Hii tabia ya akina mama wazee kuwa na uhusiano wa mapenzi na vijana wadogo imekithiri hadi mikoani

Hii tabia ya akina mama wazee kuwa na uhusiano wa mapenzi na vijana wadogo imekithiri hadi mikoani

Lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa MUNGU, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa. ILA AOMBE KWA IMANI, PASIPO SHAKA YEYOTE; maana mwenye shaka ni kama wimbi la bahari lililochukuliwa na upepo, na kupeperushwa huku na huku. Maana mtu kama yule asidhani ya kuwa atapokea kitu kwa BWANA. Mtu wa nia mbili husita-sita katika njia zake zote.”
Kwenye maombi Kuna Imani ya kuomba na kuna Imani ya kupokea.
 
Zamani nilikuwa nasikia kuwa Dar ni jambo la kawaida

Lakini sasa hadi mikoa ya kanda ya ziwa ambayo ilisadikika kuwa vijana wanamaadili

Kuna nini? Kwa nini wanapenda wanawake wazee?
Hii ni tangu zamani na kila sehmu ya dunia. Kama umalaya ulivyo jambo kongwe, basi na hili ni hivyo hivyo. Labda zamani watu walikuwa hawako wawazi kama sasa. Unajua maana ya neno sugar-mummy? La siku nyingi hili...
 
Back
Top Bottom