mikopo

  1. Nyuki Mdogo

    Ukitaka kuanzisha/ kuendeleza/ kuimarisha biashara ya mikopo (kukopesha fedha) waangalie Bodaboda, ni chimbo la uhakika

    Habari JF, Nawaleteeni hii Fursa muitazame kiundani ikiwezekana ichukue ifanyie kazi. Kama una mtaji unaojitosheleza, anzisha biashara ya Microfinance (mikopo ya kifedha) Baada ya hapo anza na hili kundi la Bodaboda ambao ni wepesi sana kuleta marejesho kwa wakati. iko hivi, boda boda are...
  2. M

    Niwalipe au niuze deni la Bodi ya Mikopo?

    Ipo hivi, mimi ni Mtumishi wa Serikali idara elimu, daraja langu ni E, nakatwa kiasi cha laki Moja na elfu arobain na nane mia tano (148,500/) kwa kila mwezi kama malipo ya deni la Bodi ya Mkopo. Kwa sasa nikisoma deni langu kupitia salary slip ni millioni tatu na nusu. Katika mazungumzo yangu...
  3. D

    Je, namba ya NIDA ni lazima katika mchakato wa kuapply Vyuo na Mikopo?

    Msaada members, Nina mdogo wangu amechaguliwa jeshini na kashaondoka, Sasa katika pitapita zangu nimeona Kuna mtu anasema katika application za chuo na mikopo ni lazima uwe na no. Ya NIDA. Je ni kweli kwa wanaoelewa system vizuri maana hapa mdogo wangu Hana nida Wala hajaomba hatujui chochote
  4. Remigius22

    Watu Credit na mikopo ya Simu

    Jamani hawa watu wanajiita Watu Credit wanaodhamini mikopo mbalimbali ya simu za mikononi, tunaomba Serikali iingilie kati. Wananchi wanaibiwa sana na kuonewa kiuchumi. Mtu anakopeshwa simu ya Tsh 300,000/= sokoni, analazimika kulipia zaidi ya milioni kwa mwaka, na usipolipia simu yao...
  5. Mwamuzi wa Tanzania

    Endeleeni tu kuwaruhusu wake zenu wajiunge na VICOBA na mikopo ya kausha damu

    Kwa hakika mwanamke akiwa mzuri hutongozwa mpaka mara 50 kwa mwezi na akiwa mbaya hutongozwa mpaka mara 15 kwa mwezi endapo atakuwa anafanya kazi mahali pa watu wengi (public). Sasa mikopo ya kausha damu au chupi mkononi ambayo inamtaka arudishe marejesho kila siku ile siku hana cha kurudisha...
  6. Stephano Mgendanyi

    Wadau Zaidi ya 3,000 Kunufaika na Mikopo ya Ufugaji Samaki

    WADAU ZAIDI YA 3,000 KUNUFAIKA NA MIKOPO YA UFUGAJI SAMAKI Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. David Silinde amesema Serikali kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) katika mwaka huu wa fedha wa 2022/2023 inatekeleza mradi wa kutoa mikopo yenye masharti nafuu na isiyo na riba...
  7. nyaunyau

    Utapeli TALA mikopo

    Kuna UTAPELI mkubwa kuna watu wanajiita TALA MIKOPO,wanadanganya watu kwamba wanatoa mikopo kwa Riba ndogo,unaambiwa weka Akiba Kiasi fulani,mfano ukitaka kukopa Laki mbili unaambiwa weka 32,000,ukiweka pesa hiyo kwa mujibu wa Maekezo yao hiyo 32000 ndo inakuwa imeliwa
  8. Shondo

    Madeni yasikufanye ujiue au kujivua utu, vumilia yatapita tu

    Nawasalimu sana ndg zangu, ningependa kushea nanyi mawili matatu yanayohusiana na maisha na kwanini hupaswi kuukatisha uhai wako kisa madeni, 1. Mimi ni mwajiriwa niliyekata tamaa na maisha kutokana na changamoto za maisha nazopitia kwani hata kula yangu shida na kuvaa ndio usiseme, nina...
  9. L

    Utafiti waonesha kuwa mikopo toka China kwa nchi za Afrika ina gharama za chini kuliko ile ya nchi za Magharibi

    Watafiti katika taasisi ya Uchumi wa Dunia ya Kiel ya Ujerumani, wamefanya utafiti na kufikia hitimisho kuwa mikopo inayotolewa na China kwa nchi za Afrika ni ya gharama nafuu kuliko ile inayotolewa na nchi za magharibi, au inayotolewa na wakopeshaji wa kibiashara. Hitimisho hilo limefikiwa...
  10. M

    Naomba kujuzwa muda wa mrejesho mikopo ya Amana Bank

    Naomba Kuuliza anaefahamu muda wa marejesho ya Mikopo ya Amana Bank Mfano nikichukua vifaa Vya ujenzi vyenye thamani ya m.20 Muda maximum wa kurejesha ni miaka mingapi?
  11. T

    Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu simu yao haipokelewi. Mwenye namba ya CEO wao tafadhari anisaidie

    Hii Bodi ni bora ivunjwe isukwe upya. Wakati wa marejesho ya mkopo walizidisha miezi kadhaa kunikata. Nilipofika ofisini kwao wakasema niingingie online kudai kiasi hicho kilichozidi. Wangerejesha baada ya miezi 3 ( siku 90) tangia 3 Sept 2022 nilipo jaza hizo taarifa. Baada ya muda huo...
  12. F

    Wizi Bodi ya Mikopo HESLB

    Habari wakuu, kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu bodi kutokufanya marejesho ya baadhi ya wanufaika ambao walikatwa fedha za ziada baada ya kumaliza mkopo, yani kama mtu alikuwa anadaiwa milioni kumi, unakuta bodi wamemkata ziada labda 10.6m. Kikawaida hiyo laki 6 inatakiwa irejeshwe kwa...
  13. N

    NMB niwasumbufu kutoa mikopo

    Tanzania hii kuna shida sana taaasisi zake ni za hovyo kabisa. Unaomba mkopo wa boashara mara ya pili toka nmb kukupa tu ni tatizo ukiwauliza hawana majibu. Uneza kidhi vigezo vyote ila watumishi wake wanakuwekea urasimu usio na maana badirikeni la sivyo taasisi za nje zitatawala apa nchini...
  14. NostradamusEstrademe

    Mikopo umiza yavunja ndoa

    Mikopo imetungiwa majina ''Kausha damu'' na ''chupi mkononi'' Wanaume wana la kujifunza hapa kwa wake zao kuhusu vikundi na wanawake kujiunga na haya madhehebu yanayochepuka kama uyoga yanayowapa watu cheo cha unabii sio mungu na kuwauzia watu mafuta ya upako na maji ya chumvi kwe bei kubwa...
  15. Rwetembula Hassan Jumah

    Unadhani vijana wakipewa mikopo ya biashara, itaondoa tatizo la ajira Nchini?

    Habari wanajukwaa.... karibu uchangie hii mada kwa leo inakujia mara moja kwa week. #FUNGUKA. .......
  16. Slowly

    Video: Mafisadi jitahdini angalau kutoa mikopo kwa vijana

    Bila shaka pesa ya hii nchi ipo mikononi mwa mafisadi , mama anakusanya huko na kule ikifika mezani wahuni wanagawana , the worst ni kuwa wengi huficha hzo hela nje ya nchi , Kama hii video inaonyesha kabisa huyu fisadi hajui hata pa kuzipeleka hzo hela ameishia kuzitandaza tuu sebuleni ...
  17. B

    UVCCM Songwe yatia neno mikopo ya Vijana kusitishwa

    Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Songwe Ndg Fatuma Hussein amewatoa hofu vijana kutokana na serikali kusitisha utoaji wa mikopo ya 10% iliyokuwa ikitolewa katika ngazi za Halmashauri. Fatuma ameleza kuwa kama UVCCM wanaamini kuwa serikali itakuja na mpango bora zaidi wa...
  18. Stephano Mgendanyi

    Janeth Mahwanga Achangia Wizara ya TAMISEMI Agusia Mikopo ya 10%

    MHE. JANETH MAHAWANGA ACHANGIA WIZARA YA TAMISEMI MIKOPO YA 10% Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janeth Elias Mahwanga amechangia Wizara ya TAMISEMI kwa kuiomba Serikali kuangalia upya utaratibu mzuri wa mikopo ya 10% ambayo inatolewa kwa Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu...
  19. peno hasegawa

    Maafisa maendeleo ya jamii walisomea wapi kozi ya kugawa mikopo ya Halmashauri?

    Serikali ya Tanzania imefanya wananchi wake mazuzu. Mikopo imesitishwa kupitia Halmashauri nimejiuliza watoaji wa hiyo mikopo walisomea wapi kazi ya kugawa mikopo? Ni nani aliwapa majukumu hayo kama sio njia ya kutauta njia ya kupoteza fedha za serikali? Ninaomba Jf member mchangie hii mada ni...
  20. M

    Mikopo ya watumishi ni janga la uchumi

    Leo nikiwa na mbwembwe zangu nimejisogeza hapo bank nikitaka kuchukua mkopo hapo ili niongeze nguvu kwenye mradi wangu wa mifugo. Basi nilivyofika bank nikampatia afisa mikopo salary slip yangu baada ya kuikagua akanijibu hivi “unadaiwa mkopo na sisi na nimefanya hesabu hapa ili upate pesa...
Back
Top Bottom