mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Nyie mnaojiita wahudumu wa hayo MABASI ya VVIP ,pamoja na baadhi ya abiria wenu mnakosa ustarabu.
Inakuaje muhudumu wa basi hutulii sehemu moja, Kila muda unajipitisha pitisha na kuleta migusano isiyo ya lazima kwenye gari ?Tena baadhi yenu mnanuka kienyeji sana, kwanin usitembee ndani ya basi pale inapohitajika tu?.
Baadhi ya abiria nao wahovyo kabisa , yaani jitu linakusimamia kwenye kiti bila hata kujua kama ni KERO kwa mtu mwingine , kwa nin mnapenda kulazimisha migusano.?.
Mtu anashindwa kuheshimu mipaka yake ya kiti ,anajitapakaza siti nzima kama anasubiria kijifungua
Hovyo kabisa