Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa ushirikiano na Benki ya Azania imezindua rasmi mradi mkubwa wa utoaji wa mikopo nafuu kwa wajasiriamali wadogo, utakaofanikisha ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo vya kuuza mafuta ya petroli na dizeli maeneo ya vijijini.
Hatua hiyo...
Serikali inatarajia kuanza utekelezaji wa mfuko wa Ubunifu wa Samia “SAMIA Innovation Fund” wenye thamani ya Shilingi Bilioni 2.3 utakaotoa mikopo nafuu kwa wabunifu kwa lengo la kuendeleza na kubiasharisha ubunifu pamoja na kutoa fursa za ajira kwa watanzania kupitia kazi za ubunifu.
Waziri wa...
Kuanguka kwa uchumi wa Dunia kutokana na COVid 19 kumepelekea Mataifa makubwa kuyumba na hivyo kushindwa kusupport mashirika ya Kimataifa na nchi masikini kama ilivyokuwa awali.
Vita vinavyoendelea Dunia kati ya Russia Ukrain, Israel na ukanda wa ghaza kwa ujumla vimepelekea rasilimali nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.