Naomba Tundulissu aachiwe mara moja na bila mashariti yoyote nimeongea mimi na nikiongea huwa sirudii.

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,386
Reaction score
83,431
Binafsi Mimi Leo nimetoa angalizo kuwa TAL wamuachie bila mashariti yoyote , akaungane na familia yake haraka.

Mimi nafikiri kwa nilivyobarikiwa sifikirii Kama mtakubali nikasirike.

Mimi Kama MTU wa haki na Mtumishi ambaye huwa siingiliwi katika mamlaka zangu .

Nimesema TAL aachiliwe haraka.

Nawapa mwezi mmoja kuanzia sasa.
 
Duh 🙄 ! 😳
Ngoja Tusubiri tuone 🤷🏾‍♂️ !
 
Binafsi Mimi Leo nimetoa angalizo kuwa TAL wamuachie bila mashariti yoyote , akaungane na familia yake haraka.

Mimi nafikiri kwa nilivyobarikiwa sifikirii Kama mtakubali nikasirike.

Mimi Kama MTU wa haki na Mtumishi ambaye huwa siingiliwi katika mamlaka zangu .

Nimesema TAL aachiliwe haraka.

Nawapa mwezi mmoja kuanzia sasa.
Ma keybord worrior,
 
Hivi Lissu hawezi kuamua tu kukaa kimya?? Wao wahukumu wanavyotaka bila kupoteza muda
 
Back
Top Bottom