Sema wanakufa sana while still youngKwa kifupi uchumi wa Tanzania imeshikiliwa na wakinga.
Ongezea mpare na msambaaKIJIWE CHA KAHAWA.TANGA WAHINDI WAARABU WACHAGA NA WAIRAQ
Ndiyo maana unajisimamia katika kila jambo😹😹😹 Waambie hao..!!
Uchumimwa Tanzania unashikiriwa na WAHINDI.DAR - Watu wa Kilimanjaro, Pemba, Njombe, Kigoma, Mara, Mwanza, n.k.
MWANZA - Watu wa Simiyu na Mara.
ARUSHA - watu wa Kilimanjaro wamedominate sana
Mbeya - Watu wa Njombe
Dodoma na Tanga sijajua