comedy mbovu. Yani kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa safari TV haizimwi isipokuwa saa ya matangazo ya biashara za...
  2. VINICIOUS JR

    HIVI INTERVIEW ITAFANYIKA MAKAO MAKUU YA HUKO MIKOANI AU ZOEZI LITAENDELEA KWENYE WILAYA ZOTE NDANI YA MKOA.

    Nawasilisha.
  3. greater than

    Maeneo yafuatayo yanastahili Maboresho/Ujenzi wa stendi mpya za mabasai ya mikoani

    1.ARUSHA Hili ni jiji kubwa la kitalii hapa nchini na ndiyo makao makuu ya jumuiya ya afrika mashariki....pia mashindano ya AFCON yatafanyika huku. 2.KAHAMA Mji mkubwa kwa biashara za madini hapa nchini....lakini ni kitivo cha biashara za mazao kwenda mikoa ya magharibi na nje ya nchi 3.MBEYA...
  4. GENTAMYCINE

    Tulizoea kuyasikia haya yakitokea Mikoani tu kumbe hata Dar es Salaam tunakosema kuna Waliostaarabika pia kuna huu Upumbavu na Ukatili usiovumilika?

    Watu wasiojulikana wamemuua mtoto (6) Mwanafunzi wa darasa la kwanza, katika Shule ya Msingi Kizuiani Temeke jijini Dar es Salaam, na kisha wakachukua viungo mbalimbali vya mwili ikiwemo sehemu ya siri. Chanzo: itvtz Kuna Siku nitaiomba Serikali inipe hata mara moja tu GENTAMYCINE ruhusa ya...
  5. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia Aipa TANROADs Bilioni 431.4 Kutekeleza Miradi ya Ujenzi wa Miundombinu Mikoani Kagera

    RAIS SAMIA AIPA TANROADS BIL 431.4 KUTEKELEZA MIRADI YA UJENZI WA MIUNDOMBINU MKOANI KAGERA Na Mathias Canal, Kagera Wakala wa Barabara “TANROADS” Mkoani Kagera inasimamia mtandao wa barabara wenye jumla ya kilomita 1,966.29. Kati ya hizo barabara kuu ni Kilomita 861.59, barabara za mkoa ni...
  6. THE BEEKEEPER

    Hivi wale wauza Bagia mbeya wapo mikoa mingine?

    Utasikia wale wateja bagia, wale wateja bagia zimenona tatu shilingi mitano karibu, karibu wateja wangu. Wapo uko mikoani?
  7. Mwizukulu mgikuru

    Wale tuliopewa muonekano na ngozi nzuri hata kama tuna changamoto za kimaisha tukutane hapa

    Kuna wale ambao mungu ametupendelea hata tukikaa jela miezi kadhaa huwa hatuchuji, tunafanyiwa figisu za hapa na pale ili tuharibikiwe na kufubaa lakini bado tunazidi kung'aa tu na maadui zetu wakituona huwa wanazidi kuchanganyikiwa zaidi tukutane hapa 😊
  8. aBuwash

    Hivi wauza nafaka wote hapa Dar ni kweli wote huagiza nafaka mikoani au wengi wao hununua tu kwa wauzaji wakubwa wa jumla?

    Habari wana jf natumai wote mko poa Hii habari inanishangaza kila kila ninapoenda kununa labda mchele au maharage kila mfanyabiashar nikimuuliza hizi unachukulia wapi huwa wananiambia wanachukulia mikoani afu ukute ana gunia tano tu au kumi Nimezunguka maduka mengi ila wengi wao wananiambia tu...
  9. Mr Why

    Kero ya Mabasi ya Mikoani kuchochea udini

    Mabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari. Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo zinakuwa zimeegemea dini moja na kubagua nyingine kitendo ambacho kinachochea udini. Vilevile...
  10. Hossam

    Arusha: Abiria wa Mikoani wamekwama!

    Tangu alfajiri abiria wapo na hakuna dalili ya kwenda mikoani. Fununu zilizopo ni kuwa darajani kwa Msomali pamejaa maji. Naweka picha ya stendi ndogo Arusha. Tunaomba mwenye taarifa kamili asaidie. Pangu Pakavu.
  11. SAYVILLE

    Suala la abiria kwenye mabasi makubwa ya mikoani kujaa hadi wengine kusimama limehalalishwa?

    Nakumbuka kulikuwa na utaratibu barabarani kwenye mabasi makubwa ya masafa marefu yanayotoka mkoa mmoja hadi mwingine, askari wanaingia kukagua mabasi na moja ya mambo waliyokuwa wanaangalia ni kama basi limezidisha idadi ya abiria. Kutokana na hulka ya Watanzania tulivyo, tulikuwa tunakaushia...
  12. Pdidy

    Wenye wenza wenu mikoani; Nyie mko Dar mnaishije?

    Habarini wana jamvi Kuna mdogo wangu mda si mrefu may anahamia mkoan Leo niko na dogo anauliza kakaa hivi unawezaje kuishi mume dar mke mkoan and vv Dah hizi kazi majaribu sana nkamwambia mtegemee mungu atakutun,zia mkeo Shida bora angekuwa anaenda moro ama dodoma aje weekend weeee...
  13. ndege JOHN

    Tunaoishi mikoani wengi tunaishi kwenye vijiji maana mtaani unajulikana kila kitu

    Dar ndo mkoa wa kipekee unaishi na mtu nyumba moja ila mnakutana weekend tu maana kila mtu anatoka alfajiri anarudi usiku. Ila mikoani huku unaishi na watu wanajua kila kitu kukuhusu mtaani kila kukikucha unakutana na maneno mapya mixer kusengenyana.inshort mikoani huku mitaani ni kama tuko...
  14. Expensive life

    Mlioko mikoani msiongopewe hili ndio Jiji hali la Da’s laam

    Ukiwa mkoani ukiona zile picha za posta unaweza sema das’ laam ni kama ulaya. Ndugu zangu jiji letu pendwa ndio hilo hapo kwenye picha. Hii picha imepigwa na club ya Al ahly ya nchini Misri na kuipost kwenye page zao.😀
  15. guzman_

    Natafuta masoko ya Nafaka mikoani

    Wakuu habari. Katika kujiongeza nataka nianze biashara ya kununua nafaka hasa mahindi, mpunga na maharage na kuja kuuza kwa jumla Dar. Naombeni mwongozo kwa anayejua masoko makubwa nayo weza nunua mzigo mkubwa kwa mara moja. NB naona kwenda moja kwa moja kwa wakulima itanichukua muda kwa hiyo...
  16. THE FIRST BORN

    Kama mliaminishwa kufungua Chaneli ya WhatsApp ni Mafanikio, sasa watawaaminisha Viwanja vya Mikoani ndio chanzo cha Matokeo Mabovu

    Mkishaonwa HAMNAZO mtakuwa mnapewa kila sababu na mtakubali because nyie ni HAMNAZO. Yaani jitu linavuta Oxygen hii ya buree saiv zaidi ya miaka 20 halijawahi ilipia linakuja danganywa kuwa tunapata matokeo mabovu viwanja vya mikoani kwa sababu wachezaji wetu hawako comfortable na viwanja hivi...
  17. Jerrymsigwa

    Faida na hasara za kusafiri mikoani na mabasi ya usiku

    Igweee! Ninawasalimu kwa jina la JMT! Leo nimepata wasaa wa kusafiri usiku kutoka mkoa x kuja y kwa takriban masaa 10 kuanzia 2000hrs to 0730hrs. Ni usafiri wa kawaida wanaita luxury bus, so hakuna chochote za ziada nilicho experience. Kwa kuwa ni mara yangu ya 1, nimeona baaddhi ya...
  18. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Maimuna Pathan: Kwa Nini Serikali Isihakiki Wastaafu Wilayani Kuliko Ilivyo Sasa Kuhakikiwa Mikoani.

    Mbunge Maimuna Pathan: Kwa Nini Serikali Isihakiki Wastaafu Wilayani Kuliko Ilivyo Sasa Kuhakikiwa Mikoani. Serikali imesema Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) una mpango wa kuweka vifaa vya uhakiki vitakavyotumia alama za vidole kwenye ofisi za halmashauri ili kuhakikisha...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Kuna uhusiano gani baina ya Makanisa ya Upako na Watu wa mikoani. Kwa sababu ndio waliojazana Huko.

    Habari za jumapili! Kama kichwa kinavyojieleza. Nimegundua kuwa huwezi kukuta mtu aliyezaliwa au kuishi Dar es salaam Kwa zaidi ya miaka 20 ukamkuta kwenye haya makanisa ya Upako. Au huwezi kumkuta mtu aliyewahi kuishi nje ya nchi, nazungumzia nchi za Ulaya, Amerika au Asia. Na kidogo South...
  20. C

    MaIsha ya dar vs mikoani

    Kwema wakuu, Hasa kwetu sisi vijana ambao bado tunatafuta, we unaona wapi bora kati ya dar es salaam na mikoani. Karibu
Back
Top Bottom