PreGE2025 Serikali kuanzisha mfuko wa 'Samia Innovation Fund' wenye thamani ya Tsh. bilioni 2.3 kutoa mikopo nafuu kwa wabunifu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mpepetaji

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
346
Reaction score
213
Serikali inatarajia kuanza utekelezaji wa mfuko wa Ubunifu wa Samia “SAMIA Innovation Fund” wenye thamani ya Shilingi Bilioni 2.3 utakaotoa mikopo nafuu kwa wabunifu kwa lengo la kuendeleza na kubiasharisha ubunifu pamoja na kutoa fursa za ajira kwa watanzania kupitia kazi za ubunifu.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof Adolf Mkenda (Mb) amebainisha hayo tarehe 12 Mei 2025 wakati akiwasilisha bungeni Jijini Dodoma Makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

View attachment 3332378
Kwa nini pesa zisipelekwe harmashauri, maana upo utaratibu tayari wa kutoa mikopo kwa vijana, ata moitengeneza mamifuko mangapi? Mifuko haitengenezi pesa, inahitaji pesa, ni, upuuzi mtupu, Mara, samia regal aid(wizara, ya sheria si ipo)
hqta Mkileta, samia loan board,
Au, samia unemployment benefit aid, ni upuuzi tu,
 
Kila kitu chema ni kwa jina lake ila kikibuma lawama wanapewa wanaoitwa washauri wake!

Vingine vipeni majina ya hao washauri na wasaidizi wake kama ni lazima vyote viitwe majina ya watu.
 
Back
Top Bottom