Katibu Mwenezi, Itikadi na sisa wa CCM Paul Makonda, yupo barabarani akizungukia maeneo mbalimbali ya nchi ambako amekutana na shida lukuki.
Kuna shida zingine ni rahisi sana kutatuliwa bila kutumia nguvu wala migogoro.
Shida zingine wananchi hukutana nazo kutoka kwenye idara za serikali...
Kuna hizi nyumba wanazofikia marais wakiwa mikoani katika ziara Mimi Naziita ikulu ndogo sijui kama nakosea ila zinajulikana zaidi kama rest house.
Nyingi ya nilizoziona mimi mikoani naziona ni za kizamani sabab zimejengwa muundo mfupi Paa ni fupi labda kidogo ukute zimepigwa rangi tu upya...
Baada ya Mfumo kunitenga na jiji la ndoto zangu nikawa Sina namna zaidi ya kukubali. Ila huwa napambana isipite miezi miwili sijakanyaga town na kila napofika aisee vijiwe vyangu vya faida ni:-
1. Tabata Magengeni
2. Kimara Korogwe-Tabata Kimanga
3. Tabata kimanga-Ubungo Riverside via...
Pamoja na kero za Dsm usafiri wa shida / foleni, uhalifu, maisha kuwa juu, umeme, ukosefu wa maadili, n.k. kwanini huhamii mikoani kwenye unafuu?
Bila kusahau tatizo la maji
KWANINI HUHAMII MIKOANI?
Habari,
Nimeona Ziara ya Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa Paul Makonda mikoani ni kama inamjenga sana yeye kuliko chama na huenda ikamfanya kuwa na ushawishi mkubwa sana ndani ya CCM na nje ya CCM.
Mara nyingi amekuwa akitumia jukwaa kujielezea yeye zaidi kuliko chama...
Leo nimeamua kuperuzi baada ya kupata business idea ya kufungua duka la electronics, phone and accecories.
Nikasema acha niiingie kwenye application ya Alibaba kuona bei za electronics huko china na huku bongo.
Mfano hapo glass protector ni Usd 0.01 napo zingine ni mpaka Usd 0.15 sawa na...
Celebrities matajiri kwa ngazi za mikoa.
Ni kweli asilimia kubwa ya Matajiri wapo Dsm lakini nako mikoani sio kwa kuwachukulia poa, uzi huu unawahusu wenye mawe yao huko mikoani.
Wahindi na waarabu tuwaweke pembeni kidogo ni ligi za ugenini, hebu tudeal na ligi za timu asili za nyumbani
Kwa...
Azam TV wakonga nyoyo za burudani Tanzania baada ya kutambulisha Visimbuzi vya kwenye mabasi. Hivi sasa tutakuwa tunacheki mechi za simba na yanga kwenye mabasi ya mikoani. Kupitia kurasa zao leo wametangaza rasmi kutoa huduma hiyo.
========
Azam TV Revolutionizes Travel Entertainment with...
Serikali yetu - mamlaka husika tunaomba mtusaidie sisi wanyonge na hii tabia ya madereva inayozidi kushamiri kila kukicha, hasa kwa wale ndugu zetu wanaosafiri mikoa ya mbali wanapata tabu sana kuhusu masuala ya chakula.
• Dar - - Mwanza
• Dar - - Mbeya
• Dar - - Kigoma
• Dar -- Arusha
• Dar --...
Salaam Wakuu,
Naomba nikushauri wewe Dereva unaye endesha Gari Dar Es Salaam, Usije ukahisi umeiva kwa Udereva ukataka ujiendeshe kwenda Mkoani kula Sikukuu.
Ni kweli Mungu amejalia umepata hilo Gari, lakini angalia lisigeuke Kaburi lako. Kwa barabara za Mikoani wewe ni Learner tu ukatae...
Walah itamuhitaji mtu wa ajabu sana kuona merit kwenye application ya wakili kada wa CCM aliyetumwa na "mfumo" kusimamisha kikao cha dharura cha mawakili.
"Mfumo" umefanya mabadiliko ya Sheria ambapo kwa sasa ili wakili ateuliwe kuwa jaji , yampasa kuwa na Law firm, na hiyo /law firm iwe na...
Hili linanishangaza sana!
Kutana na mtu wa Arusha au moshi umsikie anavyoponda Kanda ya Ziwa na mikoa mingine.
Nenda Ruvuma ukutane na mhehe umsikie anavyoponda Ruvuma.
Nenda kusini ukutane na mwalimu ajira mpya kutoka kigoma au nzega huko na aliyeisotea ajira kwa miaka mitano huku macho...
Kuna changamoto ya mabus ya mikoani hususan yanayosafiri usiku.. nimewahi kupakia mabus kama Kitumbo(Dodoma - Dar) na Kimotco (Dodoma - Arusha) kwanza kabisa haya mabus ni kama daladala maana yanasimama ovyo na kpakia watu wengi had wengine wanasimama. Mbaya zaid haya mabus huwa hawafanyi...
Habari,
Kwa wanaofahamu, naombeni utaratibu wa kufuata nikitaka kupata kibali cha kufanya biashara ya mabasi Tanzania. Nataka nianze na mabasi 4 route ya Dar-Mwanza.
Habari nina kitanda kipya cha chuma kinauzwa
Kipo moshi , na pia kuna BED SOFA MPYA , valvet , BED BOX , PALLET BED KAMA ZOTE.........OFISI ZETU ZIPO MOSHI......
MAWASILIANO NI. 0672701329
Hii ndo hali halisi ya kituo cha mabasi ya kwenda mikoani jijini Arusha.
Mchana kinageuzwa kuwa soko, ikiwa no pamoja na biashara nyingi haramu na usiku kinageuka kuwa danguro pamoja kuwa sehemu za kulala kwa wale vijana wa mjini wasiokuwa na pakulala wakiwemo na vibaka.
Mabasi mengi kwa Sasa...
NAIBU WAZIRI KIHENZILE AITAKA DMI KUFUNGUA MATAWI YA CHUO MIKOANI
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile ameutaka uongozi wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) kuhakikisha wanafungua matawi mikoani ili waweze kutoa fursa kwa Watanzania wengi kupata elimu hiyo.
Kihenzile ameyasema hayo...
Je, ni kwamba hizi hotel zinamilikiwa na hawa wenye mabasi au wenye mabasi wanapata nini hapa maana unakuta mabasi yanaendelea kusimama katika hotel hizihizi licha ya hotel kuwa na;
Huduma mbovu na ghali - Vyakula ni ghali hlf vina viwango duni. Unaagiza chakula ni basi tu kupooza njaa lakini...
si nawatisha
ni kutokana na exp ya vifo mwezi december na jinsi familia zinavyoteseka wakati wa msiba hasa unapokuta marehemu ajaacha wosia wowote ama kujuza ndugu ana watoto nje ya ndoa
kila ...itaonja mauti ila ushauri wangu n muhmu sana december unaposafiri kwenda mikoani jitahidi uwe...
Bora msema kweli kuliko kuwa mnafiki. Kijana unaye jitafuta usije jaribu kufungasha mizigo kwenda kutafuta maisha huko mikoani, watu wa mikoani ni wabinafsi, roho mbaya, majungu na fitna.
Kijana ukiwa Dar una 85% za kutoboa hapa town, kapuku muuza maji leo mtafute baada muda utamkuta mbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.