Kwa kifupi uchumi wa Tanzania imeshikiliwa na wakinga.
Shida wakinga wamekariri biashara moja kuuza na kununuaKwa kifupi uchumi wa Tanzania imeshikiliwa na wakinga.
Hata tusipowapenda ndo wameshakuwa na mabilionare wa kitanzania hamna namna robo ya majengo mapya dar sasahivi ya wakinga sijui kwa nini wanafanikiwa sana lakini wapo vizuri sanaaa mfano Tunduma Mbeya huku wanatukimbiza mbayaaaaaaa halafu vifupi fupiWale wakinga wamaokuja Dar kupangisha maduka Kariakoo halafu wanawapigia simu vijijni na kuwaambia wanamiliki magorofa Kariakoo
What you didn't know is bigger than you!Wale wakinga wamaokuja Dar kupangisha maduka Kariakoo halafu wanawapigia simu vijijni na kuwaambia wanamiliki magorofa Kariakoo
Nilipata wasaa wa kudodosa juu ya hili jambo hawa jamaa imani yao ipo kwenye mali wanayo iina na kuisimamia on the spot yaani mfano duka awe anauza na pesa yake anaipata papo kwa hapo hawaamini kwenye gari iende dar ma kurudi ndipo ilete pesa wengi wao wanasema NO. Ndiyo maana wamejikita sanaaa haswaa kwenye maduka.Shida wakinga wamekariri biashara moja kuuza na kununua
lakini biashara za mabasi, daladala, viwanda, kampuni za utalii, media, soko la hisa, n.k. wapo wachache sana na pesa ipo.
ila itakuwa sababu ni shule maana baadhi ya biashara bila shule ni ngumu, wakinga kwenye mambo ya shule bado wapo nyuma,
ila kwenye uchuuzi wa kuuza na kununua wakinga nawapa marks kama zote, wanaiweza hii biashara
Akina Lamomy wanguKwa kifupi uchumi wa Tanzania imeshikiliwa na wakinga.
Mlugaluga kaa kwa kutulia, mjini shuleWhat you didn't know is bigger than you!
Hiyo shule ingekuwa imekusaidia usingekuwa umeandika huo ushuzi wako. Maana hata nilicho kiandika ni imani hujakielewaMlugaluga kaa kwa kutulia, mjini shule
Mwingine huyu hapaWakinga wako juu. Mengi ya majengo mapya ya Kariakoo wanahusika. Na wamenyooka.
Kumbe nabishana na mlokoleHiyo shule ingekuwa imekusaidia usingekuwa umeandika huo ushuzi wako. Maana hata nilicho kiandika ni imani hujakielewa
Na ndiyo maana nimeamini kuwa bichwa lako limejaa ulimbo! Ungekuwa na ubongo ungeelewa alipo kuambia " "majengo mengi mapya "Mwingine huyu hapa
Kariakoo ina hitoria yake inayoendana mabadiliko ya kiuchumi wake
Mwanzo walikaa Wazaramo na vijumba vya matope, ambavyo baadae viliuzwa kwa MABILLIONI miaka ya 2000
Walionunua miaka hiyo hakukua na Mkinga anaeishi Kariakoo, wanunuzi walikuwa wahindi, waarabu, wasomali, na wabongo wachache waliokuwa serikalini,miaka hiyo hakuna mkinga Kariakoo
Wakinga wameingia Kariakoo na kukutata magorofa
Kupangisha maduka ya nguo za wachina hakumaanishi wanamiliki magorofa
Mbung'o una malale, hakuna majengo mapya ya wakinga Kariaako, acheni kudanganyana huko vijijiniNa ndiyo maana nimeamini kuwa bichwa lako limejaa ulimbo! Ungekuwa na ubongo ungeelewa alipo kuambia " "majengo mengi mapya "
DAR - Watu wa Kilimanjaro, Pemba, Njombe, Kigoma, Mara, Mwanza, n.k.
MWANZA - Watu wa Simiyu na Mara.
ARUSHA - watu wa Kilimanjaro wamedominate sana
Mbeya - Watu wa Njombe
Dodoma na Tanga sijajua