mikopo

  1. Tanzania commecial bank tawi la Pamba Nyamagana Mwanza mna tatizo gani kwenye kutoa mikopo?

    Habari ndugu wana JF. Naomba niingie moja kwa moja kwenye mada. Ni kwamba katika bank ya Tanzania commecial bank zamani ikiitwa Posta bank tawi la Pamba Nyamagana kumekuwa na ucheleweshaji wa kutoa mikopo kwa watumishi na wastaafu wanaomba mkopo kupitia bank hio kwa tawi la Pamba lililopo...
  2. Mwigulu Nchemba: Msihofie Mikopo, riba yake ni ndogo

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dr. Mwigulu Nchemba akiwa Dar es salaam leo ameishukuru Benki ya Dunia kwa kuwa Mdau Mkuu wa Maendeleo ya Tanzania kwa kutoa mikopo nafuu na misaada mbalimbali inayotumika kutekeleza miradi inayochochea ukuaji wa uchumi na maendeleo ya Watu ambapo mpaka sasa, Benki...
  3. Mikopo inatisha, yanaenda wapi hayo matrilioni!

    Mpaka sasa Mama amekopa Matrilioni mangapi ndugu zangu..!? Lakini Matrilioni hayo ni kwa ajili ya nani!?? Yanaenda wapi hayo matrilioni!?? Mbona umasikini unazidi kutamalaki wazee. Lakini mpaka masikini wa kutupa analipa haya madeni. Mbona maisha yanazidi kuwa ya kifukara? Kuna watu hapa...
  4. L

    Ni benki gani yenye riba nafuu kwenye mikopo?

    Ni benki gani yenye riba nafuu kwa mikopo ya watumishi? Nawasilisha.
  5. Madiwani Rungwe watakiwa kusimamia utoaji mikopo kwa Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ameshiriki katika Baraza la Madiwani cha Halmashauri ya Busokelo Wilayani Rungwe pamoja na kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo. Akitoa salamu za Serikali katika baraza hilo, Haniu ameishukuru Halmashauri hiyo kwa kuendelea kutekeleza miradi mbalimbali...
  6. Hivi HESLB waliongeza mikopo kimya kimya kwa baadhi ya wanafunzi?

    Wakuu, kwema? Hii kitu sijaielewa naomba kueleweshwa, nimepita kwenye account ya dogo ya HESLB nimekuta kuna Additional loan ya kama laki 4 kwenye upande wa tuition fees,nimemuuliza dogo nae anaonekana kushangaa tu hajui chochote. Naomba kuuliza hawa first year waliongezewa mkopo kimya kimya...
  7. NMB Chalinze branch kuna usumbufu usio na sababu idara ya mikopo

    Wapendwa Salaam, NMB Chalinze branch kumejawa na wafanyakazi wenye kiburi na majivuno hasa kwenye idara ya mikopo jambo ambalo linasababisha kero kubwa kwa wateja, Hii branch unapoanza ku process mkopo utacheleweshwa kiasi ambacho utaona kabisa ni kama wanakuomba rushwa kiaina.Hizo nenda rudi...
  8. N

    Wakulima wadogo wanufaika na mikopo

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu inaendelea na mpango wa kutengeneza mazingira wezeshi kwa watanzania ili waweze kujikwamua kiuchumi kupitia mikopo yenye masharti nafuu Serikali kupitia benk kuu ya Dunia (BoT) imetoa mkopo wa Tsh Bilioni 164,9 kwenye taasisi za kifedha na...
  9. Watu wa vijijini ndiyo huwa wanalipa mikopo nchi hii, wanatakiwa kupewa kipaumbele kwenye matumizi ya hiyo mikopo

    Karibu asilimia mia moja ya mikopo ya nchi hii inalipwa na toka uhuru imekuwa inalipwa na watu wa vijijini. Unapoenda kulipa mikopo lazima utumie fedha ya kigeni, yaani dola. Sasa nchi yetu inapataje dola? Ni kwa kuuza bidhaa nje ya nchi. Wazalishaji wa viwanda vya ndani ambao wanauza humuhumu...
  10. R

    Rais anakazana kupata mikopo na misaada lakini mifumo ya ukusanyaji kodi, tozo na mapato mengine imetoboka sana

    Unaweza kujenga Imani Kwa wageni kuja kuwekeza nchini Kwa wingi; wageni wakafika Kwa wingi na kutumia fursa Ila usinufaike na kuwepo Kwa wageni hao. Juhudi za Mhe. Rais zinaweza zisizaie matunda Kwa Sababu aliowaamini kwamba wanaweza kukusanya na kuhifadhi mapato yatokanayo na uwekezaji wa...
  11. Benki zilizoongoza kwa kutoa mikopo ya Nyumba na Makazi Tanzania 2022

    1. CRDB- Bilioni 193 2. Stanbic- Bilioni 41 3. Azania - Bilioni 36 4. NMB - Bilioni 34 5. NCBA - Bilioni 23 6. TCB - Bilioni 21 7. Exim- Bilioni 20.6 8. 1st Housing*-Bilioni 16.2 9. KCB- 15B 10. DCB- 13.8B THE CHANZO/ BoT
  12. Serengeti yatoa mikopo isiyo na riba zaidi ya milioni 136/-

    Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara imetoa mkopo usio na riba yenye kiasi cha Tsh. Milioni 136,374,130/- kwa vikundi 28 vya wanawake,vijana na watu wenye walemavu ikiwa ni mkopowa wa asilimia 10% za makusanyo kwa robo ya pili ya mwaka wa fedha 2022/2023. Akizungumza katika hafla fupi...
  13. M

    Naomba kujulishwa kuhusu Mikopo ya nyumba

    Salamu, Naomba kuelimishwa kuhusu biashara ya mortgage hapa kwetu Tanzania! Ipoje,je sisi wa kipato Cha chini tunaimudu!? Ipi inalipa kujenga pole pole au kuingia kwenye hii Mikopo? Ni Benk gani inatia huduma hii? Vipi kuhusu Bank kudhamini kununua nyumba? Nawasilisha!
  14. T

    Tetesi: Masharti ya mikopo yameikumba Tanzania, kupata mkopo sharti Makamu wa Rais atokee upinzani

    Asanteni wazungu juu yahili, naombea liwe ni kweli. Tulikuwa watoto mpaka tunataka kuzeeka, hatujawahi kuona nafuu ya maisha chini ya serikali inayoongozwa na ccm miaka zaidi ya 60. Maji tu yamewashinda, umeme ndio usiseme, suala la afya ni jambo la anasa kwetu, ukiuumwa na huna pesa, hata...
  15. L

    Serikali iangalie uwezekano wa kutoa mikopo kupitia halmashauri kwa mtu hata mmoja mmoja badala ya kulazimishwa kuwa katika kikundi

    Ndugu zangu watanzania, Mfumo uliopo kwa Sasa juu ya pesa za halmashauri zinazotolewa Kama mkopo kwa vijana kutokana na makusanyo na mapato ya ndani unataka vijana au akina mama au watu wenye ulemavu kuweza kujiunga au kuunda kikundi cha kijasiriamali ili kuweza kupatiwa mkopo, ambapo hapa kuna...
  16. Je ni Kweli serikali imerudisha retention fees ya bodi ya mikopo? Ukweli ni upi?

    Wakati tunaingia mwaka 2022 Serikali ilipunguza mzigo kwà kiasi kikubwa sana wa bodi ya mikopo kwà wanufaika mfano kama mtu alibakiza 4M bàsi deni lilishuka mpaka 2M watu wakapata afueni sana ya maisha na wengi wao kwakuwa walipitia Kwenye tanuru la moto 2015-2020 baada tu ya mama kuondoka...
  17. Ruhusa ya mikutano ya hadhara ni utashi wa watawala au imeshinikizwa na masharti ya wakubwa wanaotoa mikopo?

    Tanzania imefungua ukurasa mpya wa demokrasia kwa kurejesha haki ya wananchi kushiriki mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa.Tunachosubiri kuona ni je kweli kuna utashi wa kisiasa kuruhusu mikutano hii au ni shinikizo la wakubwa? Maana yake kama ni utashi wetu basi ruhusa hii itatolewa bila...
  18. R

    Rais Samia: Kuisema tu Serikali ina madeni, atakuja mwenye Serikali yake na yeye aje akusute

    Akiwa kwenye mkutano na Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa Rais Samia amesema ni kweli serikali hii ina madeni lakini watu wasiishie tu kusema hivyo, bali waseme pia kwenye uchambuzi madeni hayo yamefanya nini. Akiongeza kuwa serikali ikifanya vizuri watu wasisite pia kusema kuwa serikali...
  19. EFM yatangaza kumchukulia hatua Hando, yadai maoni yake kuhusu Serikali kukopa si msimamo wa taasisi

    Kiukweli nimeshangaa sana ni nini kimemtuma Majizzo kuomba msamaha kwenye public? Kuna jambo lolote baya kutoka kwa Hando? Maana yeye alisema binafsi hafurahishwi na serikali kukopa kopa kama raia wa nchi ana haki ya kuishauri serikali na kutoa dukuduku lake kama katiba inavyosema. Kwani Hando...
  20. Wabunge unganisheni nguvu muitake Serikali iwasilishe Bungeni mchanganuo wa fedha ilizokopa nje

    HILI suala la mikopo tusipoliangalia litugawa kama Taifa, alianza Ndugai tukaona ni utani akapoteza nafasi ya Uspika, akaja kulizungumzia bungeni Luhaga Mpina naye akapoteza nafasi ya kuteuliwa kugombea nafasi ya NEC aliyoomba kupitia CCM. Akazungumza tena bungeni Oran Njeza Mbunge wa Mbeya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…